January Makamba: TANESCO sasa wamesitisha miradi ya ujenzi wa maofisi na kuelekeza fedha kukarabati miundombinu ya Ugavi

January Makamba: TANESCO sasa wamesitisha miradi ya ujenzi wa maofisi na kuelekeza fedha kukarabati miundombinu ya Ugavi

Ngoja tuone...

Mara mabadiliko ya tabia za nchi...
Mara kukatwa miti hivyo...
Mara Mvua hakuna...
Mara mchina anakusanya maji yote...
 
Huyu Jamaa ni mkweli na hapendi unafiki, Nimtu anayeeleza ukweli hata kama unamgharimu chochote,Mungu akutangulie January kwakuwa unasema yaliyoyakweli.

View attachment 2015064
Watu waliwahi kutishiwa kufukuzwa kwa kukata umeme kwa ajili ya kufanya scheduled repairs. Wakaacha scheduled repairs kuogopa kufukuzwa. Nasi tukafurahia umeme kutokatika. Matokeo yake mfumo wa ugavi umechoka. Dawa si kufukuza bali kurekebisha hali. Itachukua muda lakini wataweza
Stupid! Kwa miaka yote hiyo alikuwa wapi? Bumbuli ameisaidia nini zaidi ya kuiba pesa kwa kisingizio cha trust fund! Januari hana elimu ya kuongoza wizara ya kisayansi kama Nishati.
 
B
Huyu Jamaa ni mkweli na hapendi unafiki, Nimtu anayeeleza ukweli hata kama unamgharimu chochote,Mungu akutangulie January kwakuwa unasema yaliyoyakweli.

View attachment 2015064
Watu waliwahi kutishiwa kufukuzwa kwa kukata umeme kwa ajili ya kufanya scheduled repairs. Wakaacha scheduled repairs kuogopa kufukuzwa. Nasi tukafurahia umeme kutokatika. Matokeo yake mfumo wa ugavi umechoka. Dawa si kufukuza bali kurekebisha hali. Itachukua muda lakini wataweza
Hivi huyu January mbona alikuwa overated sana ! Hii nayo ni kauli ya Waziri!? Hovyo kabisa!
 
Huyu Jamaa ni mkweli na hapendi unafiki, Nimtu anayeeleza ukweli hata kama unamgharimu chochote,Mungu akutangulie January kwakuwa unasema yaliyoyakweli.

View attachment 2015064
Watu waliwahi kutishiwa kufukuzwa kwa kukata umeme kwa ajili ya kufanya scheduled repairs. Wakaacha scheduled repairs kuogopa kufukuzwa. Nasi tukafurahia umeme kutokatika. Matokeo yake mfumo wa ugavi umechoka. Dawa si kufukuza bali kurekebisha hali. Itachukua muda lakini wataweza
January ni waziri wa mchongo!
 
Nahisi viongozi Serikalin wamechanganyikiwa, approach ya kumchafua Magufuli imeanza ku back-fire.
Challenges hizi tatu, yaani

1.Mfumko wa Bei
2.umeme kukatika Katika na
3.Jiji kukosa maji

Zime reveal uwezo mdogo wa viongozi wetu.
Huyu Marope ni empty set. Analeta story za kumlaum marehemu. Sis hatutaki hayo, tunataka solution ya tatizo, leta umeme halafu ndo uanze propaganda zako
 
Ulaya unakaa mwaka bila kuzimwa ..je wao hawafanya maintanace
Ulaya gani umekaa wewe? Majuzi tu New York alikaa wiki mbili bila umeme.

Has New York ever had a power outage?

New York City blackout of 1977. Northeast blackout of 2003. Manhattan blackout of July 2019.
 
Wewe ni kapumbavu na unatetea upumbavu!

Lengo la uwepo wa tanesco ni kuhakikisha wanachi wanapata umeme.

Umekuja na porojo eti vifaa ghali, kwani wanagawa umeme bure? Hizo hela wanazopata kwanini wasinunue vifaa ili kuondoa tatizo? Eti wanalinda grid! [emoji23][emoji23]

Mnajifanyaga mna exposure kumbe mmejaza minyoo tu vichwani.

Huko kwenye nchi za wenzetu nako wanakata umeme kila mara ili kufanya repair?

Hii nchi, tangu viongozi hadi wanaoongozwa ni mazwazwa sana.
Nafurahi kuona umekiri kuwa viongozi (CCM) ni mazwazwa na nyie mnaoongozwa nao (wanaCCM) ni mazwazwa pia.
 
Bado naona Approach ya Waziri Makamba ipo sawa sawia. Huwezi kufanya kazi kwa mashinikizo yasiyo na msingi. Alichokisema ilikuwa ndio anaingia Wizara hiyo sasa kapata data zote za mfumo wote wa ugawaji wa umeme ambao unahitaji marekebisho na kufanya hivyo lazima wakate umeme.

Maintenance ndio chanzo kikubwa kwa mifumu mingi Africa kufa, watu wengi hatuna mazoea ya kutenga pesa kwa ajili ya maintenance. Anakuja waziri anasema usikate umeme akiogopa kutumbuliwa kumbe mfumo wote unaendelea kuchakaa na kuongeza upotevu wa umeme.

Tusiwe wanazi tumwache afanyekazi yake. It too early to compare. Tuliona nguvu njingi zikitumika bila ya mafanikio ya kudumu na oungo mwingi na majigambo. Nchi hainendi kwa mihemko bali inaenda kwa kuwa na Strategic plan na kuzitekeleza.
mi natamani hata nikuite jina baya sana lakini basi tu ngoja nipite kimya kimya
 
Mh.rais kasema shida ni kupungua kwa kina cha maji na mipango ya mungu,waziri anasema tatizo ni scheduled maintainance tumuamini nani?nani kati ya rais na waziri mwenye taarifa sahihi? kwani mh rais anapewa taarifa na nani?
 
Naheshimu mtazamo wako na kutonitukana kama ulivyosema, ila ukweli utabaki palepale enzi zimepita tupo enzi tofauti tukubali tusikubali your chance to change anything is very slim. Please stay put.
 
Walakini uko wapi, wakati unapewa jibu la kisomi...mlikuwa mnaongopewa huku mfumo mzima wa umeme unaharibika... Huwa nafikiria Hayati alikuwa na dhumuni gani na hii Nchi.
Ficha ujuha wako hadharani,baki nao jikoni na mama yako mkiosha vyombo
 
Haka ka Makamba kanamaanisha Huko Ulaya hawafanyi repair ndiyo maana umeme haukatiki ati?
 
Huu ugonjwa mbaya Sana kwa TAifa ,unahitaji dawa ya haraka Sana.
Ndio tatizo la kupewa nyadhifa kwa kujuana na kutumia connection, sasa sijui huyu makamba anamsingizia nani? na sijui watasingizia hadi lini, yeye na Maharage wameteuana na kuwatoa watu wenye ujuzi ,haya sasa zege hilo lisilale, si mliona Karamagi hawezi kazi?Endeleeni kuupiga mwingi sana.
U
 
Uamuzi mzuri Offices should come last. Miundombinu kwanza. Hongera Makamba. There is no TANESCO without miundominu period.
 
Bado naona Approach ya Waziri Makamba ipo sawa sawia. Huwezi kufanya kazi kwa mashinikizo yasiyo na msingi. Alichokisema ilikuwa ndio anaingia Wizara hiyo sasa kapata data zote za mfumo wote wa ugawaji wa umeme ambao unahitaji marekebisho na kufanya hivyo lazima wakate umeme.

Maintenance ndio chanzo kikubwa kwa mifumu mingi Africa kufa, watu wengi hatuna mazoea ya kutenga pesa kwa ajili ya maintenance. Anakuja waziri anasema usikate umeme akiogopa kutumbuliwa kumbe mfumo wote unaendelea kuchakaa na kuongeza upotevu wa umeme.

Tusiwe wanazi tumwache afanyekazi yake. It too early to compare. Tuliona nguvu njingi zikitumika bila ya mafanikio ya kudumu na oungo mwingi na majigambo. Nchi hainendi kwa mihemko bali inaenda kwa kuwa na Strategic plan na kuzitekeleza.
Kwani Tanzania ndiyo inchi ya kwanza kutumia umeme tofauti na nchi nyingine? Kwani preventive maintenance lazima kuzima umeme nchi nzima? Je mbona walikuwa wakitutangazia kuwa kutakuwa na upungu wa umeme kwa ajili ya matengenezo. Acheni upuuzi
 
Back
Top Bottom