January Makamba nyota yako inang'aa achana na wanaopinga

January Makamba nyota yako inang'aa achana na wanaopinga

w
Hii nchi ilikuwa imetumbukizwa katika shimo refu sana la Ukabila na kuabudu mtu( binadamu) .Wanaomtusi makamba aidha ni wasukuma au waabudu watu ambao waliamini Tz ni Magufuli na Magufuli ni Tz,bahati mbaya wanachanganyikiwa mungu wao hayupo tena,Uhakika wa kupewa nafasi nyeti wameukosa,nafasi za kuua wamtakae wameikosa sasa wanakuandama wewe kwa sababu umewekwa sehemu ambayo walikuwa wanaitumia kula. Wanajifanya wazalendo wakati hawana lolote bali tu matumbo yao yamebanwa,,,,,,Kama ni kula we kula tu January kwani ni lini nchi hii imeacha kuliwa

Wanafiki wanaokupigia kelele wanaona safari yako ya kuingia Ikulu imerahisishwa sana maana ramli zinaonesha nyenzo zote za kuingia Ikulu unazo labda uzichezee,,,Binafsi nilitaka baada Samia Upinzani uingie Ikulu lkn kama mazingira yasiporuhusu January utakuwa chaguo sahihi.

Achana na wapumbavu eti bwawa,Wtz tuna shida nyingi zaidi ya hilo bwawa.Trilion 6 iliyoelekezwa kwenye hilo dude ingeelekezwa katika kusambaza maji ningewapigia makofi mengi,,,,

Kama wao walitelekeza mradi wa gesi bila sababu,sitaona ajabu hata bwawa likitelekezwa,,,tunahitaji katiba mpya kuondoa vurugu hizi za kisiasa.
Washenzi waliokuwa wanapenzi wa utekaji na mauwaji ndio wanamchukia Makamba
 
Wewe mtoa mada upo Burundi au ? Kwani hauoni mgao wa umeme hapa Dar na mikoa yote, muwe wazalendo na nchi yenu, magufuli amekuwa Rais kwa miaka 5 hakuna mgao wa umeme. Ameingia January Makamba umeme Kila siku unakatika. Na sio Mara 1 kwa siku Mara 3 mpaka 5

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
mgao wa umeme si ununue sola
 
Unaleta hadidhi mara unazungumzia ukabila! Kwa hiyo huyo kilaza wako akibombea hatahitaji kura za wasukuma?. Acha upumbabu wewe bwege alikwambia nani kila anayempinga makamba ni Msukuma?
Wasumuma mna matatizo.
 
KweLi mkuu naikuabari hoja yako sasa hivi jf imevamiwa na sukuma gang cha kushangaza hata bavicha nao wanawashangaa hawa jamaa wametokea wapi .jf ya awamu ya nne chini ya muheshimwa kikwete ilikuwa nzuri members tulikwa hatujuti MB zetu kulikuwa na bavicha na uvccm kulikwa na vita za hoja yaan ilikuwa burudani nami nilishawishika kujiiunga jf kwa ajili Yao
 
Umeishia la ngap?
 
Kunawakati ficha ujinga wako itakusaidia
 
Mleta mada una akili za kitoto, Wala haupo upande wa Januari, ila umetumwa kuja kumwalibia.
 
Ahahaaaaaaa!!! Makamba ni Rais ajae sioni wa kumtoa labda mmuue,ana nyenzo zote,Urais wa bongo ni mchongo na Makamba wa kumwinua anae tiyari si mwingine ni Samia,,,Samia hawezi kumuacha Makamba eti ampiganie Mwigulu sijui na madude gani mengine huko,,,Nachomsihi Mwigulu anyenyekee urais ataupata kwa kuachiwa na Makamba 2040,,,,tena anyenyekee kweli kweli
Wameanza kusemana! Mkuu Omutontozi umejiunga lini hapa JF? Mmeanza mapema sana vita yenu. Msipokuwa makini nyote mtaukosa huo ukuu! Mmenza mapema kuparurana, pumzi itawaishia atatokea mtu from nowhere atapita katikati ya miguu yenu na atainuliwa mbaki mmeduwaa.
 
Umeishia la ngap?
Swali Hilo kamuhulize pole pole na bashiru alafu wewe mshamba humu jf sisi ndio wakorongwa kipindi tunaingia kwenye game ikiitwa jambo forum mie sio level yako .mshamba wewe rudi Kwenu usukumani ukachunge mbuzi
 
Jitetee badili dini jifanye wewe ni mkatoliki lakini jua ya kwamba Raisi anaekuja ni Kassim Majaliwa, sisi Wananchi hatutaki wapigaji na wajuaji tunataka Raisi mchapakazi endelea kuandika hotuba twitter
 
Sawa mkuu. Ila CCM hawapo kama uwafikiavyo
 
Ahahaaaaaaa!!! Makamba ni Rais ajae sioni wa kumtoa labda mmuue,ana nyenzo zote,Urais wa bongo ni mchongo na Makamba wa kumwinua anae tiyari si mwingine ni Samia,,,Samia hawezi kumuacha Makamba eti ampiganie Mwigulu sijui na madude gani mengine huko,,,Nachomsihi Mwigulu anyenyekee urais ataupata kwa kuachiwa na Makamba 2040,,,,tena anyenyekee kweli kweli
Naona watu wanashindwa kuona!!! Hii ni vita ya Urais yani January hata akikohoa wajinga flani wanamshukia kama mwewe!!! Ila mjue kete zake zote zimepangwa vizuri ni mungu amjalie uhai 2030 ndo Rais,,, Urais wa bongo ni mchongo kama zilivyo ajira zingine,,Kama mnamtaka Mwigulu sioni mjomba wa kumvuta mkono atulie amnyenyekee Makamba labda 2040 atamwachia
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kumbe unategemea kushikwa mkono na Wajomba? Kuanzia kuandika hotuba Ikulu Mpaka uraisi unataka wajomba wakushike mkono , umelalaaa yooooo

Hata wakina Mwigulu , Kassim Majaliwa , Phillip Mpango hawakufikishwa hapo walipo na wajomba kama wewe ni akili zao na cv zao husishindane nao
Kama ungekuwa mchongo Lowasa na membe mmoja wapo angekuwa Rais! Urais ni mipango ya Mungu! Huoni mpaka hata huyu Bibi kilaza kawa Rais!
Hajui ni mipango ya Mungu au labda Mungu yupo kwenye List ya wajomba zake wa kumshika mkono
 
Hivi ukipata zero f4 unaweza kufika F6??? Au umekunywa gongo!!? Na ukipata zero f6 unafikaje chuo!!?? Kweli Unamchukia Makamba aisee

Kwenda form six ndio akili ?

Zamani Mpaka devision zero walikua wanaenda A/Level , husitudanganye mfumo wa ufaulu ndio uende A-Level umekuja kubadilika kipindi chetu

Huyo Makamba kasoma enzi za mwalimu
 
Wameanza kusemana! Mkuu Omutontozi umejiunga lini hapa JF? Mmeanza mapema sana vita yenu. Msipokuwa makini nyote mtaukosa huo ukuu! Mmenza mapema kuparurana, pumzi itawaishia atatokea mtu from nowhere atapita katikati ya miguu yenu na atainuliwa mbaki mmeduwaa.

D2F7AC0D-4AD8-48A8-8675-D694216300CA.jpeg
 
Member since November -13- 2021, yaani Jana
Marope Jnr Acha utoto wa kufungua Fake Account JF kutaka kujisifia, wewe ni Kilaza tokea Galanos ulipofanya Wizi WA Mitihani ya Kidato cha Nne
Halafu Nakukumbusha wewe ni Mmoja ya Wale MaZUZU wa Bungeni, according to Prof Assad na Generali Ulimwengu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom