January Makamba ni bora kuliko Yusuf Makamba, Rizwan Kikwete ni dhaifu kwa Jakaya Kikwete

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Baba na mwana katika hizi familia mbili za wapakwa mafuta zinatafakarisha.

UKimchukua January Makamba na mzee wake Yusuf ukaweweka kwenye mzani,Yusuf atamzidi January kwa umri tu,ni dhairi January alijifunza siasa kwa mzeewake na akampiku kila kitu,elimu,aiba nk.

Njoo kwa Rizwan ambaye nilitarajia awe bora kuliko mzee wake lakini wapi,kwa umri wake wa miska 45 mzee wake alikuwa anatetemesha nchi hadi mwalimu Nyerere alijuta kumfahamu,leo hii tukiambiwa tuchague Rais chini ya mtutu wa bunduki kati ya Rizwan au JK ,tutamchagua JK,
Rizwan unafeli wapi???
 
Vipi Nape na Nnauye??
 
Vipi Nape na Nnauye??
Mzee Nauye yuko juu,alikuwa Brigedia jeshini kabla ya kuingia kwenye Siasa,Alikuwa mwana mikakati mzuri sana sema alikuwa mtu wa bata sana mpaka akafa bila kujenga masikini mzee wa watu,Baada ya kufariki Mzee Makamba akamlea Nape kama mwanae,na hata msiba wa mzee Nnauye tuliufanyia kwa mzee Makamba,
So Moses Nnauye nampa 8 Nape nampa 4
 
Qualification pekee aliyokuwa nayo Nape ni kuwa mtoto wa Moses Nnauye, kinyume na hapo he is just an empty tin with lowest I.Q ever.

Kama isingekuwa kubebwa na jina, Nape angekuwa dalali wa vyumba vya mabondeni huko.
Uko sahihi kiongozi
 
Vipi Hussein Mwinyi na Ali Hassan Mwinyi?
Mabomu ya mbagala na gongo la mboto yalitosha kumtema Hussein Mwinyi nje ya ulingo.uzembe wa hali ya juu ulioleta taharuki nchini,
Mzee Mwinyi kama kweli pepo ipo basi yuko peponi,Nyerere alikuwa mkoloni mweusi sema mzee Mwinyi akatutoa kwenye ukoloni wa Nyerere, RIP mzee Ruksa,Hussein anatembelea jina la mzee wake tu hamna kitu pale
 
Pole pole ndio mwendo, mwenda pole hajikwai🐒
 
Rizi yupo Lowkey, Janu ana mbwembwe sana
 
Wewe kutwa kujikomba kwa familia ya kikwete
Waswahili toka mbahatike kuingia ikulu imekuwa nongwa

Et blah blah nyerere anamuogopa?

Unasimulia vitu vya kufikirika
 
Ukizaliwa sehemu ambayo hamna njaa unakuwa siyo fame seeker
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…