January na Oddo Ummy karibuni Nyumbani Tanga

Andrew123

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
8,358
Reaction score
10,976
Haya Wana Tanga, karibuni kwenye mapokezi ya kishindo ya wanetu Oddo Ummy na January;

MAHALI: Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.

TAREHE: 19 Agosti 2024,

MUDA: Saa 8 Mchana.
Chakula, Vinywaji na burudani vitakuwepo.

NB: Msafara utaanzia Maweni mpaka Mjini (Mkwakwani Stadium) - Nyumbani ni nyumbani.

Ratiba ni kama ifuatavyo

Saa 8:00 Mchana - Msafara kuingia uwanjani (Wote)
Saa 8:20 Mchana - Burudani na Utambulisho (MC)
Saa 8:40 Mchana - Chakula na Vinywaji (Wote)
Saa 9: 00 Alasiri - Hotuba (Waheshimiwa)
Saa 9: 30 Alasiri - Salamu kutoka Vikundi Mbalimbali (MC)
Saa 10 Jioni - Kutawanyika (Wote)
 
Wasambaa wameamka sasa baada ya kutemeshwa bungo
 
Asante
 
Mtamchafua mama Abdul ohooo!!
Bora mpige kimya kama Lukuvi na Kabudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…