January Makamba nyota yako inang'aa achana na wanaopinga

Unazungumzia kuabudu mtu kwani huyo anayebadilishwa wizara kila awamu bila kuonekana perfomance yake wewe humuabudu?

Endelea kumuabudu huyo mpiga dili.
Kijana hebu jifunze kuwa na heshima kwenye mamlaka. Huyu January Makamba anaweza kuwa rais wako wa baadae
 
Hata jiwe ilikuwa mara aseme hivi mara vile.
Hapa nyinyi ndo mnazua maneno! Watu hawana shida na Makamba wanshida na utendaji wake wa kubababisha mara aseme hivi mara vile!
 
Unaleta hadithi mara unazungumzia ukabila! Kwa hiyo huyo kilaza wako akibombea hatahitaji kura za wasukuma? Acha upumbavu wewe alikwambia nani kila anayempinga Makamba ni Msukuma?
Ngese hilo achana nalo kuna mafara wanatuletea ukabila baada ya jpm kufanya makubwa wanaweweseka na wasukuma mpkaa basi
 
We ni lingosha fulani, lipo lingine hapa ofsini kila mara kumtaja Magufuli tu!!! Mtakufa mwaka huu na Makamba ndio huyoooooo rais 2030 kama mungu akimjalia uzima, halafu tangu lini CCM mkashinda kwa kutegemea kura!!!? Si mnapora tu
Ww naona umetatuliwa linda na ngosha na kaaa ukijua kura nyingi ziko kanda ya ziwa sasa ww wazarau watu wa kanda ya ziwa na huyo anae kutuma mtausikia tu urais
 
Ninavyo ona kwa kipindi kirefu tumekuwa na kautaratibu kakubadilishana kiimani kwa maana akiingia mkristo awamu ijayo muislam.Hata kama halipo kwenye katiba lakini naona kama ni kautaratibu kamewekwa ,sasa mama kama 2025 anagombea tena na kuchukua nchi nadhani 2030 atakuja mkristo na hapo ndoo wakina Mwigulu wanaweza anza cheza sarakasi zao.
 
Wewe ni zuzu wa makamba kakutuma ulete uharo humu!

Makamba ni janga la kitaifa na kama akigombea urais wa nchi hii ataambulia kura yako na ya mke wako, baba yako, mama yako, mzee Makamba na genge la msoga na CCM itakuwa HISTORY.
Tangu lini ulisikia kuwa box la kura linaamuliwa la Tanzania na wapiga kura?hakuna uchaguzi Tanzania
 
Sijawahi kumuona muhaya anaongea vapour kama hii ya leo.
 
Unazungumzia kuabudu mtu kwani huyo anayebadilishwa wizara kila awamu bila kuonekana perfomance yake wewe humuabudu?

Endelea kumuabudu huyo mpiga dili.
Kwa Makamba labda awe rais wa mashabiki wa simba.
 
Wewe ni zuzu wa makamba kakutuma ulete uharo humu!

Makamba ni janga la kitaifa na kama akigombea urais wa nchi hii ataambulia kura yako na ya mke wako, baba yako, mama yako, mzee Makamba na genge la msoga na CCM itakuwa HISTORY.
Washa washa washa moto ili liccm tuliondoe madarakani chapu chapu
 
Chochea chochea moto ukoleeeeee
 
Hayo maji yangesukumwa na ninu bila umeme au?

Mbona mnawaza kijinga kama nyumbu bila kutumia akili mvukapo mto wenye mamba?

Hayo maji yatapandaje kwenu bika umeme kamaunatumia akili ujibu.
Ccm ndiyo naiona inajigia hata kabla ya 2025 na Makamba kazi yake atakuwa ameitimiza
 
Maskini kijana watu usiniue mi niko kijijini kwetu huku wala Makamba sijawahi kumuona karibu zaidi ya kumuona kwenye Tv tu ila unafiki wa awamu tano safagilii
Upo kwenu Burundi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…