Kwahiyo tatizo sio kupungua kwa maji kwenye mabwawa ya mtera, nyimba ya mungu?Huyu Jamaa ni mkweli na hapendi unafiki, Nimtu anayeeleza ukweli hata kama unamgharimu chochote,Mungu akutangulie January kwakuwa unasema yaliyoyakweli.
View attachment 2015064
Yaani hawa wanasiasa wanatuona wazwazwa kama wao. Ivi inaingia akilini kuendesha mitambo ya kufua umeme kwa miaka 5 bila marekebisho? Makamba Acha kudanganya watu.Huyu Jamaa ni mkweli na hapendi unafiki, Nimtu anayeeleza ukweli hata kama unamgharimu chochote,Mungu akutangulie January kwakuwa unasema yaliyoyakweli.
View attachment 2015064
Yaani we acha tu Jaco Bahaah[emoji1787][emoji1787] ful kujipiga vitanziii
Tanesco walichoongea umekisikia? Umeme hautoshi, huyo fundi mitambo wako mkweli kakufunga kamba ya shingo, jitikise tu kigoda kianguke ndio utajua hujui!!!Huyu Jamaa ni mkweli na hapendi unafiki, Nimtu anayeeleza ukweli hata kama unamgharimu chochote,Mungu akutangulie January kwakuwa unasema yaliyoyakweli.
View attachment 2015064
Akili ya wapi hii?Ni bora watishwe kufukuzwa umeme uwake
Form2 mbali ,huyu darasa la nne tuu mimba tayariUngekuwa demuu ungezalishwa ukiwa form 2 wewe shukuru mungu kakuumba wa kiume!
Upumbavu mtupu, wakati wa Magufuri ndio tuliona lipea ya nguvu, Mpaka wakawa wanabadilisha nguzo kuondoa za miti na kuweka za zege,huyu alisubiri Magufuri afe ndio waanze malekebisho nacho hicho ni kichekesho,sema Makamba anataka kuzika mladi wa umeme wa Rufiji kisingizio tabia Nchi,ili waanze wa gesi ambapo kuna 10% huo uharibifu ambao umesubiri Magufuri kafa,na kutolewa Kalemani na kuwekwa yeye ndio wakaanza ukarabati ni uongo,akuna fundi au lnjinia wakuweza kutumia mitambo mibovu, wakati yeye anajua kwake ni liski kubwa na taifa kwa ujumla.Wizi ndio unaowasumbuaHuyu Jamaa ni mkweli na hapendi unafiki, Nimtu anayeeleza ukweli hata kama unamgharimu chochote,Mungu akutangulie January kwakuwa unasema yaliyoyakweli.
View attachment 2015064
Unasifia upumbafu, maujinga haya nakumbuka mababu walodanganywa na peremende yakatoa dhahabu.Huyu Jamaa ni mkweli na hapendi unafiki, Nimtu anayeeleza ukweli hata kama unamgharimu chochote,Mungu akutangulie January kwakuwa unasema yaliyoyakweli.
View attachment 2015064
Shughulikia tatizo liishe siyo kila ukiongea unatoa lugha za mafunzo kuwapiga vijembe viongizi waliopita.Tunajua huwapendi,sasa hayo hayatuhusu sisi tunahitaji nishati basi,u meme kukatika hasa jpili siku za kuabudu imekuwa Kero sana.Sababu unazotoa ni nyepezi sana.Juu ya nini mkuu,
Huyu ni mjinga sana kwa hiyo hiyo ni repair mbona leo bibi kasema vyanzo vya maji yaani akili ndogo hata kufanganya ni shidaHuyu Jamaa ni mkweli na hapendi unafiki, Nimtu anayeeleza ukweli hata kama unamgharimu chochote,Mungu akutangulie January kwakuwa unasema yaliyoyakweli.
View attachment 2015064
Ujinga hakuna ukweli ni utapeli sanakuna wadanganyika wameshamwamini hapo tayari huyu msanii
Makamba ni mjinga hakuna waziri mavi kama huyo porojo kibaoWakati wa kikwetwe miaka yote ulikwa umeme nikukatika tuuu..maqmq yake walikuwa wanafanya repair..sasa kama wakati wa kikwetwe mda wote walikuwa wanafanya repair, je nikitu gani kimesababisha walalamike kuwa wakati wa jiwe hapakufanyiwa repair wakati wa kikwete maisha yote ilikuwa mgao wa umeme sabb ya repairs.?Kwa kuwa mfumo wa ugavi Tanzania ni sawa na sehemu zingine duniani, kwanini sehemu zingine umeme huwa haukatiki,je wao hawafanyi repairs?
Januari ni kweli mavi yako leo bibi kasema kuwa VYANZO VYA MAJI VIMEPUNGUA JE?? MAKAMBA NI MKWELI AU MHUNI FIKRIA WEWE MAJIHahahaaaa......wananchi wanataka nishati!
mi nashauri dawa si kubishana,kama una maelezo yanayokinzana na maelezo ya waziri yalete hapa tuyachekeche,tutampata muongo. NCHI NI YETU HII!!!na wewe umeridhika nayo?
kwa akili kama zako ama kwa hakika tunayo safari ndefu sana kufika na tutafika tumechoka!!!
Huyu Jamaa ni mkweli na hapendi unafiki, Nimtu anayeeleza ukweli hata kama unamgharimu chochote,Mungu akutangulie January kwakuwa unasema yaliyoyakweli.
View attachment 2015064
Makamba anapinga Legacy ya Dkt.Magufuli.Hii haikubalikiHuyu Jamaa ni mkweli na hapendi unafiki, Nimtu anayeeleza ukweli hata kama unamgharimu chochote,Mungu akutangulie January kwakuwa unasema yaliyoyakweli.
View attachment 2015064
Makamba wa ccm ndiye huyu wa wizara ya nishati. Kuweni makiniHuyu Jamaa ni mkweli na hapendi unafiki, Nimtu anayeeleza ukweli hata kama unamgharimu chochote,Mungu akutangulie January kwakuwa unasema yaliyoyakweli.
View attachment 2015064