Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Stupid! Kwa miaka yote hiyo alikuwa wapi? Bumbuli ameisaidia nini zaidi ya kuiba pesa kwa kisingizio cha trust fund! Januari hana elimu ya kuongoza wizara ya kisayansi kama Nishati.Huyu Jamaa ni mkweli na hapendi unafiki, Nimtu anayeeleza ukweli hata kama unamgharimu chochote,Mungu akutangulie January kwakuwa unasema yaliyoyakweli.
View attachment 2015064
Watu waliwahi kutishiwa kufukuzwa kwa kukata umeme kwa ajili ya kufanya scheduled repairs. Wakaacha scheduled repairs kuogopa kufukuzwa. Nasi tukafurahia umeme kutokatika. Matokeo yake mfumo wa ugavi umechoka. Dawa si kufukuza bali kurekebisha hali. Itachukua muda lakini wataweza
Hivi huyu January mbona alikuwa overated sana ! Hii nayo ni kauli ya Waziri!? Hovyo kabisa!Huyu Jamaa ni mkweli na hapendi unafiki, Nimtu anayeeleza ukweli hata kama unamgharimu chochote,Mungu akutangulie January kwakuwa unasema yaliyoyakweli.
View attachment 2015064
Watu waliwahi kutishiwa kufukuzwa kwa kukata umeme kwa ajili ya kufanya scheduled repairs. Wakaacha scheduled repairs kuogopa kufukuzwa. Nasi tukafurahia umeme kutokatika. Matokeo yake mfumo wa ugavi umechoka. Dawa si kufukuza bali kurekebisha hali. Itachukua muda lakini wataweza
January ni waziri wa mchongo!Huyu Jamaa ni mkweli na hapendi unafiki, Nimtu anayeeleza ukweli hata kama unamgharimu chochote,Mungu akutangulie January kwakuwa unasema yaliyoyakweli.
View attachment 2015064
Watu waliwahi kutishiwa kufukuzwa kwa kukata umeme kwa ajili ya kufanya scheduled repairs. Wakaacha scheduled repairs kuogopa kufukuzwa. Nasi tukafurahia umeme kutokatika. Matokeo yake mfumo wa ugavi umechoka. Dawa si kufukuza bali kurekebisha hali. Itachukua muda lakini wataweza
Kiongozi unapokuwa na chawa,upuuzi wowote ni ukweli.na wewe umeridhika nayo?
kwa akili kama zako ama kwa hakika tunayo safari ndefu sana kufika na tutafika tumechoka!!!
Ulaya unakaa mwaka bila kuzimwa ..je wao hawafanya maintanaceWewe unaona upo uwezekano wa kufanya ukarabati bila kuzima umeme?
Toa majibu ya kwako yatayoridhisha watz wotena wewe umeridhika nayo?
kwa akili kama zako ama kwa hakika tunayo safari ndefu sana kufika na tutafika tumechoka!!!
Ulaya gani umekaa wewe? Majuzi tu New York alikaa wiki mbili bila umeme.Ulaya unakaa mwaka bila kuzimwa ..je wao hawafanya maintanace
Nafurahi kuona umekiri kuwa viongozi (CCM) ni mazwazwa na nyie mnaoongozwa nao (wanaCCM) ni mazwazwa pia.Wewe ni kapumbavu na unatetea upumbavu!
Lengo la uwepo wa tanesco ni kuhakikisha wanachi wanapata umeme.
Umekuja na porojo eti vifaa ghali, kwani wanagawa umeme bure? Hizo hela wanazopata kwanini wasinunue vifaa ili kuondoa tatizo? Eti wanalinda grid! [emoji23][emoji23]
Mnajifanyaga mna exposure kumbe mmejaza minyoo tu vichwani.
Huko kwenye nchi za wenzetu nako wanakata umeme kila mara ili kufanya repair?
Hii nchi, tangu viongozi hadi wanaoongozwa ni mazwazwa sana.
mi natamani hata nikuite jina baya sana lakini basi tu ngoja nipite kimya kimyaBado naona Approach ya Waziri Makamba ipo sawa sawia. Huwezi kufanya kazi kwa mashinikizo yasiyo na msingi. Alichokisema ilikuwa ndio anaingia Wizara hiyo sasa kapata data zote za mfumo wote wa ugawaji wa umeme ambao unahitaji marekebisho na kufanya hivyo lazima wakate umeme.
Maintenance ndio chanzo kikubwa kwa mifumu mingi Africa kufa, watu wengi hatuna mazoea ya kutenga pesa kwa ajili ya maintenance. Anakuja waziri anasema usikate umeme akiogopa kutumbuliwa kumbe mfumo wote unaendelea kuchakaa na kuongeza upotevu wa umeme.
Tusiwe wanazi tumwache afanyekazi yake. It too early to compare. Tuliona nguvu njingi zikitumika bila ya mafanikio ya kudumu na oungo mwingi na majigambo. Nchi hainendi kwa mihemko bali inaenda kwa kuwa na Strategic plan na kuzitekeleza.
Naheshimu mtazamo wako na kutonitukana kama ulivyosema, ila ukweli utabaki palepale enzi zimepita tupo enzi tofauti tukubali tusikubali your chance to change anything is very slim. Please stay put.Mh.rais kasema shida ni kupungua kwa kina cha maji na mipango ya mungu,waziri anasema tatizo ni scheduled maintainance tumuamini nani?nani kati ya rais na waziri mwenye taarifa sahihi? kwani mh rais anapewa taarifa na nani?
Ficha ujuha wako hadharani,baki nao jikoni na mama yako mkiosha vyomboWalakini uko wapi, wakati unapewa jibu la kisomi...mlikuwa mnaongopewa huku mfumo mzima wa umeme unaharibika... Huwa nafikiria Hayati alikuwa na dhumuni gani na hii Nchi.
UNdio tatizo la kupewa nyadhifa kwa kujuana na kutumia connection, sasa sijui huyu makamba anamsingizia nani? na sijui watasingizia hadi lini, yeye na Maharage wameteuana na kuwatoa watu wenye ujuzi ,haya sasa zege hilo lisilale, si mliona Karamagi hawezi kazi?Endeleeni kuupiga mwingi sana.
Kwani Tanzania ndiyo inchi ya kwanza kutumia umeme tofauti na nchi nyingine? Kwani preventive maintenance lazima kuzima umeme nchi nzima? Je mbona walikuwa wakitutangazia kuwa kutakuwa na upungu wa umeme kwa ajili ya matengenezo. Acheni upuuziBado naona Approach ya Waziri Makamba ipo sawa sawia. Huwezi kufanya kazi kwa mashinikizo yasiyo na msingi. Alichokisema ilikuwa ndio anaingia Wizara hiyo sasa kapata data zote za mfumo wote wa ugawaji wa umeme ambao unahitaji marekebisho na kufanya hivyo lazima wakate umeme.