January Makamba: TANESCO sasa wamesitisha miradi ya ujenzi wa maofisi na kuelekeza fedha kukarabati miundombinu ya Ugavi

January Makamba: TANESCO sasa wamesitisha miradi ya ujenzi wa maofisi na kuelekeza fedha kukarabati miundombinu ya Ugavi

Sababu za kitoto kivipi wakati ni reality ndugu?

Unataka akupe sababu unazotaka wewe binafsi?

Who the fvck are you kutaka achenji facts kufuata wewe unayotaka.

Fact ni kwamba,wanataka kufanya matengenezo,ni lazima WAZIME siku nzima wafanye,hii ni FACT!

Wasipofanya miundombinu mzima utakuja kufa,thats a technical FACT!

Lazima umeme uzimweee.....thats a FACT!

Unataka FACTS zako ziwe za Kalemani?

Shida hapa naona ni Makamba na Kalemani...nothing else!

Kwani miaka mitano nyuma kulikuwa hakuna maintanance? Mbona umeme ulikuwa wa uhakika,na kama ulikatika watu walipewa taarifa na sababu za kukatika.

Makamba asilete hapa sababu za kitoto,tunataka umeme kama miaka mitano iliyopita,hayo mengine abaki nayo yeye,kama hawezi apishe wengine wenye kuweza kuongoza hiyo Wizara.
 
Makamba anamwangusha sana Rais Samia , enzi za mwamba huyo asingepata hata muda wa kuongea hayo. January anajazwa upepo sana lakini utendaji wake ni hafifu sana
Ukikuta binadamu mwenye akili timamu anaendelea kufanya rejea kwa mtu ambaye ametangulia mbele za haki na kamwe hataweza kurudi duniani basi huyo binadamu anaumwa kiakili na hata maisha yake mwenyewe hana uwezo nayo... Yaani ameshajikatia tamaa na maisha na anachosubiri hapa duniani ni kujifia tuu.
 
Sababu za kitoto kivipi wakati ni reality ndugu?

Unataka akupe sababu unazotaka wewe binafsi?

Who the fvck are you kutaka achenji facts kufuata wewe unayotaka.

Fact ni kwamba,wanataka kufanya matengenezo,ni lazima WAZIME siku nzima wafanye,hii ni FACT!

Wasipofanya miundombinu mzima utakuja kufa,thats a technical FACT!

Lazima umeme uzimweee.....thats a FACT!

Unataka FACTS zako ziwe za Kalemani?

Shida hapa naona ni Makamba na Kalemani...nothing else!

Nakujibu hivi

Tanesco ilikuwepo, ipo na itakuwepo..maintenance hazijaanza leo

Mimi ni mtanzania na ninasema hv huyo boss wako atoke hapo wizarani hakuna kitu anafanya..Swala la umeme ni sensitive sana kwa wananchi watanzania lilishatuumiza vyakutosha…kwa kifupi hatuna imani naye asepe tu kiroho safi
 
Maiti wewe

USA wana "Live Line Tools"...na kiwanda maalumu kabisa cha hizo tools worldwide kipo Connecticut,Hubbel&Chance!

Tanesco hakuna ,wanazo chache wanatumia kwa line za grid pekee yake

Sasa wewe unadhani huko kwenu mavi kunuka kwa Mpalange Tanesco ije na Liveline tools ili eti usikatiwe umeme?

Like really?

Mtu mwenyewe hasara tupu umeme umeletewa kwa msaada tu.Tanesco imetumia bilioni 12 kuleta umeme eneo lenu la Kwa Mpalange,hivi kwa viumeme vyenu vya 2000 au 1000 luku,lini mtarudisha hiyo bilioni 12 maiti nyie nyote?

Shut your butt up!
Unafanya biashara ya majenereta wapi?
 
Unaongea mavi tu

Yaani tanesco iache kuweka pesa kwenye generation na kulinda grid kama grid eti aje atumie hela yooooote kusimamia emergency faults mitaani hasa mitaa masikini kama yako

Pumbavu nyie

Yaani mnadhani mna haki ya kila kitu bure..kwa umeme wa 1000 unaonunua wa Luku?

Ukiwa CEO wa Tanesco shirika lenye kupata hasara kila siku,lingekufia....yaani badala ya kuweka sawa generation halafu na transmission kwenye level ya "grid" eti aje akufate wewe mtaani huko mavini kusiko pesa yeyote?

With actual numbers 85% ya mapato ya Tanesco yanatoka viwandani

Hapo 15% ndio majumbani kwenye wanunuzi wa Luku nyie maiti...infact wananchi woteee wa majumbani ni hasara kwa Tanesco

Liveline Equipments kontena ndogo ya 20feet ni shilingi bilioni 6-8 sawa na USD 2.5mil minimum..Ili kila mtaa uwe na hivyo vifaa lets say kila mkoa wa Kitanesco uwe na kontena 5 ya hizi

Maana yake kwa mikoa nearly 40 (sio mikoa ya kiserikali maana naona ushaanza kupanua matako) ni jumla ya 100mil USD sawa na msaada anaotafuta Samia Suluhu kila siku Ulaya kwa mabeberu na bado hawampi

Unaongea mavi kabisa takataka nyie
Kwahiyo kwa sehemu kubwa kubwa wanakokaa vigogo hanafanyaje maintenance?
 
Hivi nchi ambazo umeme haukatiki katiki wao hawafanyi hizo schedule repair?
🤔😤😆
 
Wewe ambaye siyo maiti unaishi kiwandani siyo ?
 
Kwahiyo kwa sehemu kubwa kubwa wanakokaa vigogo hanafanyaje maintenance?
Acha kubishana na hilo takataka mkuu!

Huo uharo wote anaotoa hapa ni kwa sababu moja tu chuki kwa Magufuli!

Kuna watu humu wana chuki na Magufuli kiasi kwamba waume zao jogoo zikishindwa kupanda wanamsingizia Magufuli, moja ya hao watu ni hilo takataka ulilolinukuu hapo
 
Mimi namchukia Magufuli nyie mnamchukia Makamba

Yaani unalalamikia kosa nalofanya wakati wewe unalirudia hilo hilo,wewe ni nani kama sio taahira?

Magufuli ni hewa kama ulivyo wewe na wenzako..useless!

Mpo hapa mnabishana na FACTS za engineering...what a bunch of clowns!

Yale yale ya yule taahira "Mungu kasema hakuna korona"..Mbuzi nyie!
Facts gani za engineering zinazokuambia kuwa mtambo unaweza ku-run kwa zaidi yamiaka mitano bila ya preventive maintenance?

Haya mambo akawaambie magwini wenzake…
 
Mimi namchukia Magufuli nyie mnamchukia Makamba

Yaani unalalamikia kosa nalofanya wakati wewe unalirudia hilo hilo,wewe ni nani kama sio taahira?

Magufuli ni hewa kama ulivyo wewe na wenzako..useless!

Mpo hapa mnabishana na FACTS za engineering...what a bunch of clowns!

Yale yale ya yule taahira "Mungu kasema hakuna korona"..Mbuzi nyie!
Facts mavi?

Juzi walikata umeme toka asubuhi hadi jioni saa 2 na sehemu ilipokatika ni kipande tu ambako hakukuwa na marekebisho yeyote!

Kwa matakataka kama nyie ndio mnatetea upumbavu!

Ndio maana Magufuli aliwadharau sana watu kama nyie maana ni misukule isiyo na msaada wowote kwa taifa
 
FACT is,miundombinu ya Tanesco haikufanyiwa deep maintenance kwa miaka 6!

Hiyo ni kuanzia Generation,Transmission na Distribution mitaani huko

Kisa?Magufuli alisema HAKUNA,mtazima umeme,SITAKI!

Ili wasifukuzwe,wakasema sawa,achana nayo,wakaa ofisini wanasubiri ije ilipuke tu..

Bahati nzuri yule taahira KAFA...wamekuja wenye akili,maintenance zimeanza!

Sasa mnataka muambiwe were bin were mzungu kala makamasi ...Magufuli anaozea huko makaburini,mfateni!
Sasa kama wamekuja wenye akili mbona kila siku mnalialia kwamba mnaonewa?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyie ni wakuchapa viboko mtakloni ndio mtaenda hivi hivi mtaendelea kuwa mrenda mrenda tu
 
Anachokisema waziri ni uongo ....anataka kuonekana smart wakat hakuna lolote....wala asitake kuonyesha kuwa waziri aliyepita alikuwa hana viwango....
 
Ilikuwepo ndio

Kuendelea kuwepo sio garantii,wewe unatoa garantii kama nani?

One mistake the whole company can collapse in one day,wewe unatoa garantii kwa kaumeme kako ka 1000/= ka luku?

Tuache hayo

Maintenance zilikuwepo kabla Magufuli hajaingia...Kaingia kapiga marufuku maintenance muda wake wote wa miaka 6,kafa na maintenance watu wameanza kufanya maana bila hivyo muundombinu wote utaenda na maji,na hii ni technical FACT!

Wewe na Magufuli mnaishi kwenye utopia kudhani miundombinu haiitaji maintenance sababu nyie mmewaza kwenye bongo zenu za mavi

Yaani muendeshe gari kwa miaka 5 bila service,unategemea hilo gari litaishi hivyo milele bila kuharibika moja kwa moja kwa uzembe huo?

Huu naona ni muendelezo wa Ukichaa wa Magufuli na nyie wao wake...hamna akili,na mna kichaa wote...mnataka kujifanya nyie ndio engineering ya kutokufanya maintenance!

Pumbu vijiko nyie nyote na mfu wenu!

Nenda na boss wako mkajipange upya eti Magufuli amekataza maintanance are you serious…mashine ya kusaga unga sokoni inafanyiwa maintanance sembuse Tanesco…

Tatizo mnafikiria watanzania wapumbavu…this time around NEVER nashukuru JPM aliwaanika hadharani tuwajue uzuri…
 
Mkuu

Umeme unakatwa tangu asubuhi mpaka jioni,wanafanya kazi wanavyotaka mpaka iishe

Unawapangia kama nani?

Hakuna marekebisho yeyote ulienda kuwauliza wakwambia hakuna marekebisho yeyote au umejisikia takoni kwako tu?

Punguza hizi ndoto za fools paradise,come back to reality!

Wafate waulize tatizo ni nini wakuambie sio unachokonoa tako na kujipa majibu wewe mwenyewe kutoka takoni mwako mwenyewe!
Si ndio maana nakuita taahira?

Maana sisi tuliopo huku hatuoni hizo sevice unazosema ila umeme unakuwa umekatwa!

Alafu mimi nlifikiri kuishi kwako Marekani utakuwa na kitu kichwani kumbe tope tu!
 
How gullible is the minister.

Magufuli ambae kila siku alikuwa anagombana na TANROADS kuhusu umuhimu road upkeep ili ziwe na maisha marefu

Mtu huyo huyo asielewe umuhimu wa upkeep wa mitambo ya umeme na gharama zake za kununua mitambo mpya ikiaribika.

Watu walishasema itakuwa rahisi sana kumuongepea mtu kama huyu; wengine tunaangalia tu anavyolilia LNG sio kwamba atuitaki lakini sio kwa kubembelezana.

Hiyo wizara ni kubwa na hana business managerial skills; lengo la body ya wakurugenzi wa biashara ni secondary overseers wa management na kwa sheria za nchi nyingi lazima iwe na experts walau 3 wa industry nafasi zinazobaki ni mchanganyiko wa taaluma zingine.

Tatizo la jamaa wa twitter wanaishi dunia yao.
 
FACT is,miundombinu ya Tanesco haikufanyiwa deep maintenance kwa miaka 6!

Hiyo ni kuanzia Generation,Transmission na Distribution mitaani huko

Kisa?Magufuli alisema HAKUNA,mtazima umeme,SITAKI!

Ili wasifukuzwe,wakasema sawa,achana nayo,wakaa ofisini wanasubiri ije ilipuke tu..

Bahati nzuri yule taahira KAFA...wamekuja wenye akili,maintenance zimeanza!

Sasa mnataka muambiwe were bin were mzungu kala makamasi ...Magufuli anaozea huko makaburini,mfateni!
Yaani Makamba ana akili au Mama Samia,wewe kweli tahira wahedi
 
Back
Top Bottom