January Makamba na blog yake

Status
Not open for further replies.


Kama msomi hatakiwi kusema anadhani ,anatakiwa kusema takwimu inaonyesha kuwa asilimia fulani ya walengwa wake wanaweza kusoma kingereza anachoandika.
Kama watanzania ndio walengwa wake je ni watanzania wangapi licha ya kujua kingereza wako competent enough kujadilia point zao nzuri ktk lugha hii ya kigeni.
Mimi nilichogundua ni kuwa kuna muda unapunguza kasi na ukali wa michango unapotumia lugha za kigeni ijapokuwa kuna kipindi baadhi ya misamiati ya lugha hii ya kigeni inaweka mkazo mzuri kwa mtu aneyefahamu.

Madai yake ya kutumia lugha hii ktk kujifunza zaidi kingereza kwa hiyo anataka kusema mission yake ktk kuanzisha blog hiyo ni kukuza kingereza chake.

Halafu kuna kitu kinatakiwa kutoka kwa watu kuwa kingereza si ndio ubora point ,ni lugha kama lugha zingine hata machizi waliozaliwa kwenye nchi zinazozungumza kingereza wanazungumza hiyo lugha ,hata mambumbu walifika grade school wanaweza kuandiaka nakuchangua kwenye hiyo blog .
Lack of self-esteem and defensive mechanism inawezekana kufanya kutumia lugha hivyo.
 

Mwangalieni msaidizi wa Rais (kama ni kweli ) anasema Kiswahili anakijua chote!

Wakati hawezi kuandika sentensi ya Kiswahili bila msaada wa lugha ya Malkia!

Eti Kiswahili anakijua chote. Duuuh! Hata Shaaban Robert na William Shakespeare wasingeweza kusema Kiswahili na Kiingereza wanavijua vyote mtawalia.

Mtu anaeandika Kiswa-nglish hajui lugha zote mbili, Kiswahili wala Kiingereza!

Na hawezi kusema anachomeka Kiingereza kwenye Kiswahili ili kujifunza Kiingereza, maana huwezi kujifunza Kiswa-, wala -Nglishi, kwa kufanyia mazoezi Kiswa-nglish.

Huyu ni msaidizi wa Rais, mwandika hotuba za nchi ? Nilitegemea awe makini na anachoropoka!

Na wewe Pundit uliyesema unakubaliana kabisa na Makamba, tena unasema kaiga maneno yako, ina maana na wewe unajua Kiswahili chote, sio ? Basi kuanzia leo ukiamua kuandika Kiswahili sitegemei kuona unachomekea vimaneno vya Malkia.
 
Na nyie mbona mmembea bango sana huyu bwana mdogo, hebu chambueni yale anayoyaandika, ahaa! Mwishowe mtaonekana nyie ndio mnaboa kuliko yeye!
 
Na nyie mbona mmembea bango sana huyu bwana mdogo, hebu chambueni yale anayoyaandika, ahaa! Mwishowe mtaonekana nyie ndio mnaboa kuliko yeye!

Kitila,

Kama ninavyosema kila siku, linaloandikwa na linavyoandikwa ni pande mbili za shilingi moja hiyo hiyo. Ukiandika pointi nzuri fyongo unaweza kusababisha watu wasikuelewe au credibility yako kuwa chini.

Bwana Makamba anataka kwenda na wakati na kuonyesha initiative ya ku blog na ku data-mine katika nchi isiyo na polls, sawa.Afanye hivyo sawa sawa basi, apeleke hiyo drive Ikulu watu wa Ikulu watengeneze website yao, akitoka hapo a blog vitu vinavyoeleweka.

Sio kutuletea caricatures za "vipi kama tukiwa madikteta?" Haya ni maswali ambayo sisi hapa JF tunaweza kuuliza, yeye mtu wa serikali anatakiwa achukie hata harufu ya udikteta let alone ku discuss.Nakwambia ingekuwa Scott McClellan au any White House aide ameandika utumbo huu katika private blog yake ungeona furor ambayo ingetokea hapo, ungeona newspaper articles na TV coverage wiki nzima mpaka angeomba msamaha au hata kukosa kitumbua chake.

Lakini bongo anapeta, kwa sababu hatuna press.Hata sie tunaojua madhara ya udikteta tumekaa kimya.Hatujui kama ana muse tu kama anavyojidai au katumwa na mkulu kupima joto vipi kama anataka kuwa dikteta.

One does not need to know dictatorship firsthand, one has only to familiarize himself with the works of Solzhenitsyn to be horrified beyond words.

And this kid is making suggestions of dictatorship? Who does he think he is, Larry Summers?

With aides like these, no wonder Kikwete is in present sorry state.
 

Usimchokoze Pundit wewe. Huyu jamaa usikute anakijua Kiswahili kuliko hata wewe na akianza manjonjo na mahunjamati yake ya lugha msije kuanza kumwomba tafsiri
 
wierd

sasa I'm more keen kuisom hiyo blog kuliko mwanzo

maana Modus Operandi ya wanaompinga JM ni wale wale

wapenzi wa Mwanakijiji

wapendi wa Mbowe

wapenzi wa CHADEMA

mbaya zaidi couple earlier posts za kumpinga JM zilikaa ki inferiority complex tuuu maana sikuona wapi mtu kaja na cha maana zaidi ya kulalama eti ohh ni mtoto wa Makaba ohhh sijui nini

acheni hizo

mnataka alternative views halafu mnaanza kuogopa sijui woga wenu ni nini hasa. Kama hamuwezi kusoma blog ya JM nendeni mkasome yale magazeti anayooandika kijana wenu JJ MNYIKA

By the way hivi huyu mnyika mmemlipia shule au?
 
Hilo la Michuzi kufoji cheti cha FORM 4 nilikuwa silijui hivyo nashukuru mdau uliyelihighlight humu

safi sana
jino kwa jino
 

GT,

You are not being objective.Mimi nimemlima kuanzia lugha mpaka musings zake za ki communist.Soma juu hapo.
 
Usimchokoze Pundit wewe. Huyu jamaa usikute anakijua Kiswahili kuliko hata wewe na akianza manjonjo na mahunjamati yake ya lugha msije kuanza kumwomba tafsiri

We muache awashe tashwishi kuhusu mustakabali wa tafsida ya tafakuri na kanwa zakwe.
 
Last edited:
We muache awashe tashwishi kuhusu mustakabali wa tafsida ya tafakuri na kanwa zakwe.
hihihihihihi kumbe na huku umo?

Mimi napenda kuuliza hizi hotuba anazoandika JM wanashauriana na Muungwana au ni yeye akitoka kwenye kitimoto sinza anaandika kisa muungwana yeye ni kusoma tu?
 

Mwazange,

Ni wapi aliposema ana uhakika ?

Huoni kaweka disclaimer tatu ( kama sikosei...inasemekana...just a hear say ) kutuonyesha wazi kwamba hana uhakika ?

Unajua unachokisema lakini ?
 
hihihihihihi kumbe na huku umo?

Mimi napenda kuuliza hizi hotuba anazoandika JM wanashauriana na Muungwana au ni yeye akitoka kwenye kitimoto sinza anaandika kisa muungwana yeye ni kusoma tu?

Mkuu Yo Yo
Hotuba ya mwisho ambayo JK aliweweseka sana hakuwa ameisoma kabla. Muungwana mara nyingine huwaambia wasaidizi wake wanapoomba ushauri, "kwani mnaonaje? Andikeni mnavyoona sawa"
 
Mkuu Yo Yo
Hotuba ya mwisho ambayo JK aliweweseka sana hakuwa ameisoma kabla. Muungwana mara nyingine huwaambia wasaidizi wake wanapoomba ushauri, "kwani mnaonaje? Andikeni mnavyoona sawa"
Alaa kumbe?
 
Mwazange,

Ni wapi aliposema ana uhakika ?

Huoni kaweka disclaimer tatu ( kama sikosei...inasemekana...just a hear say ) kutuonyesha wazi kwamba hana uhakika ?

Unajua unachokisema lakini ?

Mkuu nilichojaribu ni kukiombea ushahidi..kama hakina ushahidi basi mimi mada nitaidondoshea hapo....
 

Kama hizi ndio hoja, basi Silencer unakazi, mbona utafungia sana watu wanaomake sense! Inabidi ufungiwe kwa kumake sense kama hizi..you know what I am saying. Even my first grade daughter can do better than you have done here. FYI, you are the worst person who wrote non-sense today.

Senses zako zingeonekana kama ungechambua the so called immunity ya Mkapa.
 
hihihihihihi kumbe na huku umo?

Mimi napenda kuuliza hizi hotuba anazoandika JM wanashauriana na Muungwana au ni yeye akitoka kwenye kitimoto sinza anaandika kisa muungwana yeye ni kusoma tu?

Swali zuri sana hilo...mimi pia lilikrosi kwenye kichwa yangu nikalikosea jibu.. pengine labda tukamuulize kule.
 

Hooo... Thats so Cute....
 
Mara nyingi wanauwe fulani dhaifu dhaifu wakielemewa na mwanamke kama huyo Mama kwenye hoja huwa wanarukia huku!

Well kama ulihakikishiwa hivyo then nitashangaa kulikuwa na maongezi gani yaliyokuwa yakiendelea hadi ikafikia udhaifu wa kiume wa Mwazange kuwa subject of conversation...
Mada ilikuwa President's speech writer...mkaipeleka kwa BBC journalist...sasa mnaileta huku tena...? ndio maana tanzania tupo mahali tulipo.
 
I AM OUT MWAZANGE, I don't qualify for more of your non-senses. Keep on making them. Goodluck.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…