Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,753
- 10,747
Kwahiyo tatizo sio kupungua kwa maji kwenye mabwawa ya mtera, nyimba ya mungu?Huyu Jamaa ni mkweli na hapendi unafiki, Nimtu anayeeleza ukweli hata kama unamgharimu chochote,Mungu akutangulie January kwakuwa unasema yaliyoyakweli.
View attachment 2015064