January Makamba njoo CHADEMA uwe mgombea urais mwaka 2020

Mtamnunua kwa shilingi ngapi?
 
Kwanini CHADEMA mnapenda sana Kuchukua Makapi ya kutoka CCM na hamjiamini katika Kuwaandaa na Kuwapika Watu wenu wenyewe? Huu nao ni Udhaifu kwa upande wenu na ni kama vile bado hamjajifunza kutokana na Fundisho la Lowassa hadi akawakimbieni. Japo Mimi mwana CHADEMA ( bali ni Mtu tu wa Kawaida ) ila ninachojua ni kwamba kuna Watu wengi huko huko CHADEMA Kwenu wenye si tu Uwezo bali hata Utashi wa kuweza kuwa Wagombea Urais kuliko hata hiyo Mizoga ambayo huwa mnaipokea kutoka CCM.
 
Hahaha! Chadema bado inawafuasi..?
 
CHADEMA haiwezi kupata Mgombea mpaka lazima atoke CCM
Kama ambavyo mawaziri, rc, dc na sg wanavyotoka upinzani huku ninyi mkikata viunu na kushangilia kwa buku saba na shati pasi sarawili 😀 😀
Mkimaliza kugawana fito tembezeaneni bakora maana mpaka mwezi ukipevuka sijui...
 
Jiandae kumsafisha na kumuombea kura Makamba huko Chadema.
 
Halafu ni ujinga mtupu kuzidisha uhasama na watu kwa kitu ambacho hakijulikani kitapatikana lini.
Ni afadhali ungesema aende chadema agombee ubunge kuliko kugombea uraisi kitu ambacho ni ndoto ya miaka 100.
 
Twende na Membe 2020
Twende na Antiphas 2020
Twende na Membe 2020
Twende na Makamba 2020
Twende na Mdude 2020
Twende na Nyarandu 2020
Twende na Mdee 2020
Twende na Kinana 2020
Twende na Ngeleja 2020
Twende na Nape 2020
Twende na Hawa 2020
Twende na January 2020
Twende na Mwigulu 2020
CDM mna PHD ya ulaghai
 
Atakuwa kafanya grave mistake
 
Nilidhani funzo la EL lilishawatosha...!
 
Jiandae kumsafisha na kumuombea kura Makamba huko Chadema.
Wazee wa kashfa... mmesahau mara hii kuwa mamvi mlisema anajinyea Je mlipompokea mlivisha pampas au mlimsafisha na JIK...
Saa hizi anawaburuta atakavyo timu yake ndio imeshika sukani nyie kuleni buku saba za bado na mashati bila vyupi
 
Kumbuka Lowasa yupo kwenye list of shame ya Chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…