Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Kwani hela za mita alikuwa anatoa tanesco au serikali kupitia mradi was rea?wa kupeleka umeme vijijini?Sukuma gang
Makamba anawasumbua sana mimi nipo tanesco toka huyo msukuma wenu aropoke watu wafunguwe uneme kwa 27000 tanesco walikuwa wanawapimia watu lakini hawakuweza kuwafungia watu mita
Huu ulkuwa mzigo mzito kwa tanesco, mpaka january Mak anaingia madarakani kulikuwa na pending za muita 84000 plus
Acheni siasa za chuki na ujinga ujinga naona mlitaka wasukuma wote ndio wawe kwenye baraza la Mawaziri
Shida UMEME.Acheni ujinga kila siku makamba makamba shida nini?
Kama serikali inatoa subside hamna shida, lengo ni kuwafikia wananchi wengie zaidiNdio siasa ilitufikisha huko mkuu, hiyo gharama ya tzs 27,00 ni siasa tupu na uhalisia haupo hivyo na tanesco wanashindwa kutekeleza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]January atajuta kuifahamu hiyo wizara. Na alivyo kimbaumbau atazidi kukauka
Tanesco ina vilaza wengi sana ni kweli.Nadhani complete overhaul inahitajika Tanesco undugu umetawala sana badala ya weledi.Halafu hongo,dah nje nje.Tatizo LA undugu lipo pia kwenye Halimaahauri zetu.Acha upompoma serikali ilitoa ruzuku kwa tanesco kufanikisha hilo..hii wizara tayari imekaliwa na vilaza wapiga dili..ndio mana mambo hayaendi.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakukatalia, hata salamu inanunuliwa.Wacha kelele toa rushwa hio,hii ndio bongo.Cha bure Ni salamu.
πππ Kweli nilikosea kidogo mkuu.Nakukatalia, hata salamu inanunuliwa.
Kilichobaki cha bure nchi hii ni oxygen ghafi hii tunayovuta.
Sijawahi kumkumbuka zaidi ya kusema safari yetu ni mojaMagufuli alisema mtanikumbuka na sasa kweli tunamkumbuka mapema mno!
Kwa masikitiko makubwa sana Tanesco nchi nzima hakuna nguzo wala mita kwa wateja wapya. Tatizo ni nini?
Cha kushangaza na kufurahisha mteja mpya akishapimiwa umeme kama line yake inahitaji nguzo mteja haruhusiwi kulipia wala hapewi control number.
Kalemani alikuwa anapata wapi nguzo na mita? Mameneja wa Tanesco mikoa na wilaya nchi nzima wamepigwa marufuku kutoa namba za kulipia line mpya inayohitaji nguzo.
Je, hali hii itaendelea hadi lini? Makamba watanzania wanakuangalia na wanajuta awamu sita inakoelekea na umezidisha maneno kuliko matendo.
Toa taarifa kwa vyombo vya umma na vyombo vya habari kuelezea hali halisi ya Tanesco na ni nini wateja wapya wanachotakiwa kufanya au wasubiri hadi lini wawese kulipia umeme.
Ni nini maoni yako?Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni.
Ni mapema mno kumlaumu Makamba kwa changamoto zilizoko TANESCO kwa sasa. Hana hata miezi miwili ofisini. Hata kama alipoingia tu ofisini kazi yake ya kwanza ingekuwa kuagiza hizo nguzo zinunuliwe, haziwezi kuwa zimeshasambazwa nchi nzima ndani ya huo muda mfupi.
Kama hilo tatizo la nguzo lipo kwa kiasi kikubwa kama lilivyoelezwa hapa, lazima shida ilianza miezi mingi kabla ya Makamba.
Tukitaka tuendelee tuache unafiki, uongo na chuki binafsi. Tuwe wakweli na tutende haki kwa kila mtu.
Katika mambo ya uchumi mkubwa usilinganishe na biashara ya nyanya.Ndio siasa ilitufikisha huko mkuu, hiyo gharama ya tzs 27,00 ni siasa tupu na uhalisia haupo hivyo na tanesco wanashindwa kutekeleza
Aliyewaroga watz alikufa bila kuacha mrithi,, huyo bi kijora mnayemuita rais ndiyo anauua kila kitu ili kuifuta legacy ya brother Magu,, leo mfuko wa mbolea ni shs 96,000 ktoka shs 56,000 kabla brother hajazikwa kweli mkulima atampa kura huyo kijora kama uchaguzi ungekuwa next month??Kipara ngoto kaja kuleta upigaji tu pale...huyu si ndio alitaka kukataa ujenzi wa bwawa la nyerere wakati alipokuwa waziri wa mazingira leo kapewa hiyo wizara...tutakoma.
kipara unatafuta wa kumlaumuKiuhalisia hii Wizara imezamishwa na Kalemani, alipolazimisha gharama ya kuunganisha umeme tzs 27,000/- wakati akijua fika gharama za vifaa husika ni zaidi ya tzs 150,000/- Hii ilikuwa hujuma kwa shirika LA Tanesco na kama yasemwayo ni kweli nilitegemea lazima iwe hivyo