mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Nyie nyukaneniAkija huku tutamsafisha tu kamanda.
Mtoane meno mpk mbaki vibogoyo huko
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie nyukaneniAkija huku tutamsafisha tu kamanda.
Nyukaneni hukoBado hamjakoma
Dogo kuwa na adabu kwa wakubwa zako.Na Lowasa ulisema hivi hivi kenge wewe
Kwa nini tunyukane sasa, kamanda?Nyie nyukaneni
Mtoane meno mpk mbaki vibogoyo huko
Ova
Mtamnunua kwa shilingi ngapi?Salaam.
Kwa kuwa January Makamba ni mchapa kazi na anakubalika na wanachama wa Chadema basi tunamuomba achukue kadi ya chadema haraka sana ili tumpitishe kugombea urais mwaka 2020 akipambana na rais Magufuli aliyemtengua leo.
Ikumbukwe pengo la mgombea urais chadema liko wazi baada ya Edward Lowasa kukatwa mkia na kurudi ccm rasmi ,baadhi wanamtaja Lisu kurithi mikoba ya Lowasa lakini watu wengi wanasema afya ya Lisu bado haijaimarika pia wapika kura wengi wamechukizwa na skendo yake ya kufanya kikao na mkuu wa mashoga duniani ! Wazazi wengi wana hofu hatima ya watoto wao ikiwa Tundu Lisu atashinda urais na kuruhusu ushoga nchini.
Hivyo basi Makamba anaonekana wazi atapata nafasi Chadema maana hana sikendo ya ufisadi na amesimamia vizuri upigwaji marufuku mifuko ya plasitiki nchini.
Salaam.

Hahaha! Chadema bado inawafuasi..?Salaam.

Kama ambavyo mawaziri, rc, dc na sg wanavyotoka upinzani huku ninyi mkikata viunu na kushangilia kwa buku saba na shati pasi sarawili 😀 😀CHADEMA haiwezi kupata Mgombea mpaka lazima atoke CCM
Jiandae kumsafisha na kumuombea kura Makamba huko Chadema.Kama ambavyo mawaziri, rc, dc na sg wanavyotoka upinzani huku ninyi mkikata viunu na kushangilia kwa buku saba na shati pasi sarawili 😀 😀
Mkimaliza kugawana fito tembezeaneni bakora maana mpaka mwezi ukipevuka sijui...
Halafu ni ujinga mtupu kuzidisha uhasama na watu kwa kitu ambacho hakijulikani kitapatikana lini.Salaam.
Kwa kuwa January Makamba ni mchapa kazi na anakubalika na wanachama wa Chadema basi tunamuomba achukue kadi ya chadema haraka sana ili tumpitishe kugombea urais mwaka 2020 akipambana na rais Magufuli aliyemtengua leo.
Ikumbukwe pengo la mgombea urais chadema liko wazi baada ya Edward Lowasa kukatwa mkia na kurudi ccm rasmi ,baadhi wanamtaja Lisu kurithi mikoba ya Lowasa lakini watu wengi wanasema afya ya Lisu bado haijaimarika pia wapika kura wengi wamechukizwa na skendo yake ya kufanya kikao na mkuu wa mashoga duniani ! Wazazi wengi wana hofu hatima ya watoto wao ikiwa Tundu Lisu atashinda urais na kuruhusu ushoga nchini.
Hivyo basi Makamba anaonekana wazi atapata nafasi Chadema maana hana sikendo ya ufisadi na amesimamia vizuri upigwaji marufuku mifuko ya plasitiki nchini.
Atakuwa kafanya grave mistakeSalaam.

Wazee wa kashfa... mmesahau mara hii kuwa mamvi mlisema anajinyea Je mlipompokea mlivisha pampas au mlimsafisha na JIK...Jiandae kumsafisha na kumuombea kura Makamba huko Chadema.
Kumbuka Lowasa yupo kwenye list of shame ya ChademaWazee wa kashfa... mmesahau mara hii kuwa mamvi mlisema anajinyea Je mlipompokea mlivisha pampas au mlimsafisha na JIK...
Saa hizi anawaburuta atakavyo timu yake ndio imeshika sukani nyie kuleni buku saba za bado na mashati bila vyupi
Alikuwa mgombea ubunge jimbo la Biharamulo 1990 akiwa mwana CCM.Sidhani kama atakuwa mjinga hivyo na amuachie chama mtu aiyechukua card ya ccm 1993. Hali yeye kazaliwa na kulelewa ndani ya chama.