ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,040
- 7,303
Tumuunge kwa kunyofoa article za New York Times?
Kumbe ndio maana hataki kutumia kiswahili!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumuunge kwa kunyofoa article za New York Times?
Ningependa kuongezea hapa kwa Zamarcopolo ungeeita Blog Our-Nation or something na sio taifa letu, yaani kuiweka ya kiingereza.My tracking inanionyesha kwamba wewe either ni January au uko karibu na Janury, sasa mwambie hivi: iwapo ataendelea kublog kwa kiingereza basi blog yake itasomwa na marafiki zake tu, kama anataka wanachama wengi aige blog zilizokuwa na mafanikio, atumie kiswahili. January kwa kublog kwa kiingereza anadhihirisha kuwa yuko "out of touch". Hata kama anayoongea yana make sense, which I think is the case, lakini iwapo ujumbe unazunguka kwa marafiki zake wa karibu tu basi hiyo blog sio ya taifa letu kama anavyoiita. Hii ndio habari yenyewe.
Jamaa anafuatilia hii thread, naona sasa hivi kaweka credit za NYT.
Na wewe vipi, bado hajatoa tu attribution kuhusu hoja "yako" ya matumizi ya lugha?
Halafu hapa sisi tukuamini vipi kuwa hiyo hoja ni ya kwako? Uliitoa/ uliijenga wapi, lini, na una uhakika gani kuwa ni wewe tu uliyeanza kujenga hoja kama hiyo?
Huyu January anayelinganishwa na Mnyika ni the same January mwenye skandali kwenye university kule Minnesota?
Hebu acha hizo Mwafrika wa Kike. Unamjua January wewe? Kwa taarifa yako, hana skendo yoyote Minnesota au popote. Huo ni wivu wenu tu nyie mnaosota.
Hapa tunajadili kuhusu blogu yake, hayo mengine ni ya kwako
........ndiyohiyo
Unless unataka kuwa mnazi, au wewe ni January, I believe the appropriate thing would have been to inquire as to the nature of the scandal.
You cannot dispute a scandal whose nature you do not even know.
If anything, this betrays you bias in the matter.
How can I know what is not there? The knowledge of the unknown that doesn't exist is insanity!
.....ndiyohiyo
Sawa na kama nilivyokuambia ilikuwa ni just a blip na keshairekebisha
tatizo liko humu sie kuletewa mi articles mizima mizima bila link ya source yoyote ile
Unless unataka kuwa mnazi, au wewe ni January, I believe the appropriate thing would have been to inquire as to the nature of the scandal.
You cannot dispute a scandal whose nature you do not even know.
If anything, this betrays you bias in the matter.
Pundit check page no. 15 ya thread hii utaona rulling niliyotoa kuwa habarindiohiyo ni january makamba au mtu aliye karibu na january makamba!
Na huko ali plagiarize nini?
Babu wame ku ban naona umeibuka na jina jipya.Suti yangu ya ushindi wa Obama iko wapi? sijasahau hivyo.
Mnasemaje kuhusu hii kauli ya January Makamba baada tu ya maafa ya Kimbunga cha Katrina.Is he or not one of those smartest guys?
Namnukuu "The slow pace in response we have seen after Katrina was due to institutional constraints. I don't buy the racial line. I can liken bureaucracy to asking an elephant to do gymnastics"
Source:Shocked Africans Wonder at Slow Aid After Katrina
Pundit na Kuhani hebu nipeni mchanganuo wa kufikiri wa huyu mkubwa
Mnasemaje kuhusu hii kauli ya January Makamba baada tu ya maafa ya Kimbunga cha Katrina.Is he or not one of those smartest guys?
Namnukuu "The slow pace in response we have seen after Katrina was due to institutional constraints. I don't buy the racial line. I can liken bureaucracy to asking an elephant to do gymnastics"
Source:Shocked Africans Wonder at Slow Aid After Katrina
Pundit na Kuhani hebu nipeni mchanganuo wa kufikiri wa huyu mkubwa.
Sikujua kuwa January Makamba anaogopewa kiasi hiki.
Kwa mara ya kwanza niliposoma Blog yake niliona kuwa ni kijana mwenye mawazo ambayo wengine wanatakiwa kuyaiga kwa maana ya kuandika na kufanya majadiliano kwa nia ya kufahamu matatizo yetu na jinsi ya kuyakabili. Maelezo yake pekee yalitosha kupata picha ya January ni mtu wa namna gani "NI KIJANA MWENYE KIPAJI NA ANAYEONA MBALI"
Bila ya kuingiza ushabiki usiokuwa na maana January ni hazina ya Taifa hili kama walivyo vijana wengine wanaojitolea kuwa mifano kwa wenzao.
Ninakutakia kila la heri January katika safari yako uliyoinza, safari ni ndefu vikwazo ni vingi lakini usikate tamaa, simama imara utafanikiwa.
Mungu akubariki