ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,040
- 7,303
We bonyeza hapa: JJ uone. Hakuna hoja kazi kukosoa kosoa tu, lakini Janauri yeye anajenga hoja za maana. Ndio maana nasema nyinyi mna upendeleo. Mmejaa ushabiki tu kama wa Simba na Yanga.
Kwani wanasiasa na wataalamu wangapi serikali wana blogu? Hebu tupeni link zao halafu tulinganishe na Januari. Halafu tupeni na hao bloggers walioko kambi ya upinzani ili tulinganishe vizuri zaidi.
........ndiyohiyo
My tracking inanionyesha kwamba wewe either ni January au uko karibu na Janury, sasa mwambie hivi: iwapo ataendelea kublog kwa kiingereza basi blog yake itasomwa na marafiki zake tu, kama anataka wanachama wengi aige blog zilizokuwa na mafanikio, atumie kiswahili. January kwa kublog kwa kiingereza anadhihirisha kuwa yuko "out of touch". Hata kama anayoongea yana make sense, which I think is the case, lakini iwapo ujumbe unazunguka kwa marafiki zake wa karibu tu basi hiyo blog sio ya taifa letu kama anavyoiita. Hii ndio habari yenyewe.