January Makamba: TANESCO sasa wamesitisha miradi ya ujenzi wa maofisi na kuelekeza fedha kukarabati miundombinu ya Ugavi

January Makamba: TANESCO sasa wamesitisha miradi ya ujenzi wa maofisi na kuelekeza fedha kukarabati miundombinu ya Ugavi

Huyu Jamaa ni mkweli na hapendi unafiki, Nimtu anayeeleza ukweli hata kama unamgharimu chochote,Mungu akutangulie January kwakuwa unasema yaliyoyakweli.

View attachment 2015064
Yaani hawa wanasiasa wanatuona wazwazwa kama wao. Ivi inaingia akilini kuendesha mitambo ya kufua umeme kwa miaka 5 bila marekebisho? Makamba Acha kudanganya watu.
 
Zito anawapenda sana Kikwete na Makamba.

Yuko tayari kutetea kila aina ya ujinga na kujitoa fahamu..

Kwa nini wasikubali tu kwamba wameshindwa kuvaa viatu vya Magufuli?
Mbona Samia amekubali hadharani na hamna aliyemshangaa
 
Huyu Jamaa ni mkweli na hapendi unafiki, Nimtu anayeeleza ukweli hata kama unamgharimu chochote,Mungu akutangulie January kwakuwa unasema yaliyoyakweli.

View attachment 2015064
Tanesco walichoongea umekisikia? Umeme hautoshi, huyo fundi mitambo wako mkweli kakufunga kamba ya shingo, jitikise tu kigoda kianguke ndio utajua hujui!!!
 
Huyu Jamaa ni mkweli na hapendi unafiki, Nimtu anayeeleza ukweli hata kama unamgharimu chochote,Mungu akutangulie January kwakuwa unasema yaliyoyakweli.

View attachment 2015064
Upumbavu mtupu, wakati wa Magufuri ndio tuliona lipea ya nguvu, Mpaka wakawa wanabadilisha nguzo kuondoa za miti na kuweka za zege,huyu alisubiri Magufuri afe ndio waanze malekebisho nacho hicho ni kichekesho,sema Makamba anataka kuzika mladi wa umeme wa Rufiji kisingizio tabia Nchi,ili waanze wa gesi ambapo kuna 10% huo uharibifu ambao umesubiri Magufuri kafa,na kutolewa Kalemani na kuwekwa yeye ndio wakaanza ukarabati ni uongo,akuna fundi au lnjinia wakuweza kutumia mitambo mibovu, wakati yeye anajua kwake ni liski kubwa na taifa kwa ujumla.Wizi ndio unaowasumbua
 
Hii nchi mpaka afe kiongozi mkubwa kwakupigwa mawe na wananchi akiwa madarakani na ata akistaafu ndo tuheshimiane,viongozi wetu wanatia hasira na kinyaa
 
Huyu Jamaa ni mkweli na hapendi unafiki, Nimtu anayeeleza ukweli hata kama unamgharimu chochote,Mungu akutangulie January kwakuwa unasema yaliyoyakweli.

View attachment 2015064
Unasifia upumbafu, maujinga haya nakumbuka mababu walodanganywa na peremende yakatoa dhahabu.
matengenezo hufanywa bila umeme kukatwa wewe teknolojia imeshakuwa sikuhizi.
nchi za wenzetu hawakatagi umeme... kwahivyo nao kwao hakuna matengenezo? Wanawaogopa marais wao pia???
Hii nchi majinga mengi sijui kama tutaendelea kwakweli!!
 
Juu ya nini mkuu,
Shughulikia tatizo liishe siyo kila ukiongea unatoa lugha za mafunzo kuwapiga vijembe viongizi waliopita.Tunajua huwapendi,sasa hayo hayatuhusu sisi tunahitaji nishati basi,u meme kukatika hasa jpili siku za kuabudu imekuwa Kero sana.Sababu unazotoa ni nyepezi sana.
 
Huyu Jamaa ni mkweli na hapendi unafiki, Nimtu anayeeleza ukweli hata kama unamgharimu chochote,Mungu akutangulie January kwakuwa unasema yaliyoyakweli.

View attachment 2015064
Huyu ni mjinga sana kwa hiyo hiyo ni repair mbona leo bibi kasema vyanzo vya maji yaani akili ndogo hata kufanganya ni shida
Angekuwepo yeye mzee hakuna hicho repair huwa inatolewa taarifa makamba ni mpumbavu

Aliporejea yeye tu na matajiri tayari taifa limepigwa sana haiwezekani magufuli ana miazi 8 hatukuona huo mgao wa umeme leo hii hatuelewi ngoja thani ya magufuli ionekane
 
Wakati wa kikwetwe miaka yote ulikwa umeme nikukatika tuuu..maqmq yake walikuwa wanafanya repair..sasa kama wakati wa kikwetwe mda wote walikuwa wanafanya repair, je nikitu gani kimesababisha walalamike kuwa wakati wa jiwe hapakufanyiwa repair wakati wa kikwete maisha yote ilikuwa mgao wa umeme sabb ya repairs.?Kwa kuwa mfumo wa ugavi Tanzania ni sawa na sehemu zingine duniani, kwanini sehemu zingine umeme huwa haukatiki,je wao hawafanyi repairs?
Makamba ni mjinga hakuna waziri mavi kama huyo porojo kibao
Siasa na ujinga wake anawatapeli watanzani leo maji kina kipungue hii janja janja imeshaingia tena
 
na wewe umeridhika nayo?
kwa akili kama zako ama kwa hakika tunayo safari ndefu sana kufika na tutafika tumechoka!!!
mi nashauri dawa si kubishana,kama una maelezo yanayokinzana na maelezo ya waziri yalete hapa tuyachekeche,tutampata muongo. NCHI NI YETU HII!!!
 
Back
Top Bottom