January Makamba nyota yako inang'aa achana na wanaopinga

Kama ungekuwa mchongo Lowasa na membe mmoja wapo angekuwa Rais! Urais ni mipango ya Mungu! Huoni mpaka hata huyu Bibi kilaza kawa Rais!
Kama ungekuwa mpango wa mungu ccm msingekuwa mnaiba kura
 
Hapa nyinyi ndo mnazua maneno! Watu hawana shida na Makamba wanshida na utendaji wake wa kubababisha mara aseme hivi mara vile!
Amesema ishu ni clane na kuziba maji watu hamtaki kuelewa mnataka tuwabebe
 
Kama ungekuwa mchongo Lowasa na membe mmoja wapo angekuwa Rais! Urais ni mipango ya Mungu! Huoni mpaka hata huyu Bibi kilaza kawa Rais!
Ugomvi wa marafiki ndo ulisababisha yale lkn kulikuwa hakuna mtu wa kusimama mbele ya ile miamba
 
We ni lingosha flani,lipo lingine hapa ofsini kila mara kumtaja Magufuli tu!!! Mtakufa mwaka huu na makamba ndo huyoooooo rais 2030 kama mung akimjalia uzima,,,alafu tangu lini ccm mkashinda kwa kutegemea kura!!!? Si mnapora tu
Makamba is there to stay ingawa mambo ya urais tuwaache kwanza afanye kazi uliyopewa na SSH
 
Makamba anashangaa watu wanamtetea kweli kiongozi akipendwa raha sana
Kweli mkuu yani mi Makamba sijawahi kumuona live lkn kwa Urais naona atafaa japokuwa nilitamani mpinzani aingie Ikulu 2030 kama kungekuwa na tume huru
 
Ahahaaaaaaa!!! Makamba ni Rais ajae sioni wa kumtoa labda mmuue,ana nyenzo zote,Urais wa bongo ni mchongo na Makamba wa kumwinua anae tiyari si mwingine ni Samia,,,Samia hawezi kumuacha Makamba eti ampiganie Mwigulu sijui na madude gani mengine huko,,,Nachomsihi Mwigulu anyenyekee urais ataupata kwa kuachiwa na Makamba 2040,,,,tena anyenyekee kweli kweli
Hakuna zuzu zaidi yako. Jamiiforums sio kamati ya kupendekeza majina ya wagombea.
By the way leta CV ya huyo unae msifu.

Form four zero, form six zero, hatujafikia hapo, kuongozwa na vilaza.

Tunajua January ni waziri wa mchongo, ili kusaka pesa za kampeni meals kesho ndani ya chama,

ova
 
Hakuna zuzu zaidi yako. Jamiiforum sio kamati ya kupendekeza majina ya wagombea.
By the way leta CV ya huyo unae msifu.
Form four zero, form six zero, hatujafikia hapo, kuongozwa na vilaza.
Tunajua January ni waziri wa mchongo,ili kusaka pesa za kampeni meals kesho ndani ya chama, ova
Hivi ukipata zero f4 unaweza kufika F6??? Au umekunywa gongo!!? Na ukipata zero f6 unafikaje chuo!!?? Kweli Unamchukia Makamba aisee
 
Hii nchi ilikuwa imetumbukizwa katika shimo refu sana la Ukabila na kuabudu mtu( binadamu) .Wanaomtusi makamba aidha ni wasukuma au waabudu watu ambao waliamini Tz ni Magufuli na Magufuli ni Tz,bahati mbaya wanachanganyikiwa mungu wao hayupo tena,Uhakika wa kupewa nafasi nyeti wameukosa,nafasi za kuua wamtakae wameikosa sasa wanakuandama wewe kwa sababu umewekwa sehemu ambayo walikuwa wanaitumia kula. Wanajifanya wazalendo wakati hawana lolote bali tu matumbo yao yamebanwa,,,,,,Kama ni kula we kula tu January kwani ni lini nchi hii imeacha kuliwa

Wanafiki wanaokupigia kelele wanaona safari yako ya kuingia Ikulu imerahisishwa sana maana ramli zinaonesha nyenzo zote za kuingia Ikulu unazo labda uzichezee,,,Binafsi nilitaka baada Samia Upinzani uingie Ikulu lkn kama mazingira yasiporuhusu January utakuwa chaguo sahihi.

Achana na wapumbavu eti bwawa,Wtz tuna shida nyingi zaidi ya hilo bwawa.Trilion 6 iliyoelekezwa kwenye hilo dude ingeelekezwa katika kusambaza maji ningewapigia makofi mengi,,,,

Kama wao walitelekeza mradi wa gesi bila sababu,sitaona ajabu hata bwawa likitelekezwa,,,tunahitaji katiba mpya kuondoa vurugu hizi za kisiasa.
Ujinga unagharama kubwa hongera kwa kuilipa.
 
Punguani kama hizi ndo zinatuchelewesha kufikia uchumi mkubwa..shwain kabisaa... unazani hayo maji yatasambazwaa huko kwenu vilaza bila nguvu ya umeme? Kenge kabisaa hilii
 
Hii nchi ilikuwa imetumbukizwa katika shimo refu sana la Ukabila na kuabudu mtu( binadamu) .Wanaomtusi makamba aidha ni wasukuma au waabudu watu ambao waliamini Tz ni Magufuli na Magufuli ni Tz,bahati mbaya wanachanganyikiwa mungu wao hayupo tena,Uhakika wa kupewa nafasi nyeti wameukosa,nafasi za kuua wamtakae wameikosa sasa wanakuandama wewe kwa sababu umewekwa sehemu ambayo walikuwa wanaitumia kula. Wanajifanya wazalendo wakati hawana lolote bali tu matumbo yao yamebanwa,,,,,,Kama ni kula we kula tu January kwani ni lini nchi hii imeacha kuliwa

Wanafiki wanaokupigia kelele wanaona safari yako ya kuingia Ikulu imerahisishwa sana maana ramli zinaonesha nyenzo zote za kuingia Ikulu unazo labda uzichezee,,,Binafsi nilitaka baada Samia Upinzani uingie Ikulu lkn kama mazingira yasiporuhusu January utakuwa chaguo sahihi.

Achana na wapumbavu eti bwawa,Wtz tuna shida nyingi zaidi ya hilo bwawa.Trilion 6 iliyoelekezwa kwenye hilo dude ingeelekezwa katika kusambaza maji ningewapigia makofi mengi,,,,

Kama wao walitelekeza mradi wa gesi bila sababu,sitaona ajabu hata bwawa likitelekezwa,,,tunahitaji katiba mpya kuondoa vurugu hizi za kisiasa.
Huo mzigo unaotembea nao juu ya shingo ungeutua tu haukusaidii chochote.
 
Ahahaaaaaaa!!! Makamba ni Rais ajae sioni wa kumtoa labda mmuue,ana nyenzo zote,Urais wa bongo ni mchongo na Makamba wa kumwinua anae tiyari si mwingine ni Samia,,,Samia hawezi kumuacha Makamba eti ampiganie Mwigulu sijui na madude gani mengine huko,,,Nachomsihi Mwigulu anyenyekee urais ataupata kwa kuachiwa na Makamba 2040,,,,tena anyenyekee kweli kweli
Si tulikubalina utaratibu wa CCM akitoka muislamu anaingia Mkristo,nauliza tu
 
Unazungumzia kuabudu mtu kwani huyo anayebadilishwa wizara kila awamu bila kuonekana perfomance yake wewe humuabudu?

Endelea kumuabudu huyo mpiga dili.
ID za kimkakati hizo kajiunga juzi, hii ni post yake ya kwanza.
 
Wewe mtoa mada upo Burundi au ? Kwani hauoni mgao wa umeme hapa Dar na mikoa yote, muwe wazalendo na nchi yenu, magufuli amekuwa Rais kwa miaka 5 hakuna mgao wa umeme. Ameingia January Makamba umeme Kila siku unakatika. Na sio Mara 1 kwa siku Mara 3 mpaka 5

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom