January Makamba: TANESCO sasa wamesitisha miradi ya ujenzi wa maofisi na kuelekeza fedha kukarabati miundombinu ya Ugavi

Duh engineer

Machine zina maintenance schedule, usipofanya repair hata rais awe kiduku zitazingua tu.

Machine hazijafanyiwa maintenance ndani ya miaka mitano? Nazo ziliogopa zikapiga kazi?
Wanawazimu hawa watu na wanatuona malofa wote…mskize huyu Vybz Kartel na hii ngoma poor people land na hao MPs who don’t give a damn…Babylon system.
 

Attachments

Mwanaume wa kweli hasusi..wala haongelei "tukisusa"....unanipa wasiwasi na Jinsia yako..mkisusa mnaliwa tu[emoji81][emoji81]
 
Kuna nchi ukisikia kukatika kwa umeme ujue kuna kimbunga, huko miundo mbinu haichakai?
 
Ni kama alivyowadanganya hakuna korona mungu kamwambia

Jinga sana lile dude lenu
Character iliyochezwa na huyo jamaa kwenye avatar yako kwenye tamthilia moja hivi inaendana na haya maandishi yako kabisa. Perfect combo.
 
Watu huwa hawajiulizi mfano ana pikipiki tu anaenda garage kufanya matengenezo je hayo ni ya nini. Au mtu kila siku anaoga hajui kuwa ni Maintenance hiyo au mtu analala akiamka yupo poa bila kujua usingizi ni Maintenance pia.
Issue hapo ni kuwa na installed capacity ya kutosha ndio maana halisi ya JNHPP 2115MW kitu ambacho namkubali Magufuli katika hili.
Unapokuwa na installed capacity ya ziada kimfano tukiwa na JNHPP unaweza kuzima Kinyerezi 1 bila kuathiri upatikanaji wa umeme.
 
Huyu Jamaa ni mkweli na hapendi unafiki, Nimtu anayeeleza ukweli hata kama unamgharimu chochote,Mungu akutangulie January kwakuwa unasema yaliyoyakweli.



Watu waliwahi kutishiwa kufukuzwa kwa kukata umeme kwa ajili ya kufanya scheduled repairs. Wakaacha scheduled repairs kuogopa kufukuzwa. Nasi tukafurahia umeme kutokatika. Matokeo yake mfumo wa ugavi umechoka. Dawa si kufukuza bali kurekebisha hali. Itachukua muda lakini wataweza
 
===
Huyu Jamaa ni mkweli na hapendi unafiki, Nimtu anayeeleza ukweli hata kama unamgharimu chochote,Mungu akutangulie January kwakuwa unasema yaliyoyakweli,

View attachment 2015064
na wewe umeridhika nayo?
kwa akili kama zako ama kwa hakika tunayo safari ndefu sana kufika na tutafika tumechoka!!!
 
Wakati wa kikwetwe miaka yote ulikwa umeme nikukatika tuuu..maqmq yake walikuwa wanafanya repair..sasa kama wakati wa kikwetwe mda wote walikuwa wanafanya repair, je nikitu gani kimesababisha walalamike kuwa wakati wa jiwe hapakufanyiwa repair wakati wa kikwete maisha yote ilikuwa mgao wa umeme sabb ya repairs.?Kwa kuwa mfumo wa ugavi Tanzania ni sawa na sehemu zingine duniani, kwanini sehemu zingine umeme huwa haukatiki,je wao hawafanyi repairs?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…