Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Sababu za kitoto kivipi wakati ni reality ndugu?
Unataka akupe sababu unazotaka wewe binafsi?
Who the fvck are you kutaka achenji facts kufuata wewe unayotaka.
Fact ni kwamba,wanataka kufanya matengenezo,ni lazima WAZIME siku nzima wafanye,hii ni FACT!
Wasipofanya miundombinu mzima utakuja kufa,thats a technical FACT!
Lazima umeme uzimweee.....thats a FACT!
Unataka FACTS zako ziwe za Kalemani?
Shida hapa naona ni Makamba na Kalemani...nothing else!
Kwani miaka mitano nyuma kulikuwa hakuna maintanance? Mbona umeme ulikuwa wa uhakika,na kama ulikatika watu walipewa taarifa na sababu za kukatika.
Makamba asilete hapa sababu za kitoto,tunataka umeme kama miaka mitano iliyopita,hayo mengine abaki nayo yeye,kama hawezi apishe wengine wenye kuweza kuongoza hiyo Wizara.