January Makamba nyota yako inang'aa achana na wanaopinga

Swali Hilo kamuhulize pole pole na bashiru alafu wewe mshamba humu jf sisi ndio wakorongwa kipindi tunaingia kwenye game ikiitwa jambo forum mie sio level yako .mshamba wewe rudi Kwenu usukumani ukachunge mbuzi
Uwezo wako wa kufkiri ndio umeishia hapo?
Hujui hata kuandika pole....
 
Sukuma Gang wanapata tabu sana kipindi hiki
kwa hyo ndo atudanganye kuwa hakuna winch ya kubeba tani 26?.
mradi wa REA kusimama,
Shida ni muongo.majaliwa alitudanganya Sasa hivi ukidanganya tu unapewa za uso
 
Unazungumzia kuabudu mtu kwani huyo anayebadilishwa wizara kila awamu bila kuonekana perfomance yake wewe humuabudu?

Endelea kumuabudu huyo mpiga dili.
Sisi tunasubiri CAG aanze ukaguzi wa mikopo yote ya awamu ya tano tujue hayo matrilioni yalitumikaje?
 
Huo mzigo unaotembea nao juu ya shingo ungeutua tu haukusaidii chochote.
Wasukuma kazi mnayo January si level yenu,,,Namaanisha wasukuma wajinga,wasukuma welevu sina shida nao
Wameanza kusemana! Mkuu Omutontozi umejiunga lini hapa JF? Mmeanza mapema sana vita yenu. Msipokuwa makini nyote mtaukosa huo ukuu! Mmenza mapema kuparurana, pumzi itawaishia atatokea mtu from nowhere atapita katikati ya miguu yenu na atainuliwa mbaki mmeduwaa.
Sina cha kupoteza me ni mkulima akikosa sawa tu!!! Ila namhurumia kwanini wanamwandama wakati wote hamna kitu wanachoifanyia nchi hii zaidi ya matumbo yao na familia zao
 
Hii nchi ccm mnagombania utadhani ni mali yenu bimafsi,,,,,Wote mmeoza ila katika mizoga yenu January ana afadhali ukimpulizia perfume anabebeka
 
Wasukuma kazi mnayo January si level yenu,,,Namaanisha wasukuma wajinga,wasukuma welevu sina shida nao

Sina cha kupoteza me ni mkulima akikosa sawa tu!!! Ila namhurumia kwanini wanamwandama wakati wote hamna kitu wanachoifanyia nchi hii zaidi ya matumbo yao na familia zao
Kwa hilo la kumuandama hata mimi naona halipo sawa kwa kuwa hata hiyo kazi yenyewe hana miezi 3 lakini anasakamwa kweli. Vita ya kisiasa inajidhihirisha wazi.
 
Hii nchi ilikuwa imetumbukizwa katika shimo refu sana la Ukabila na kuabudu mtu (binadamu). Wanaomtusi makamba aidha ni wasukuma au waabudu watu ambao waliamini Tz ni Magufuli na Magufuli ni Tz, bahati mbaya wanachanganyikiwa mungu wao hayupo tena, Uhakika wa kupewa nafasi nyeti wameukosa, nafasi za kuua wamtakae wameikosa sasa wanakuandama wewe kwa sababu umewekwa sehemu ambayo walikuwa wanaitumia kula.
Kwa taarifa yako hakuna mlaji mbaya kama huyu! Uliza uambiwe na mtashangaa kwa namna atakavyotuingiza mkenge!
 
Wanajifanya wazalendo wakati hawana lolote bali tu matumbo yao yamebanwa. Kama ni kula we kula tu January kwani ni lini nchi hii imeacha kuliwa

Wanafiki wanaokupigia kelele wanaona safari yako ya kuingia Ikulu imerahisishwa sana maana ramli zinaonesha nyenzo zote za kuingia Ikulu unazo labda uzichezee. Binafsi nilitaka baada Samia Upinzani uingie Ikulu lkn kama mazingira yasiporuhusu January utakuwa chaguo sahihi.

Achana na wapumbavu eti bwawa, Wtz tuna shida nyingi zaidi ya hilo bwawa. Trilion 6 iliyoelekezwa kwenye hilo dude ingeelekezwa katika kusambaza maji ningewapigia makofi mengi

Kama wao walitelekeza mradi wa gesi bila sababu, sitaona ajabu hata bwawa likitelekezwa, tunahitaji Katiba Mpya kuondoa vurugu hizi za kisiasa.
Nende jukwaa la cerebraties thread ya warumi mji mzito huu utaelewa majanga ya huyu mtu wako unaetaka awe rais
 
Kuna watu mna mda wa kupoteza.

Sasa umeandika nini humu?.

Bila shaka kazi zako hazihitaji Umeme. Usikute unakaa chumba kimoja afua unatumia tochi na simu unachaji ofcin.
 
Kwa taarifa yako hakuna mlaji mbaya kama huyu! Uliza uambiwe na mtashangaa kwa namna atakavyotuingiza mkenge!
We umeiba vingapi!!!? Kisa umetemeshwa ndo uachame hapa jukwaani,,, bora sisi tushazoea kujitafutia ila nyinyi lzm mfe mmezoea vya kunyonga
 
Back
Top Bottom