Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wameamua kurudi Misri toka kwenye neema Kaanani.Wanatoka Misri kwenda Canaan!
Tatizo liko kwa chama, hizi wizara technical ikiwemo ya ufundi, ziwe zinasimamiwa na professinals waliotokea hukoIla Wizara ya afya aisee?!
Hivi madaktari kupitia chama chao hawawezi kui shauri Serikali kuhusu Sifa za Waziri wa afya ?
Madaktari tangu alivyofanywa Ulimboka wamekuwa kama demotivated vile?!
Yaani kama bora liende?!
Tatizo liko kwa chama, hizi wizara technical ikiwemo ya ufundi, ziwe zinasimamiwa na professinals waliotokea huko
Wenye vigezo wapo sana ila political barrier ambayo inataka mtu kutoka chama fulani tu, wakati nje kuna potential candidatesSahihi kabisa.
Kama ambavyo wizara ya sheria na nyinginezo.
Sasa mtu bila kuwa conversant na mambo ya udaktari si atakuwa anapotoshwa kwenye maamuzi au ku-resist kwenye mambo ambayo umuhimu wake ni mkubwa sana.
Na sio Kwamba hawapo wenye vigezo hivyo isipokuwa Sijui tatizo ni kutokuwa na muda wa kutulia na kufanya maamuzi kwa kuwiwa ufanisi mkubwa ?!
Duh 🙄 !Huyo Jan abaki huko huko,Wana Bumbuli hatutaki kumuona