shinyangakwetu
JF-Expert Member
- Jun 25, 2015
- 2,487
- 2,394
Kama ulivyokuwa na busara na utaratibu, upole na busara ulipokuwa huna kishikio, na sasa baada ya kupata kishikio usibadilike ukataka hata kuelekeza makali kukata walioshika upande wa makali.
Bado mdogo watu wanahitaji kukuweka kwenye mizani kukupima kama hutumii mpini uloshika vibaya. Acha kupandisha mabega, kuwa mnyenyekevu, heshimu wote wakubwa na wadogo.
Kuna wakati ulipotoka kumsema mkuu wa nchi kwenye mitandao na baadae ukajutia na kusamehewa (ingawa haikua haki yao kukurekodi) lakini kwa lile ulichafuka, sasa umesafishwa jiangalie maana. Safari bado ndefu.
Tumia zaidi busara na akili za elimu Dunia huku ukimuomba Mungu akuongoze ktk kutenda haki kwa maslahi ya Taifa na watu wake. Usiingie ktk mtego wowote ule wa utengevu kisiasa, kidini, kikabila, kikanda na kiswahiba.
Januari nakuita January[emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870]