Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanawazimu hawa watu na wanatuona malofa wote…mskize huyu Vybz Kartel na hii ngoma poor people land na hao MPs who don’t give a damn…Babylon system.Duh engineer
Machine zina maintenance schedule, usipofanya repair hata rais awe kiduku zitazingua tu.
Machine hazijafanyiwa maintenance ndani ya miaka mitano? Nazo ziliogopa zikapiga kazi?
Mwanaume wa kweli hasusi..wala haongelei "tukisusa"....unanipa wasiwasi na Jinsia yako..mkisusa mnaliwa tu[emoji81][emoji81]Tunafuta
Wait and see
Mbowe yupo ndani sababu ya hiyo mifumo
Huku Space tumewasha moto,nchi imesoma mchezo kila kitu ni Katiba Mpya
Wait and see....mama na nyie maccm lazima mpende au msipende lazima katiba ipatikane
Na 2025 haendi mtu kwenye uchaguzi bila katiba mpya...guess what,vyama vyote tukisusia national election my friend you are all in trouble!
Kuna nchi ukisikia kukatika kwa umeme ujue kuna kimbunga, huko miundo mbinu haichakai?Bado naona Approach ya Waziri Makamba ipo sawa sawia. Huwezi kufanya kazi kwa mashinikizo yasiyo na msingi. Alichokisema ilikuwa ndio anaingia Wizara hiyo sasa kapata data zote za mfumo wote wa ugawaji wa umeme ambao unahitaji marekebisho na kufanya hivyo lazima wakate umeme.
Maintenance ndio chanzo kikubwa kwa mifumu mingi Africa kufa, watu wengi hatuna mazoea ya kutenga pesa kwa ajili ya maintenance. Anakuja waziri anasema usikate umeme akiogopa kutumbuliwa kumbe mfumo wote unaendelea kuchakaa na kuongeza upotevu wa umeme.
Tusiwe wanazi tumwache afanyekazi yake. It too early to compare. Tuliona nguvu njingi zikitumika bila ya mafanikio ya kudumu na oungo mwingi na majigambo. Nchi hainendi kwa mihemko bali inaenda kwa kuwa na Strategic plan na kuzitekeleza.
Character iliyochezwa na huyo jamaa kwenye avatar yako kwenye tamthilia moja hivi inaendana na haya maandishi yako kabisa. Perfect combo.Ni kama alivyowadanganya hakuna korona mungu kamwambia
Jinga sana lile dude lenu
Lile jinga la Corona limepita, sasa tupo na hili jinga jingine la ugaidi.Tuhakikishe hatoboi kabisa.Ni kama alivyowadanganya hakuna korona mungu kamwambia
Jinga sana lile dude lenu
Watu huwa hawajiulizi mfano ana pikipiki tu anaenda garage kufanya matengenezo je hayo ni ya nini. Au mtu kila siku anaoga hajui kuwa ni Maintenance hiyo au mtu analala akiamka yupo poa bila kujua usingizi ni Maintenance pia.Mkuu
Ni vituko kabisa
Yaani unakuta jitu zima limo humu eti linapinga "Preventive Maitenance" isifanywe kwenye mitambo eti "nitakosa umeme nyumbani"!
Yaani mpaka mtu unashangaa kabisa!
Halijui mitambo yeyote inahitaji service kwa mwaka mara kadhaa bila kukosa,ila eti limekaa,linakomalia upumbavu wa Magufuli!Eti Magufuli kasema!
These people bwana,yanabishana na engineering,yatalipukiwa hapa yafe yoote halafu yaanze kuomba misaada
Mkuu achana nayo mataahira haya!
na wewe umeridhika nayo?===
Huyu Jamaa ni mkweli na hapendi unafiki, Nimtu anayeeleza ukweli hata kama unamgharimu chochote,Mungu akutangulie January kwakuwa unasema yaliyoyakweli,
View attachment 2015064
Sasahivi umeme haijulikani utawaka ama laNi bora watishwe kufukuzwa umeme uwake
Kauli yenyewe imekaa kisiasa, kiuongo, kinafikiKwa hiyo kwa miaka mitano hakuna maintenance iliyofanyika, Huyu jamaa muongo sana kama anasema hatuna crane ya kubeba tan 26 Tanzania kwa hili la maintenance nani ata amini maneno yake