January Makamba: TANESCO sasa wamesitisha miradi ya ujenzi wa maofisi na kuelekeza fedha kukarabati miundombinu ya Ugavi


Kwani miaka mitano nyuma kulikuwa hakuna maintanance? Mbona umeme ulikuwa wa uhakika,na kama ulikatika watu walipewa taarifa na sababu za kukatika.

Makamba asilete hapa sababu za kitoto,tunataka umeme kama miaka mitano iliyopita,hayo mengine abaki nayo yeye,kama hawezi apishe wengine wenye kuweza kuongoza hiyo Wizara.
 
Makamba anamwangusha sana Rais Samia , enzi za mwamba huyo asingepata hata muda wa kuongea hayo. January anajazwa upepo sana lakini utendaji wake ni hafifu sana
Ukikuta binadamu mwenye akili timamu anaendelea kufanya rejea kwa mtu ambaye ametangulia mbele za haki na kamwe hataweza kurudi duniani basi huyo binadamu anaumwa kiakili na hata maisha yake mwenyewe hana uwezo nayo... Yaani ameshajikatia tamaa na maisha na anachosubiri hapa duniani ni kujifia tuu.
 

Nakujibu hivi

Tanesco ilikuwepo, ipo na itakuwepo..maintenance hazijaanza leo

Mimi ni mtanzania na ninasema hv huyo boss wako atoke hapo wizarani hakuna kitu anafanya..Swala la umeme ni sensitive sana kwa wananchi watanzania lilishatuumiza vyakutosha…kwa kifupi hatuna imani naye asepe tu kiroho safi
 
Unafanya biashara ya majenereta wapi?
 
Kwahiyo kwa sehemu kubwa kubwa wanakokaa vigogo hanafanyaje maintenance?
 
Hivi nchi ambazo umeme haukatiki katiki wao hawafanyi hizo schedule repair?
🤔😤😆
 
Wewe ambaye siyo maiti unaishi kiwandani siyo ?
 
Kwahiyo kwa sehemu kubwa kubwa wanakokaa vigogo hanafanyaje maintenance?
Acha kubishana na hilo takataka mkuu!

Huo uharo wote anaotoa hapa ni kwa sababu moja tu chuki kwa Magufuli!

Kuna watu humu wana chuki na Magufuli kiasi kwamba waume zao jogoo zikishindwa kupanda wanamsingizia Magufuli, moja ya hao watu ni hilo takataka ulilolinukuu hapo
 
Facts gani za engineering zinazokuambia kuwa mtambo unaweza ku-run kwa zaidi yamiaka mitano bila ya preventive maintenance?

Haya mambo akawaambie magwini wenzake…
 
Facts mavi?

Juzi walikata umeme toka asubuhi hadi jioni saa 2 na sehemu ilipokatika ni kipande tu ambako hakukuwa na marekebisho yeyote!

Kwa matakataka kama nyie ndio mnatetea upumbavu!

Ndio maana Magufuli aliwadharau sana watu kama nyie maana ni misukule isiyo na msaada wowote kwa taifa
 
Sasa kama wamekuja wenye akili mbona kila siku mnalialia kwamba mnaonewa?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyie ni wakuchapa viboko mtakloni ndio mtaenda hivi hivi mtaendelea kuwa mrenda mrenda tu
 
Anachokisema waziri ni uongo ....anataka kuonekana smart wakat hakuna lolote....wala asitake kuonyesha kuwa waziri aliyepita alikuwa hana viwango....
 


Nenda na boss wako mkajipange upya eti Magufuli amekataza maintanance are you serious…mashine ya kusaga unga sokoni inafanyiwa maintanance sembuse Tanesco…

Tatizo mnafikiria watanzania wapumbavu…this time around NEVER nashukuru JPM aliwaanika hadharani tuwajue uzuri…
 
Si ndio maana nakuita taahira?

Maana sisi tuliopo huku hatuoni hizo sevice unazosema ila umeme unakuwa umekatwa!

Alafu mimi nlifikiri kuishi kwako Marekani utakuwa na kitu kichwani kumbe tope tu!
 
How gullible is the minister.

Magufuli ambae kila siku alikuwa anagombana na TANROADS kuhusu umuhimu road upkeep ili ziwe na maisha marefu

Mtu huyo huyo asielewe umuhimu wa upkeep wa mitambo ya umeme na gharama zake za kununua mitambo mpya ikiaribika.

Watu walishasema itakuwa rahisi sana kumuongepea mtu kama huyu; wengine tunaangalia tu anavyolilia LNG sio kwamba atuitaki lakini sio kwa kubembelezana.

Hiyo wizara ni kubwa na hana business managerial skills; lengo la body ya wakurugenzi wa biashara ni secondary overseers wa management na kwa sheria za nchi nyingi lazima iwe na experts walau 3 wa industry nafasi zinazobaki ni mchanganyiko wa taaluma zingine.

Tatizo la jamaa wa twitter wanaishi dunia yao.
 
Yaani Makamba ana akili au Mama Samia,wewe kweli tahira wahedi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…