January Makamba: TANESCO sasa wamesitisha miradi ya ujenzi wa maofisi na kuelekeza fedha kukarabati miundombinu ya Ugavi

January Makamba: TANESCO sasa wamesitisha miradi ya ujenzi wa maofisi na kuelekeza fedha kukarabati miundombinu ya Ugavi

Mfumo wa ugavi ukichoka unaendelea kufanya kazi hivyo hivyo kwasababu kuna watu watafukuzwa 😂😂😂
 
Haya majamaa wanaona waTz km Nyumbu flan hv... ni aibu kuongozwa na mtu km huyu... mara scheduled repair mara ukame hawajui waseme lipi...
 
Mpiga dili tu huyo
Hapa inayotafutwa ni justification ya kulivunja shirika la TANESCO into UZALISHAJI : USAMBAZAJI; MAUZO. Na mtaalam wa hayo mambo ya kuwatafuta wateja wa kuja kununua vipande hivyo ndio huyo Mwenyekiti wa bodi ya TANESCO sasa. Ndio alikuwa dalali wa kuliuza shirika la simu TTCL kwa CELTEL shirika ambalo JIWE alipigana kufa na kupona mpaka akalirudisha kwa Wananchi kutoka UHINDINI!!!
 
Duu picha inakuja nikiwa secondary unajiandaa na paper prep mara mji wote whaaaaa .siamini kama tunarudi huko
 
#scheduled repairs na ndugu yako mfumo wa ugavi aiceee huu mwisho wa mwaka tunaomba mtupunguzie adhabu japo kidogo. Please sisi ni watz kama ninyi jamani
 
Huyo asifanye watanzania wajinga
Hizo nchi zisizo na mgao wa umeme hazifanyi repair?
Sasa hivi wanatafuta kila aina ya kisingizio kuaminisha wananchi wanayopanga kuyafanya, hata kama sio kwa maslahi ya wananchi wenyewe.

Kwa hiyo upungufu uliopo sasa ni kwa sababu ya kutofanyika matengenezo ya hizo njia za ugavi, au ni kwa sababu ya uhaba wa maji ndani ya mabwawa?
 
Hizo ndio sababu wengine kila siku wanapiga kelele aache vitu kama alivyokuta ujuaji ndio una mkosti ni rahisi sana kumfanyia sabotage mtu kama Makamba.

Much talk, little technical knowledge

Wana kelele Twitter utadhani wanazungumzaga mambo ya maana au ata majadiliano yao ni applicable in the real world.

Baada ya kuvuruga TANESCO sasa fujo zake anataka kuzipeleka TPDC.
Ndo hivi sijui anaona kule ni tz ilipo shudu zake zote anazimalizia kule
 
mnategemea nini kwa mtu wa namna hii? Jitu lijizi sasaivi eti waziri

 
Wanataka kutuletea ujinga hao wahuni!!
Asema Tanzania haina crane ya kubeba tanni 30??had zitoke nje?? Si wachukue crane mbili za kubeba tanni 15 each!!
Huu mpango ni wa kufelisha SGR
 
Huyu Jamaa ni mkweli na hapendi unafiki, Nimtu anayeeleza ukweli hata kama unamgharimu chochote,Mungu akutangulie January kwakuwa unasema yaliyoyakweli.

View attachment 2015064
Ukweli upi mazingira na ukataji miti ni chanzo cha kukauka mito yenye athari kwenye suala la kukatika umeme ? au matengenezo ya miundombinu ya Tanasco chakavu? Tuambiwe
 
Hizo nchi zingne ambazo umeme haukatik huwa hawafany hzo maintanance?..heb atuache...ishu ni hasara wanayapata wa Tz kwa kukosa umeme hata lisaa lisaa li1
Anayelalamika umeme kukatika unaweza kukuta shughuli yake ni saloon anachezea nywele za wanawake na kunyoa ndevu za watu.
 
Back
Top Bottom