January Makamba: TANESCO sasa wamesitisha miradi ya ujenzi wa maofisi na kuelekeza fedha kukarabati miundombinu ya Ugavi

January Makamba: TANESCO sasa wamesitisha miradi ya ujenzi wa maofisi na kuelekeza fedha kukarabati miundombinu ya Ugavi

Leo Mh. Makamba kupitia account yake alikuwa akijibu suala la umeme kukatika. Lakini majibu yake yamejaa walakini.

Makamba anasema umeme zamani ulikuwa haukatiki kwa sababu watu walikuwa na hofu ya kufukuzwa hivyo walihakikisha umeme haukatiki, hali iliyopelekea kutofanya rapair.

Sasa hivi mfumo wa ugavi umechoka na ndio maana umeme unakatika Sana. Hivyo wanafanya rapair ili kuondoa huo uchakavu wa mfumo.

Bado hajasema utachukua muda gani hadi hizo repair kuisha na umeme kuacha kukatika.
Makamba ameonyesha kwamba kukatika umeme ni sawa kabisa na ni haki yetu, ndio maana anasema tulishangilia umeme ulipokuwa haukatiki huku mfumo ukiwa umechoka.

Lakini pia mheshimiwa unataka kusema huo mfumo kipindi chote cha jiwe mwendazake uliacha kuchoka ukawa unakusubiri wewe kuwa waziri ili uanze kuchoka?

Mheshimiwa wewe ukiwa kama binadamu wengine una tabia ya kusahau, Ila internet haisahau.
Mwezi uliopita September 17, ulikuwa na kikao na Tanesco na ukawapa wiki mbili umeme kuacha kukatika la sivyo utawafukuza.

Leo umesahau? Wiki mbili zimepita na sasa ni zaidi ya mwezi, bado tatizo lipo na wewe umekiri mwenyewe.

Mh. Makamba watu wanachotaka umeme uwepo muda wote ili shughuli zao ziende, hizo sababu zingine haziwahusu sana maana zipo ndani ya uwezo wenu.

View attachment 1990619
Kaongea na Waarabu wameshuka contracts za ku import Generators atawasaidia Marketing strategies in Tz . Gustavo its Friday .
 
Walakini uko wapi, wakati unapewa jibu la kisomi...mlikuwa mnaongopewa huku mfumo mzima wa umeme unaharibika... Huwa nafikiria Hayati alikuwa na dhumuni gani na hii Nchi.
Anatoa majibu yenye kukwepa uwajibikaji we huoni?
 
Ni mzaha kwenye mambo ya msingi haiwezekani Mkurugenzi mkuu wa Tanesco awe ni mtu ambaye hajasomea masuala ya umeme. Kilichobaki ni kutegemea miujiza tu.
Hakuna mzaha kwenye hilo ila ni utekelezaji wa plan zao za siku nyingi na hasa kutupia lawama kwa mwamba ili wasapotiwe na vipofu wengi.

Idrisa alikuwa Mkurugenzi pale, akitokea BOT, hajui chochote kuhusu umeme ILA ndio mmoja wa wakurugenzi bora kabisa kuwahi kuwepo Tanesco, wakongwe pale wanalijua hili, Msoga na Ngeleja wanafahami pia.

So, issue sio uelewa wa umeme, lengo ni kurudisha IPPs kwa gharama yoyote kwa manufaa yao binafsi, ndio makampuni yao, unadhani SYMBION na zifananazo ziliibuka tu kwa bahati mbaya?

Kama kiongozi wa nchi ana nia ya dhati kabisa, wale wote waliotumbuliwa kabla yake, asingewarudisha au angewasafisha kwa kuwauliza kama wako tayari sababu za wao kutumbuliwa kuwekwa wazi na uwezo wao ni upi mpaka kukksekana mbadala, kisha sisi ingawa hatuna la kufanya lakini tujue muelekeo wa nchi uko kwenye mikono ya namna gani.
 
Mimi wala sipo hapa kumtetea

Ni shenzi kama mashenzi menigne yeyote CCM..simfagilii kabisa

Nachoangalia hoja alizotoa ni valid

Power inazimwa sababu ya maintenance works,sababu ni lazima wafanye kwenye deadlines na sio livelines

Naelewa hii sababu naijua

Liveline sijui deadline hio wananchi haituhusu sisi tunahitaji umeme, tunautegemea kwa ajili ya kuingiza kipato chetu…tunakufa njaa yeye anakaa kwenye kiyoyozi anatoa sababu zisizo na kichwa wala miguu..mwambie boss wako aachie ngazi imemshinda…labda mitambo na maengineer wana allergy nae…
 
Leo Mh. Makamba kupitia account yake alikuwa akijibu suala la umeme kukatika. Lakini majibu yake yamejaa walakini.

Makamba anasema umeme zamani ulikuwa haukatiki kwa sababu watu walikuwa na hofu ya kufukuzwa hivyo walihakikisha umeme haukatiki, hali iliyopelekea kutofanya rapair.

Sasa hivi mfumo wa ugavi umechoka na ndio maana umeme unakatika Sana. Hivyo wanafanya rapair ili kuondoa huo uchakavu wa mfumo.

Bado hajasema utachukua muda gani hadi hizo repair kuisha na umeme kuacha kukatika.
Makamba ameonyesha kwamba kukatika umeme ni sawa kabisa na ni haki yetu, ndio maana anasema tulishangilia umeme ulipokuwa haukatiki huku mfumo ukiwa umechoka.

Lakini pia mheshimiwa unataka kusema huo mfumo kipindi chote cha jiwe mwendazake uliacha kuchoka ukawa unakusubiri wewe kuwa waziri ili uanze kuchoka?

Mheshimiwa wewe ukiwa kama binadamu wengine una tabia ya kusahau, Ila internet haisahau.
Mwezi uliopita September 17, ulikuwa na kikao na Tanesco na ukawapa wiki mbili umeme kuacha kukatika la sivyo utawafukuza.

Leo umesahau? Wiki mbili zimepita na sasa ni zaidi ya mwezi, bado tatizo lipo na wewe umekiri mwenyewe.

Mh. Makamba watu wanachotaka umeme uwepo muda wote ili shughuli zao ziende, hizo sababu zingine haziwahusu sana maana zipo ndani ya uwezo wenu.

View attachment 1990619

View attachment 1990620
Kwahiyo kwa wakati wote kutokatika umeme halikuwa jambo jema? Au unalenga kusemaje?
Hiyo miundombinu isiharibike kipindi chote hicho mpaka wewe ukiwa kwenye hiyo3 nafasi ndo sasa ianze kuharibika? Mbona kama unatafuta visingizio kwa kuwalaumu waliofanya kazi vizuri katika vipindi vyao?
Badala ya kufanya kazi unatafuta wa kuwanyooshea vidole
 
Mkuu

Unaota

Mauzo ya tanesco kwa mwaka ni less than 100mil USD!

1Bil USD ni mali zote na thamani ya Tanesco na miundombinu yake na kila,sio mauzo ya mwaka ndugu!

Yaani 1bil USD total value ya Tanesco everything included na miundombinu hadi printer na karatasi ofisini jumlisha zoooote!
Hiyo bil 200 ni makusanyo ya mwezi tu, mbona hili lipo wazi?
Screenshot_20211029-222223_1.jpg
 
Leo Mh. Makamba kupitia account yake alikuwa akijibu suala la umeme kukatika. Lakini majibu yake yamejaa walakini.

Makamba anasema umeme zamani ulikuwa haukatiki kwa sababu watu walikuwa na hofu ya kufukuzwa hivyo walihakikisha umeme haukatiki, hali iliyopelekea kutofanya rapair.

Sasa hivi mfumo wa ugavi umechoka na ndio maana umeme unakatika Sana. Hivyo wanafanya rapair ili kuondoa huo uchakavu wa mfumo.

Bado hajasema utachukua muda gani hadi hizo repair kuisha na umeme kuacha kukatika.
Makamba ameonyesha kwamba kukatika umeme ni sawa kabisa na ni haki yetu, ndio maana anasema tulishangilia umeme ulipokuwa haukatiki huku mfumo ukiwa umechoka.

Lakini pia mheshimiwa unataka kusema huo mfumo kipindi chote cha jiwe mwendazake uliacha kuchoka ukawa unakusubiri wewe kuwa waziri ili uanze kuchoka?

Mheshimiwa wewe ukiwa kama binadamu wengine una tabia ya kusahau, Ila internet haisahau.
Mwezi uliopita September 17, ulikuwa na kikao na Tanesco na ukawapa wiki mbili umeme kuacha kukatika la sivyo utawafukuza.

Leo umesahau? Wiki mbili zimepita na sasa ni zaidi ya mwezi, bado tatizo lipo na wewe umekiri mwenyewe.

Mh. Makamba watu wanachotaka umeme uwepo muda wote ili shughuli zao ziende, hizo sababu zingine haziwahusu sana maana zipo ndani ya uwezo wenu.

View attachment 1990619

View attachment 1990620
Huyu jamaa pamoja na MD mpya ikiwemo Bodi ya Bankers hawana jipya.Kwa watu serious tungeona wakitupa mikakati ya kushuka upya shirika na kutoa mwelekeo wa namna gani watadhibiti kukatika ovyo umeme.Ila January ajipange hiyo wizara itampandisha au kumshusha kisiasa.
 
Kwa hayo majibu simply anakimbia uwajibikaji kwa kasoro zinazotokea kwenye wizara yake.

Suala la umeme kukatika ni mwiba kwa awamu zote, hata wakati wa Magufuli umeme ulikuwa unakatika na tukaambiwa tatizo ni hilo hilo la uchakavu wa njia za kuzalisha na kusambaza umeme.

Awamu nyingine tuliambiwa kina cha maji kimepungua kwenye mabwawa ya uzalishaji umeme ndio maana baadae Magufuli akaamua kujenga Stiglers Gorge.

Vyema Makamba azijue changamoto kwenye wizara yake hazijaanza wakati huu na azitafutie majibu, asitoe lawama kwa awamu iliyopita kisa ilikuwa inatisha watu na hivi ni sawa na anamaanisha sasa kwasababu hawatishwi ndio wawe wazembe.
Sio kweli

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kua serious

Nazungumzia kusinzia kwa wanadamu real mafundi wewe unazungumzia kusinzia kwa shirika?

Nazungumzia fundi mwanadamu kama mimi na wewe ana usingizi halafu eti afanye kazi kwenye station ya 400kV,unataka kukaanga wanadamu?

Halafu kuna kitu huelewi

Kuna aina mbili za umeme kukatika,(1) umeme kukatwa makusudi na mafundi ili kufanya marekebisho au matengenezo mitambo (2)umeme kukatika sababu ya kitu kinaitwa load shedding

Anachozungumzia Makamba ni hiyo aina ya kwanza,kua ni lazima umeme uzimwe ili watu wafanye maintenance

Hiyo aina ya pili haipo maana umeme wa kutosha upo kama installed capacity..Unachoongelea wewe unadhani kuna load shedding inayotokana na uzalishaji mdogo wa umeme kutoka kwenye vinu huko Mtera which sio the case here

Use your brain
Wewe unawezekana ni msahaulifu sana.

Waziri kasema, “Watu waliwahi kutishiwa kufukuzwa kwa kukata umeme kwa ajili ya kufanya scheduled repairs”. Kwa hiyo hii inamaanisha Tanesco wanakata umeme mchana ili wafanyakazi wao wasifanye repairs lines zikiwa live.

Mimi kusema Tanesco wafanye repair usiku badala ya mchana nina maanisha wasifanye repair mchana umeme uwepo kama kawaida. Halafu wakate usiku wakati watu wamelala kwa ajili ya repair for health and safety.

Unaposema, “Sheria zinasema,huwezi kufanya kazi za live power lines usiku”. Ndio maana nikasema you don’t make any sense kwa sababu hata hiyo mchana hawafanyi kwenye live power lines ndio sababu unakatwa!

Halafu kwa akili zako hizi, hata Air Tanzania wakiruhusiwa kufanya safari za Asia, Europe na America. Utapinga kufanya safari usiku kwa sababu marubani wanaweza kulala!

Hivi unajua wafanya kazi wa mahospitali wanafanya usiku pia na surgery zinafanyika usiku pia au hao wameumbwa tofauti na wafanyakazi wa Tanesco!!
 
Maintenance every week since october 2020 umeme unakatika!munasema maintenance?
Mna utani wa ngumi nyie!
 
Mimi kusema Tanesco wafanye repair usiku badala ya mchana nina maanisha wasifanye repair mchana umeme uwepo kama kawaida. Halafu wakate usiku wakati watu wamelala kwa ajili ya repair for health and safety.

Unaposema, “Sheria zinasema,huwezi kufanya kazi za live power lines usiku”. Ndio maana nikasema you don’t make any sense kwa sababu hata hiyo mchana hawafanyi kwenye live power lines ndio sababu unakatwa!
Sitaki kumbishia Wyatt Mathewson kwa sababu sifahamu taratibu zinasemaje lakini nahisi maelezo yake yana-make sense!!

Ukiwafuatilia vizuri TANESCO utagundua jambo moja!

Ukiacha ule ukatikaji wa kukusudia, wakati mwingine umeme unakatika kutokana na hitilafu! Inapokuwa ni hitilafu, kunakuwa hakuna guarantee ya umeme utarudi wakati gani!

Hata hivyo, nime-notice TANESCO watapambana kwa kila hali kuhakikisha usiku unapoingia basi umeme unarudi!!

Na unakuta wakati mwingine, usiku wanaurudisha lakin siku inayofuata wanaukata mapema sana, wakati mwingine kabla ya saa 2.

Hapo huwa napata picha kwamba ile jana yake waliamua tu kuurudisha lakini matengenezo yalikuwa hayajaisha, na ndo maana siku ya pili wamekata asubuhi asubuhi ili kuendelea na walipoachia jana!!

Sasa inavyoelekea, ama na sheria au vyovyote iwavyo, labda kwa sababu za kiusalama, TANESCO hawapo tayar kukata umeme usiku willingly!
 
Mkuu,
Wyatt Mathewson asema regs haziruhusu wafanyakazi kufanya kazi usiku kwenye live lines. Mimi ndio nilivyomwelewa.

Tanesco wanapofanya repair mchana wanafanya kwenye live lines?
 
Walakini uko wapi, wakati unapewa jibu la kisomi...mlikuwa mnaongopewa huku mfumo mzima wa umeme unaharibika... Huwa nafikiria Hayati alikuwa na dhumuni gani na hii Nchi.
kwahyo huo mfumo ulikuwa unamsubiri makamba ndo uanze kuharibika...

mzee acha kukurupuka This is a mechatronical issue ...mifumo haidanganyi ..kama ikigoma inagomaa......Hii nchi ishaanza kuwa ngumu ...Muda uishe aiingie mwingine madarakani

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Bada naona Approach ya Waziri Makamba ipo sawa sawia. Huwezi kufanya kazi kwa mashinikizo yasiyo na msingi. Alichokisema ilikuwa ndio anaingia Wizara hiyo sasa kapata data zote za mfumo wote wa ugawaji wa umeme ambao unahitaji marekebisho na kufanya hivyo lazima wakate umeme.

Maintenance ndio chanzo kikubwa kwa mifumu mingi Africa kufa, watu wengi hatuna mazoea ya kutenga pesa kwa ajili ya maintenance. Anakuja waziri anasema usikate umeme akiogopa kutumbuliwa kumbe mfumo wote unaendelea kuchakaa na kuongeza upotevu wa umeme.

Tusiwe wanazi tumwache afanyekazi yake. It too early to compare. Tuliona nguvu njingi zikitumika bila ya mafanikio ya kudumu na oungo mwingi na majigambo. Nchi hainendi kwa mihemko bali inaenda kwa kuwa na Strategic plan na kuzitekeleza.
Tatizo hii nchi ya bongoland kila mtu anajikuta anajuaa..huyu makamb ataondoka atakuja mwingine....

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Duh engineer

Machine zina maintenance schedule, usipofanya repair hata rais awe kiduku zitazingua tu.

Machine hazijafanyiwa maintenance ndani ya miaka mitano? Nazo ziliogopa zikapiga kazi?
ndo nachojiuliza mm ...Tatizo la bongo mtu ana kidploma cha ufugaji nyuki lkn anajikuta anajua mamb ya mechanical na electrical engineering...

mm najiuliza mifumo hyo ilisubiri awamu hii ipite ndo ianze kuharibika eti kisa mitambo hyo ilikuwa inaogopa

Stupidity is always on our side

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
A good leader is the one who can withstand pressure,Tanesco is the sector with strong pressures , makamba you're not the right person to lead this sector,you cannot withstand pressure, you're trying to defend your failure to perform under the umbrella of throwing insanity allegations to the Bulldozer magufuliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii that is the one who threatened the electricity systems of supplying, this is vudoooooooooooo,Mr.minister,we just want power rather than vudoooooooooooo reasons that can hide your under performance in the umbrella of the magufuliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii hatred leading move he used to implement
 
Back
Top Bottom