January nenda taratibu

January nenda taratibu

shinyangakwetu

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2015
Posts
2,487
Reaction score
2,394
Kama ulivyokuwa na busara na utaratibu, upole na busara ulipokuwa huna kishikio, na sasa baada ya kupata kishikio usibadilike ukataka hata kuelekeza makali kukata walioshika upande wa makali.

Bado mdogo watu wanahitaji kukuweka kwenye mizani kukupima kama hutumii mpini uloshika vibaya. Acha kupandisha mabega, kuwa mnyenyekevu, heshimu wote wakubwa na wadogo.

Kuna wakati ulipotoka kumsema mkuu wa nchi kwenye mitandao na baadae ukajutia na kusamehewa (ingawa haikua haki yao kukurekodi) lakini kwa lile ulichafuka, sasa umesafishwa jiangalie maana. Safari bado ndefu.

Tumia zaidi busara na akili za elimu Dunia huku ukimuomba Mungu akuongoze ktk kutenda haki kwa maslahi ya Taifa na watu wake. Usiingie ktk mtego wowote ule wa utengevu kisiasa, kidini, kikabila, kikanda na kiswahiba.

Januari nakuita January[emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870]
 
Januri Makamba amejaliwa Hekima, utu, maadili, akili, utulivu, busara vitu ambavyo ni hadimu sana kwa wanasiasa wengi wa ccm.

Januari anapigwa sana vita sababu anavitu ambavyo wenzake hawana. Kiufupi wanamuogopa.
 
Utakua sahihi kama umesahau aliwahi kumsema mkuu wake wa chama.
 
Kama ulivyokuwa na busara na utaratibu, upole na busara ulipokuwa huna kishikio, na sasa baada ya kupata kishikio usibadilike ukataka hata kuelekeza makali kukata walioshika upande wa makali.
Bado mdogo watu wanahitaji kukuweka kwenye mizani kukupima kama hutumii mpini uloshika vibaya.
Acha kupandisha mabega, kuwa mnyenyekevu, heshimu wote wakubwa na wadogo.
Kuna wakati ulipotoka kumsema mkuu wa nchi kwenye mitandao na baadae ukajutia na kusamehewa(ingawa haikua haki yao kukurekodi) lakini kwa lile ulichafuka, sasa umesafishwa jiangalie maana. Safari bado ndefu.
Tumia zaidi busara na akili za elimu Dunia huku ukimuomba Mungu akuongoze ktk kutenda haki kwa maslahi ya Taifa na watu wake.
Usiingie ktk mtego wowote ule wa utengevu kisiasa, kidini, kikabila, kikanda na kiswahiba.

Januari nakuita January[emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870]
sasa umeandika nini hapa. kwa mfano amepandisha mabega wapi na amefanya nini. kama huna cha kuandika bora ukae kimya
 
Kama kakutuma basi kalale nae.
Ila nililoandika nimeandika.

Mtizamo ni wangu wewe kama huoni basi sawa na nyani asiyeona kundule
 
Wacha awafyeke hao sukuma gang waliopenyezwa kila idara ya serikali. Na miradi yote ya upendeleo huko sukuma land fyekelea mbali.

Lazima nchi iendeshwe kwa uadilifu haiwezekani watu waingizwe ingizwe tu kikabila na kindugu
 
Mwanzoni mwanzoni moto muhimu mzee

Ova
This is a case study. What worries alot of doubters, is the caliber of some people involved in making up the management team. Mzee Omar must be very tough. Chande Maharage must be very tough. It will be a heart breaking sutuation, if things get worse instead of getting better,
 
Wacha awafyeke hao sukuma gang waliopenyezwa kila idara ya serikali. Na miradi yote ya upendeleo huko sukuma land fyekelea mbali.

Lazima nchi iendeshwe kwa uadilifu haiwezekani watu waingizwe ingizwe tu kikabila na kindugu
Shida utakuta na yeye aliingizwa na kupewa nafasi hivyohivyo kiupendeleo sababu tu baba yake alikuwa katibu mkuu CCM
Bado sijaona Kama makamba ni mtu sahihi ana makando mengi Sana
Mama Samia alipaswa amfukuze haraka kalemani, Ila alete mtu makini sana na sio huyu makamba
 
Makando mengi sana yapi hayo mkuu?
Na ni nani huyo unahisi hana makando?
 
Januri Makamba amejaliwa Hekima, utu, maadili, akili, utulivu, busara vitu ambavyo ni hadimu sana kwa wanasiasa wengi wa ccm.

Januari anapigwa sana vita sababu anavitu ambavyo wenzake hawana. Kiufupi wanamuogopa.
Acha kumsingizia mambo ya uongo January.
 
Kama ulivyokuwa na busara na utaratibu, upole na busara ulipokuwa huna kishikio, na sasa baada ya kupata kishikio usibadilike ukataka hata kuelekeza makali kukata walioshika upande wa makali.

Bado mdogo watu wanahitaji kukuweka kwenye mizani kukupima kama hutumii mpini uloshika vibaya. Acha kupandisha mabega, kuwa mnyenyekevu, heshimu wote wakubwa na wadogo.

Kuna wakati ulipotoka kumsema mkuu wa nchi kwenye mitandao na baadae ukajutia na kusamehewa (ingawa haikua haki yao kukurekodi) lakini kwa lile ulichafuka, sasa umesafishwa jiangalie maana. Safari bado ndefu.

Tumia zaidi busara na akili za elimu Dunia huku ukimuomba Mungu akuongoze ktk kutenda haki kwa maslahi ya Taifa na watu wake. Usiingie ktk mtego wowote ule wa utengevu kisiasa, kidini, kikabila, kikanda na kiswahiba.

Januari nakuita January[emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870]
Tanesco Shirika GUMU sana
 
Back
Top Bottom