Niliwahi kusema kumfukuza Kalemani kulikuwa kuna lao jambo. Sherehe yao ni ya muda tu!Huyu Jamaa ni mkweli na hapendi unafiki, Nimtu anayeeleza ukweli hata kama unamgharimu chochote,Mungu akutangulie January kwakuwa unasema yaliyoyakweli.
View attachment 2015064
Duuh akili za marehemu...Ni bora watishwe kufukuzwa umeme uwake
Hapa inayotafutwa ni justification ya kulivunja shirika la TANESCO into UZALISHAJI : USAMBAZAJI; MAUZO. Na mtaalam wa hayo mambo ya kuwatafuta wateja wa kuja kununua vipande hivyo ndio huyo Mwenyekiti wa bodi ya TANESCO sasa. Ndio alikuwa dalali wa kuliuza shirika la simu TTCL kwa CELTEL shirika ambalo JIWE alipigana kufa na kupona mpaka akalirudisha kwa Wananchi kutoka UHINDINI!!!Mpiga dili tu huyo
Fact aiceee... Maana huu sasa umekuwa mgao rasmiNi bora watishwe kufukuzwa umeme uwake
Sasa hivi wanatafuta kila aina ya kisingizio kuaminisha wananchi wanayopanga kuyafanya, hata kama sio kwa maslahi ya wananchi wenyewe.Huyo asifanye watanzania wajinga
Hizo nchi zisizo na mgao wa umeme hazifanyi repair?
Ndo hivi sijui anaona kule ni tz ilipo shudu zake zote anazimalizia kuleHizo ndio sababu wengine kila siku wanapiga kelele aache vitu kama alivyokuta ujuaji ndio una mkosti ni rahisi sana kumfanyia sabotage mtu kama Makamba.
Much talk, little technical knowledge
Wana kelele Twitter utadhani wanazungumzaga mambo ya maana au ata majadiliano yao ni applicable in the real world.
Baada ya kuvuruga TANESCO sasa fujo zake anataka kuzipeleka TPDC.
Very intelligent mfumo wa ugaviMfumo wa ugavi ukichoka unaendelea kufanya kazi hivyo hivyo kwasababu kuna watu watafukuzwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Au hata tusifike kabisa!!ama kwa hakika tunayo safari ndefu sana kufika na tutafika tumechoka!!!
Ukweli upi mazingira na ukataji miti ni chanzo cha kukauka mito yenye athari kwenye suala la kukatika umeme ? au matengenezo ya miundombinu ya Tanasco chakavu? TuambiweHuyu Jamaa ni mkweli na hapendi unafiki, Nimtu anayeeleza ukweli hata kama unamgharimu chochote,Mungu akutangulie January kwakuwa unasema yaliyoyakweli.
View attachment 2015064
Nishat imekauka bwashee
Usilie leo wakati scheduled repairs zikifanyika kwa wakati, ni masuala ya utaalam unapoingiliwa madhara yake ni lazima yatajitokeza siku za mbeleni.Ni bora watishwe kufukuzwa umeme uwake
Anayelalamika umeme kukatika unaweza kukuta shughuli yake ni saloon anachezea nywele za wanawake na kunyoa ndevu za watu.Hizo nchi zingne ambazo umeme haukatik huwa hawafany hzo maintanance?..heb atuache...ishu ni hasara wanayapata wa Tz kwa kukosa umeme hata lisaa lisaa li1