January Makamba nyota yako inang'aa achana na wanaopinga

Swali Hilo kamuhulize pole pole na bashiru alafu wewe mshamba humu jf sisi ndio wakorongwa kipindi tunaingia kwenye game ikiitwa jambo forum mie sio level yako .mshamba wewe rudi Kwenu usukumani ukachunge mbuzi
Uwezo wako wa kufkiri ndio umeishia hapo?
Hujui hata kuandika pole....
 
Sukuma Gang wanapata tabu sana kipindi hiki
kwa hyo ndo atudanganye kuwa hakuna winch ya kubeba tani 26?.
mradi wa REA kusimama,
Shida ni muongo.majaliwa alitudanganya Sasa hivi ukidanganya tu unapewa za uso
 
Unazungumzia kuabudu mtu kwani huyo anayebadilishwa wizara kila awamu bila kuonekana perfomance yake wewe humuabudu?

Endelea kumuabudu huyo mpiga dili.
Sisi tunasubiri CAG aanze ukaguzi wa mikopo yote ya awamu ya tano tujue hayo matrilioni yalitumikaje?
 
Huo mzigo unaotembea nao juu ya shingo ungeutua tu haukusaidii chochote.
Wasukuma kazi mnayo January si level yenu,,,Namaanisha wasukuma wajinga,wasukuma welevu sina shida nao
Sina cha kupoteza me ni mkulima akikosa sawa tu!!! Ila namhurumia kwanini wanamwandama wakati wote hamna kitu wanachoifanyia nchi hii zaidi ya matumbo yao na familia zao
 
Hii nchi ccm mnagombania utadhani ni mali yenu bimafsi,,,,,Wote mmeoza ila katika mizoga yenu January ana afadhali ukimpulizia perfume anabebeka
 
Kwa hilo la kumuandama hata mimi naona halipo sawa kwa kuwa hata hiyo kazi yenyewe hana miezi 3 lakini anasakamwa kweli. Vita ya kisiasa inajidhihirisha wazi.
 
Kwa taarifa yako hakuna mlaji mbaya kama huyu! Uliza uambiwe na mtashangaa kwa namna atakavyotuingiza mkenge!
 
Nende jukwaa la cerebraties thread ya warumi mji mzito huu utaelewa majanga ya huyu mtu wako unaetaka awe rais
 
Kuna watu mna mda wa kupoteza.

Sasa umeandika nini humu?.

Bila shaka kazi zako hazihitaji Umeme. Usikute unakaa chumba kimoja afua unatumia tochi na simu unachaji ofcin.
 
Kwa taarifa yako hakuna mlaji mbaya kama huyu! Uliza uambiwe na mtashangaa kwa namna atakavyotuingiza mkenge!
We umeiba vingapi!!!? Kisa umetemeshwa ndo uachame hapa jukwaani,,, bora sisi tushazoea kujitafutia ila nyinyi lzm mfe mmezoea vya kunyonga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…