January Makamba: TANESCO sasa wamesitisha miradi ya ujenzi wa maofisi na kuelekeza fedha kukarabati miundombinu ya Ugavi

 
Walakini uko wapi, wakati unapewa jibu la kisomi...mlikuwa mnaongopewa huku mfumo mzima wa umeme unaharibika... Huwa nafikiria Hayati alikuwa na dhumuni gani na hii Nchi.
Anatoa majibu yenye kukwepa uwajibikaji we huoni?
 
Ni mzaha kwenye mambo ya msingi haiwezekani Mkurugenzi mkuu wa Tanesco awe ni mtu ambaye hajasomea masuala ya umeme. Kilichobaki ni kutegemea miujiza tu.
Hakuna mzaha kwenye hilo ila ni utekelezaji wa plan zao za siku nyingi na hasa kutupia lawama kwa mwamba ili wasapotiwe na vipofu wengi.

Idrisa alikuwa Mkurugenzi pale, akitokea BOT, hajui chochote kuhusu umeme ILA ndio mmoja wa wakurugenzi bora kabisa kuwahi kuwepo Tanesco, wakongwe pale wanalijua hili, Msoga na Ngeleja wanafahami pia.

So, issue sio uelewa wa umeme, lengo ni kurudisha IPPs kwa gharama yoyote kwa manufaa yao binafsi, ndio makampuni yao, unadhani SYMBION na zifananazo ziliibuka tu kwa bahati mbaya?

Kama kiongozi wa nchi ana nia ya dhati kabisa, wale wote waliotumbuliwa kabla yake, asingewarudisha au angewasafisha kwa kuwauliza kama wako tayari sababu za wao kutumbuliwa kuwekwa wazi na uwezo wao ni upi mpaka kukksekana mbadala, kisha sisi ingawa hatuna la kufanya lakini tujue muelekeo wa nchi uko kwenye mikono ya namna gani.
 

Liveline sijui deadline hio wananchi haituhusu sisi tunahitaji umeme, tunautegemea kwa ajili ya kuingiza kipato chetu…tunakufa njaa yeye anakaa kwenye kiyoyozi anatoa sababu zisizo na kichwa wala miguu..mwambie boss wako aachie ngazi imemshinda…labda mitambo na maengineer wana allergy nae…
 
Kwahiyo kwa wakati wote kutokatika umeme halikuwa jambo jema? Au unalenga kusemaje?
Hiyo miundombinu isiharibike kipindi chote hicho mpaka wewe ukiwa kwenye hiyo3 nafasi ndo sasa ianze kuharibika? Mbona kama unatafuta visingizio kwa kuwalaumu waliofanya kazi vizuri katika vipindi vyao?
Badala ya kufanya kazi unatafuta wa kuwanyooshea vidole
 
Hiyo bil 200 ni makusanyo ya mwezi tu, mbona hili lipo wazi?
 
Huyu jamaa pamoja na MD mpya ikiwemo Bodi ya Bankers hawana jipya.Kwa watu serious tungeona wakitupa mikakati ya kushuka upya shirika na kutoa mwelekeo wa namna gani watadhibiti kukatika ovyo umeme.Ila January ajipange hiyo wizara itampandisha au kumshusha kisiasa.
 
Sio kweli

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wewe unawezekana ni msahaulifu sana.

Waziri kasema, “Watu waliwahi kutishiwa kufukuzwa kwa kukata umeme kwa ajili ya kufanya scheduled repairs”. Kwa hiyo hii inamaanisha Tanesco wanakata umeme mchana ili wafanyakazi wao wasifanye repairs lines zikiwa live.

Mimi kusema Tanesco wafanye repair usiku badala ya mchana nina maanisha wasifanye repair mchana umeme uwepo kama kawaida. Halafu wakate usiku wakati watu wamelala kwa ajili ya repair for health and safety.

Unaposema, “Sheria zinasema,huwezi kufanya kazi za live power lines usiku”. Ndio maana nikasema you don’t make any sense kwa sababu hata hiyo mchana hawafanyi kwenye live power lines ndio sababu unakatwa!

Halafu kwa akili zako hizi, hata Air Tanzania wakiruhusiwa kufanya safari za Asia, Europe na America. Utapinga kufanya safari usiku kwa sababu marubani wanaweza kulala!

Hivi unajua wafanya kazi wa mahospitali wanafanya usiku pia na surgery zinafanyika usiku pia au hao wameumbwa tofauti na wafanyakazi wa Tanesco!!
 
Maintenance every week since october 2020 umeme unakatika!munasema maintenance?
Mna utani wa ngumi nyie!
 
Sitaki kumbishia Wyatt Mathewson kwa sababu sifahamu taratibu zinasemaje lakini nahisi maelezo yake yana-make sense!!

Ukiwafuatilia vizuri TANESCO utagundua jambo moja!

Ukiacha ule ukatikaji wa kukusudia, wakati mwingine umeme unakatika kutokana na hitilafu! Inapokuwa ni hitilafu, kunakuwa hakuna guarantee ya umeme utarudi wakati gani!

Hata hivyo, nime-notice TANESCO watapambana kwa kila hali kuhakikisha usiku unapoingia basi umeme unarudi!!

Na unakuta wakati mwingine, usiku wanaurudisha lakin siku inayofuata wanaukata mapema sana, wakati mwingine kabla ya saa 2.

Hapo huwa napata picha kwamba ile jana yake waliamua tu kuurudisha lakini matengenezo yalikuwa hayajaisha, na ndo maana siku ya pili wamekata asubuhi asubuhi ili kuendelea na walipoachia jana!!

Sasa inavyoelekea, ama na sheria au vyovyote iwavyo, labda kwa sababu za kiusalama, TANESCO hawapo tayar kukata umeme usiku willingly!
 
Mkuu,
Wyatt Mathewson asema regs haziruhusu wafanyakazi kufanya kazi usiku kwenye live lines. Mimi ndio nilivyomwelewa.

Tanesco wanapofanya repair mchana wanafanya kwenye live lines?
 
Walakini uko wapi, wakati unapewa jibu la kisomi...mlikuwa mnaongopewa huku mfumo mzima wa umeme unaharibika... Huwa nafikiria Hayati alikuwa na dhumuni gani na hii Nchi.
kwahyo huo mfumo ulikuwa unamsubiri makamba ndo uanze kuharibika...

mzee acha kukurupuka This is a mechatronical issue ...mifumo haidanganyi ..kama ikigoma inagomaa......Hii nchi ishaanza kuwa ngumu ...Muda uishe aiingie mwingine madarakani

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo hii nchi ya bongoland kila mtu anajikuta anajuaa..huyu makamb ataondoka atakuja mwingine....

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Duh engineer

Machine zina maintenance schedule, usipofanya repair hata rais awe kiduku zitazingua tu.

Machine hazijafanyiwa maintenance ndani ya miaka mitano? Nazo ziliogopa zikapiga kazi?
ndo nachojiuliza mm ...Tatizo la bongo mtu ana kidploma cha ufugaji nyuki lkn anajikuta anajua mamb ya mechanical na electrical engineering...

mm najiuliza mifumo hyo ilisubiri awamu hii ipite ndo ianze kuharibika eti kisa mitambo hyo ilikuwa inaogopa

Stupidity is always on our side

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
A good leader is the one who can withstand pressure,Tanesco is the sector with strong pressures , makamba you're not the right person to lead this sector,you cannot withstand pressure, you're trying to defend your failure to perform under the umbrella of throwing insanity allegations to the Bulldozer magufuliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii that is the one who threatened the electricity systems of supplying, this is vudoooooooooooo,Mr.minister,we just want power rather than vudoooooooooooo reasons that can hide your under performance in the umbrella of the magufuliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii hatred leading move he used to implement
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…