January Makamba na blog yake

January Makamba na blog yake

Status
Not open for further replies.
We bonyeza hapa: JJ uone. Hakuna hoja kazi kukosoa kosoa tu, lakini Janauri yeye anajenga hoja za maana. Ndio maana nasema nyinyi mna upendeleo. Mmejaa ushabiki tu kama wa Simba na Yanga.

Kwani wanasiasa na wataalamu wangapi serikali wana blogu? Hebu tupeni link zao halafu tulinganishe na Januari. Halafu tupeni na hao bloggers walioko kambi ya upinzani ili tulinganishe vizuri zaidi.

........ndiyohiyo

My tracking inanionyesha kwamba wewe either ni January au uko karibu na Janury, sasa mwambie hivi: iwapo ataendelea kublog kwa kiingereza basi blog yake itasomwa na marafiki zake tu, kama anataka wanachama wengi aige blog zilizokuwa na mafanikio, atumie kiswahili. January kwa kublog kwa kiingereza anadhihirisha kuwa yuko "out of touch". Hata kama anayoongea yana make sense, which I think is the case, lakini iwapo ujumbe unazunguka kwa marafiki zake wa karibu tu basi hiyo blog sio ya taifa letu kama anavyoiita. Hii ndio habari yenyewe.
 
hivi yule blogger wa CHADEMA bwana JJ MNYIKA alishakwenda shule au?

maana ile blog yake utafikiri anaandika kitabu

inatia uviu kuisoma

namuunga mkono January na najua hii yote ni CHADEMA kuleta woga usio na kichwa wala miguu

kazi kwenu
 
hii ni very shallow analysis

lakini sishangai sana maana ndio kawaida yenu. Kama unataka blog ya kiswahili bora uende kule ze utamu...hujalazimishwa kuisoma blog ya JM
 
Kweli kabisa GT

Hebu bonyeza hapa: JJ: Obama-Tumaini la Mabadiliko ya kweli ameandika maneno mengi kuhusu Obama lakini hakuna hoja yoyote ya maana.

Na ukibonyeza hapa: JJ: Rais Kikwete: mene mene na tekel; taifa linagawanyika unataona amekosoa hotuba ya Rais Kikwete. Lakini ukiisoma hotuba hiyo ambayo Januari Makamba ameshiriki kuiandaa utaona jinsi Januari alivyomwandishi mzuri wa Kiswahili pia.

Huo ukosoaji alioandika Mnyika kuhusu hiyo hotuba hauna substance hata kidogo, ametumia maneno mengi lakini wala haeleweki alikuwa akitaka kusema nini

........ndiyohiyo
 
ndio ukisikia ma mediocre ndio hawa

chochote cha CHADEMA kwao ni kama lulu na hakuna anayeuliza swali

mie hiyo blog ya mnyika nilishagundua kuwa iko shallow kama yeye mwenyewe na nikaamua i wont waste my time nayo kwa sababu hakuna kipya na pili i am not always in a mood kusoma James Hardley Chase ninapoingia kusoma log na tatu nilimshauri aende shule lakini wapiii mtoto pesa ana taka na shule kwake ngumu lakini ndio hiyo tena hao ndio ma media strategists wa FREEMAN MOWE

Ohhh how can i forget ya Mwanakijiji.com?

kule nako baada ya watu kustuka kuwa ni mtego wa kunyonywa midata yao naona kumedoda sasa sijui Mbowe ana strategy gani nako kule

in the mean time sie wengine bado tuko stuck na WHERE WE DARE TALK OPENLY
 
Back to the thread naona sasa mjomba kaiba article ya NYT bila kutoa attribution, integrity zero.

Article "Best Books of 2008" is lifted from NYT vrbatim without attributing credits.

Mimi nilifikiri ni mimi tu aliyelift ideas from without attribution.

Puuphhh! This is becoming more serious than I thought. This is a product of academic dishonesty ambayo imepamba moto TZ. Lakini hii ni kubwa yake, alifikiri watu hawatashtukia, pambafu!!
 
Hakuna jipya hapo, WIZI MTUPU

HAKUNA ANAYEKIMBIA JEMBE, NI JEMBE LENYEWE KUKOSA MPINI
 
Puuphhh! This is becoming more serious than I thought. This is a product of academic dishonesty ambayo imepamba moto TZ. Lakini hii ni kubwa yake, alifikiri watu hawatashtukia, pambafu!!

I dont think kama hiii ni big deal lakini nitaangalia kama the so called plagiarism yenyewe ndi mbaya kama Pundit anavyotaka tuamini

zaidi ya yote hayo mbona humu kuna watu wamekuwa vinara wa plagialise articles za magazeti bila kutoa sources na the same Pundit hatii neno?

acheni hizo jama
 
Huyu January anayelinganishwa na Mnyika ni the same January mwenye skandali kwenye university kule Minnesota?
 
I dont think kama hiii ni big deal lakini nitaangalia kama the so called plagiarism yenyewe ndi mbaya kama Pundit anavyotaka tuamini

zaidi ya yote hayo mbona humu kuna watu wamekuwa vinara wa plagialise articles za magazeti bila kutoa sources na the same Pundit hatii neno?

acheni hizo jama

GT,

Pundit kawa police wa dunia lini? Yaani ishakuwa kazi yangu kukemea kila copyright violation? Kwa mshahara upi? Kwa nini wewe usitie neno?

Maswali yangu kuhusu wewe kukemea copyright violations za articles za magazeti, lakini wakati huo huo ku post vitabu na mziki ulio katika copyright hujayajibu mpaka leo.

Na watu wengi wanao copy paste hapa hu copy paste the whole thing, kuanzia headline mpaka credits za muandishi.Ndugu yako January haja copy hata jina la muandishi wa article, kaitundika nzima nzima kama yake.The reason nimejua ni ya NYT ni kwa vile niliisoma hiyo article a few days ago kwenye NYT.

Angekuwa blogger wa kawaida tu labda tungeweza ku lower standards, huyu bwana ni muandishi wa hotuba za rais.I am concerned tusije kukumbwa na issue Kikwete ananyofolewa hotuba zake kutoka kwa watu wengine bila credit kutolewa halafu siku moja ikawa aibu.
 
Jamaa anafuatilia hii thread, naona sasa hivi kaweka credit za NYT.
 
Kwa sababusijawahi kupost kitabu kizima kama kilivyo ila nilitoa link ambazo mtu ambazo ukishakubali agreement then you can download

Lakini sijawahi kuweka kitabu kizima kama kilivyop

unless hujataka kujua tofauti ya rapidshire,zshare na shareor die ambazo zote ni links tuuu au zina provide infrastrucre ya kupata the said vitabu

Na watu wengi wanao copy paste hapa hu copy paste the whole thing, kuanzia headline mpaka credits za muandishi.Ndugu yako January haja copy hata jina la muandishi wa article, kaitundika nzima nzima kama yake.The reason nimejua ni ya NYT ni kwa vile niliisoma hiyo article a few days ago kwenye NYT.

Unamaana JM amefanya kama BABU ATAKA KUSEMA na DUA wanavyopfanya humu JF?

If so then tungeangalia kama kuna pattern katika hiyo blog ya JM ya kucopy and paste lakini kama ni hii one oversight then i dont think its a big deal
Angekuwa blogger wa kawaida tu labda tungeweza ku lower standards, huyu bwana ni muandishi wa hotuba za rais.I am concerned tusije kukumbwa na issue Kikwete ananyofolewa hotuba zake kutoka kwa watu wengine bila credit kutolewa halafu siku moja ikawa aibu.

Unamaana kama ya Mbowe kutumia quotes za FDR bila bila kumpa credits? Still siwezi kumkomalia JM kwenye hili la aticle ya NYT after all hao NYT are not and have never been clean when it comes to mamabo ya Plagiarism au ushamsahau JAY BLAIR?

onion_imagearticle686.article.jpg
 
Jamaa anafuatilia hii thread, naona sasa hivi kaweka credit za NYT.

Sawa na kama nilivyokuambia ilikuwa ni just a blip na keshairekebisha

tatizo liko humu sie kuletewa mi articles mizima mizima bila link ya source yoyote ile
 
GT you can't speak with moral authority on this.Umeshapost links za copyrighted albums.Kwangu mimi hata kama ni link, ume lead watu kwenda kuiba copyrighted material.

Mind you, I believe in liberating as much as the next bro, but when you are in a position of authority, or you pretend to come here high and mighty about copyright issues for newspaper articles, just because watu hawajaweka link, to me that is a bit too much of hypocrisy.

Kuna mi forum yenye integrity huko kupost link ya torrent/ download ya copyrighted material tu ni violation ya code of conduct.

Hapa mpaka baba mwenye nyumba mswano tu.
 
hii ni very shallow analysis

lakini sishangai sana maana ndio kawaida yenu. Kama unataka blog ya kiswahili bora uende kule ze utamu...hujalazimishwa kuisoma blog ya JM

Unaweza kuiita shalow, lakini the fact kwamba haufahamu method niliyoitumia kureach to that conclusion na unaiita shallow kinaonyesha kuwa uko biased in your analysis of my analysis. Uzuri wa JF ni kwamba kumbukumbu zote zitabaki hapa, kwa hiyo basi tuipe muda hiyo blog ya kiingereza then tuone upande itakaotokea. Jaribu kufanya statistical analysis ya blog za kiingereza na za kiswahili zilizoanzishwa tangu mwaka 2006 ambapo mfumuko wa blog za watanzania ulianza then utapata uhalisia wa future ya blogger anayelenga wasomaji wa kitanzania kwa kiingereza.
Halafu GT, mimi ni supporter mkubwa sana wa bloggers. ninapompa blogger ushauri, sifanyi hivyo kumbeza au kumsogoa, hapana. Ninafanya hivyo ili kumsaidia kufahamu jinsi ya kuweza kupata wasomaji wengi, kwa sababu kila anayeanzisha blog ana lengo la kupata wasomaji wengi. So please dont get me wrong when I share my evidence based experience.
 
ALAH

KUMBE WEWE NDIYE JJ MNYIKA

mjomba freeman keshakulipia shule?

thats the least he can do
 
GT you can't speak with moral authority on this.Umeshapost links za copyrighted albums.Kwangu mimi hata kama ni link, ume lead watu kwenda kuiba copyrighted material.

Mind you, I believe in liberating as much as the next bro, but when you are in a position of authority, or you pretend to come here high and mighty about copyright issues for newspaper articles, just because watu hawajaweka link, to me that is a bit too much of hypocrisy.

Kuna mi forum yenye integrity huko kupost link ya torrent/ download ya copyrighted material tu ni violation ya code of conduct.

Hapa mpaka baba mwenye nyumba mswano tu.

AL MUHIM tumpe support huyo JANUARY
 
ALAH

KUMBE WEWE NDIYE JJ MNYIKA

mjomba freeman keshakulipia shule?

thats the least he can do

GT inaonekana hauko makini na mijadala unayoshiriki. wewe kwenye page no.15 umesema analysis yangu iko shalow. Sasa huo u-JJ mnyika umetoka wapi tena?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom