January Makamba na blog yake

January Makamba na blog yake

Status
Not open for further replies.
My tracking inanionyesha kwamba wewe either ni January au uko karibu na Janury, sasa mwambie hivi: iwapo ataendelea kublog kwa kiingereza basi blog yake itasomwa na marafiki zake tu, kama anataka wanachama wengi aige blog zilizokuwa na mafanikio, atumie kiswahili. January kwa kublog kwa kiingereza anadhihirisha kuwa yuko "out of touch". Hata kama anayoongea yana make sense, which I think is the case, lakini iwapo ujumbe unazunguka kwa marafiki zake wa karibu tu basi hiyo blog sio ya taifa letu kama anavyoiita. Hii ndio habari yenyewe.
Ningependa kuongezea hapa kwa Zamarcopolo ungeeita Blog Our-Nation or something na sio taifa letu, yaani kuiweka ya kiingereza.
 
Jamaa anafuatilia hii thread, naona sasa hivi kaweka credit za NYT.

Na wewe vipi, bado hajatoa tu attribution kuhusu hoja "yako" ya matumizi ya lugha?

Halafu hapa sisi tukuamini vipi kuwa hiyo hoja ni ya kwako? Uliitoa/ uliijenga wapi, lini, na una uhakika gani kuwa ni wewe tu uliyeanza kujenga hoja kama hiyo?
 
Kuhusu kuitoa hoja wapi lini ni hapa hapa JF wakati wadau waliponibana kuwa natumia kiingereza kingi.

I will give him a pass, because even Pom cannot claim the right to the process of creating promenade juice, even in the old testament Jezebel described how to make promenade juice, so Pom the company cannot, likewise to me. On the same token I cannot claim to own ideas.

The evidence was rather circumstantial there, but the way he was flowing was in such a way that we either think so much alike or he saw my argument here and lifeted it. The similarity was so starking I was tempted to entertain his quick fix explanation.

The NYT piece is another story.
 
Huyu January anayelinganishwa na Mnyika ni the same January mwenye skandali kwenye university kule Minnesota?

Hebu acha hizo Mwafrika wa Kike. Unamjua January wewe? Kwa taarifa yako, hana skendo yoyote Minnesota au popote. Huo ni wivu wenu tu nyie mnaosota.

Hapa tunajadili kuhusu blogu yake, hayo mengine ni ya kwako

........ndiyohiyo
 
Unless unataka kuwa mnazi, au wewe ni January, I believe the appropriate thing would have been to inquire as to the nature of the scandal.

You cannot dispute a scandal whose nature you do not even know.

If anything, this betrays you bias in the matter.
 
How can I know what is not there? The knowledge of the unknown that doesn't exist is insanity!

.....ndiyohiyo
 
Nimetoka kutoa kwenye blog yake ,naona somo kaelewa la kutumia lugha ya kiswahili pia maana watu naona wanabonga kiswa-kinge tu.Na mimi nikajirusha kwenye thread moja inayosema/ anauliza "Siasa mchezo mchafu au wachezaji ndio wachafu?"Nimechangia maada kirefu tu kisha nikatoa comment hii mwishoni
"Nachelea kusema kuwa hii blog pia inaweza kutumika kama sehemu ya siasa michezo Mchafu(no offense).Sio mbaya fanya matumizi ya technojia.But we giong to deal with that perpendicular.Usibane tu michango ya watu maana personal interest utapeleka wapi....baba,kazi.Ok you chose to stay in the kitchen then you have to stand the heat."

Kwa hiyo wanaotaka tumuunge mkono atapata changamoto tutoeni shaka.
 
How can I know what is not there? The knowledge of the unknown that doesn't exist is insanity!

.....ndiyohiyo

How can you know that it is not there before looking (asking).This was the whole point of my last post.Unless you are January, or are arguing just for the sheer sake of arguing (unazi) mtu akikwambia January alikuwa na scandal Minnessota, hata kama mlikuwa mnakaa naye chumba kimoja, kama mtu mwenye akili utauliza kwanza scandal gani hilo?

Kuanza kukanusha hana scandal, wakati hata hujauliza scandal lenyewe ni lipi, na kung'ang'ania hamna scandal, utageuka kuwa "Comical Ali" wa January.

Wakati majeshi yana march kwenda Baghdad wewe utakazania "Hamna majeshi" halafu muda utakuadhiri.Jinsi unavyoprotest kwa sana bila kuomba uelezwe scandal lenyewe ni lipi unawapa watu rational sababu ya kufikiri pengine una jambo unaficha.

In "The Tragedy of Hamlet, Prince of Denmark" Shakespeare aliandika ""The lady doth protest too much, me thinks" akimaanisha kuwa ukiona mtu ana protest vehemently sehemu ambapo hapakutakiwa kuwa na utetezi wa nguvu kama huo, that looks suspicious.

Jamani tuambieni January alifanya nini?
 
Sawa na kama nilivyokuambia ilikuwa ni just a blip na keshairekebisha

tatizo liko humu sie kuletewa mi articles mizima mizima bila link ya source yoyote ile

Kwa heshima zote GT
kama karekebisha huoni kaona kosa na wewe ulikuwa unatetea makosa !Kwa maana mengine kakufanya uonekane hahuko makini ama una ushabiki.
Kwa kuwa nimeona hapa unasema mbona fulani ana copy bila ku sema source,ila unasahau tunachokumbusha siku zote humu kuwa "two wrongs dont make a right".Pia kwa case yake yeye ni hatari kwa sababu ni owner blog tofauti na wachangiaji wengine kikubwa zaidi aina ya kazi ni kuwa waTz anatuzalisha kupitia nyumba-nyeupe.Na mjumbe mwengine katahadharisha kuwa anaweza fanya hii kwa mkulu wetu ikawa taaaaaaaabu.
With due respect mkuu!
 
Unless unataka kuwa mnazi, au wewe ni January, I believe the appropriate thing would have been to inquire as to the nature of the scandal.

You cannot dispute a scandal whose nature you do not even know.

If anything, this betrays you bias in the matter.

Pundit check page no. 15 ya thread hii utaona rulling niliyotoa kuwa habarindiohiyo ni january makamba au mtu aliye karibu na january makamba!
 
Pundit check page no. 15 ya thread hii utaona rulling niliyotoa kuwa habarindiohiyo ni january makamba au mtu aliye karibu na january makamba!

Mambo ya "Akili nyingi huodoa maarifa". Unaweza kuona unamtetea kwa nguvu jamaa yako kumbe actually una mu expose zaidi.

Wenye hizo nyeti za jamaa waziweke ili kama zinapangulika zipanguliwe, kama ni kweli watu wajue.Kwa kutoziweka wazi, watu wenye vivid imaginations tunaweza ku imagine something even more heinous kuliko allegations zenyewe.
 
Babu wame ku ban naona umeibuka na jina jipya.Suti yangu ya ushindi wa Obama iko wapi? sijasahau hivyo.

Heheheheee...si unajua tena LeanB always takes over where Nyani leaves off...

Sasa kuhusu ile suti...lete info zaidi basi eg. jina la dobi, vipimo, n.k....nataka uipate kabla ya krismasi....
 
Mnasemaje kuhusu hii kauli ya January Makamba baada tu ya maafa ya Kimbunga cha Katrina.Is he or not one of those smartest guys?

Namnukuu "The slow pace in response we have seen after Katrina was due to institutional constraints. I don't buy the racial line. I can liken bureaucracy to asking an elephant to do gymnastics"
Source:Shocked Africans Wonder at Slow Aid After Katrina

Pundit na Kuhani hebu nipeni mchanganuo wa kufikiri wa huyu mkubwa
 
Na vipi kuhusu Gustav.......?
 
Pundit na Kuhani hebu nipeni mchanganuo wa kufikiri wa huyu mkubwa.

He is largely wrong because, althought bureaucracy abounds in government, even with bureaucracy the government could have done much more much faster.

He is marginally right, especially on the race thing. Contrary to what was widely reported and popularized by Kanye West's skit "George Bush don't like black people", George Bush doesn't hate black people that much .He is a reported compassionate conservative with an unprecedented record in aid to Tanzania for example.Furthermore, even if the claim that he hated black people was true, it would be to his own political disadvantage to display that with nonchalant indifference and so callously.

I believe bureaucracy played a big role, but contrary to what that established elitist and noted government apologist who goes by the name of January Makamba would like us to believe, it is not something that the bureaucrats were helpless in quickly undoing.

The hurricane was an unstoppable force of nature, the bureaucracy was not.From that, the excuse does not stand.Furthermore, it exposes a dangerous degree of escapist Kikweteism, blame shifting and blatant denialism.
 
Sikujua kuwa January Makamba anaogopewa kiasi hiki.
Kwa mara ya kwanza niliposoma Blog yake niliona kuwa ni kijana mwenye mawazo ambayo wengine wanatakiwa kuyaiga kwa maana ya kuandika na kufanya majadiliano kwa nia ya kufahamu matatizo yetu na jinsi ya kuyakabili. Maelezo yake pekee yalitosha kupata picha ya January ni mtu wa namna gani "NI KIJANA MWENYE KIPAJI NA ANAYEONA MBALI"
Bila ya kuingiza ushabiki usiokuwa na maana January ni hazina ya Taifa hili kama walivyo vijana wengine wanaojitolea kuwa mifano kwa wenzao.

Ninakutakia kila la heri January katika safari yako uliyoinza, safari ni ndefu vikwazo ni vingi lakini usikate tamaa, simama imara utafanikiwa.
Mungu akubariki
 
Dude please.....yaani hiko kijamaa ni nazina kwa taifa? Ndio maana tumelosti sisi....khaaaaaaa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom