Tetesi: January na Nape kutimkia CHADEMA wakati wowote kuanzia sasa

Aisee
 
Ungesema ACT Wazalendo ingeleta uzito kidogo, ili wakaungane na rafiki yao Zitto Kabwe.

Ova
 
Tunza heshima yako.
 
Unaumwa ww
 
Makamba hajautaka urais wala urahisi.

Angautaka kwa kipindi hiki ni rahisi sana mana Samia ni mgombea Mweza tu mpaka sasa hajawahi kugombea urais . Samia atagombea urais kwa mara ya kwanza 2025.

Mtanganyika yeyote akijitokeza sirious kugombea urais kupitia CCM 2025 yule dada mkuu Mzanzibar mwenye asili ya Oman mjukuu wa Sultani na Manachama wa Hizibu hawezi kumshinda kamwe .

Hata hivyo Kwa sasa ndani ya CCM hakuna kijana msafi tena .

Mpina ni zaidi ya wote na Makonda kwa lbaaali mana tatizo lake ni mpambe sana wa wale wanaoliibia Taifa kupitia madaraka yao na sasa anashindwa kuwakemea zaidi ya kukemea vidagaa.

Doto Biteko ni hatari kuliko hatari yenyewe . Akichunguza mienendo iliyompa Nafasi kwa kisingizio cha Usuqoumou na aliyowafanyia kwenye ardhi yao dunia itasimama .
Bora hata Mwigulu Nchemba mara mia kuliko Doto. Mwigulu sio Mnafiki. na anasim
 
Nasikia wana kadi kabisa kitambo
 
Wote wawili January na Nape wamerudishwa chamani ili kukiongezea chama nguvu kuelekea 2025.

Mnaodhan wametumbuliwa jidanganye I.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…