January na Oddo Ummy karibuni Nyumbani Tanga

January na Oddo Ummy karibuni Nyumbani Tanga

Una uhakika kuna haya mapokezi watu tuahirishe shughuli zetu tuje Maweni na Mkwakwani? Ole wako utudanganye.
Haya Wana Tanga, karibuni kwenye mapokezi ya kishindo ya wanetu Oddo Ummy na January;

MAHALI: Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.

TAREHE: 19 Agosti 2024,

MUDA: Saa 8 Mchana.
Chakula, Vinywaji na burudani vitakuwepo.

NB: Msafara utaanzia Maweni mpaka Mjini (Mkwakwani Stadium).

Mnawaponza na kuwaletea rabsha zaidi.
 
Haya Wana Tanga, karibuni kwenye mapokezi ya kishindo ya wanetu Oddo Ummy na January;

MAHALI: Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.

TAREHE: 19 Agosti 2024,

MUDA: Saa 8 Mchana.
Chakula, Vinywaji na burudani vitakuwepo.

NB: Msafara utaanzia Maweni mpaka Mjini (Mkwakwani Stadium) - Nyumbani ni nyumbani.

Ratiba ni kama ifuatavyo

Saa 8:00 Mchana - Msafara kuingia uwanjani (Wote)
Saa 8:20 Mchana - Burudani na Utambulisho (MC)
Saa 8:40 Mchana - Chakula na Vinywaji (Wote)
Saa 9: 00 Alasiri - Hotuba (Waheshimiwa)
Saa 9: 30 Alasiri - Salamu kutoka Vikundi Mbalimbali (MC)
Saa 10 Jioni - Kutawanyika (Wote)
Iv wakiwa mawazr walikuwawaga wanasikka majmbon kwao au ksa wametemeshwa ulaji aiseee bongo pagumu
 
Back
Top Bottom