Japan: Familia itakayohama Tokyo kulipwa Tsh. Milioni 21.3 kwa kila mtoto

Japan: Familia itakayohama Tokyo kulipwa Tsh. Milioni 21.3 kwa kila mtoto

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Uamuzi huo umechukuliwa na Serikali ikiwa ni katika harakati za kushawishi kupunguza idadi ya watu katika Mji huo Mkuu.

Tokyo na maeneo ya jirani ya Kanagawa, Sai-tama na Chiba yanatajwa kuwa na idadi ya watu Milioni 35 ikiwa ni 28% ya watu wote wa #Japan, ambapo Serikali ina hofu ongezeko la watu linaweza kuwa na madhara makubwa pindi tetemeko la ardhi linapotokea.

Utafiti uliofanywa Mwaka 2019, ulibaini kuwa kuna 47% ya kutokea tetemeko kubwa #Tokyo miaka 30 ijayo.

------
Japan offering families $7,600 per child to move out of Tokyo

Japan is offering families 1 million yen (approxi-mately $7,627) per child to move out of Tokyo in hopes of reducing overcrowding.

An additional 700,000 yen (approximately $5,339) was added to what was originally 300,000 yen (approximately $2,288) due to the heightened concentration of people in the country’s capital. With a population of 125.7 million, 28 percent of Japan’s population (approximately 35 million) is focused in Tokyo and its neighboring areas of Kanagawa, Sai-tama and Chiba.

The Japanese government’s fear of overcrowding stems from increasing risks for potential earthquakes. In 2019, Japan’s Headquarters for Earthquake Research Promotion emphasized a 47 percent chance of a strong earthquake in Tokyo within the next 30 years.

`Officials’ fears were confirmed this October when a 6.1 magnitude earthquake struck Japan’s capital. In March, Japan’s northeast coast faced a 7.4 magnitude earthquake, leaving four dead and thousands without power.

As a result, the government hopes to incentivize families in the main metropolitan area — as well as those in neighboring areas — to relocate to Japan’s regional areas, Daily Mail reports.

Families who take part of this relocation program may move to host municipalities (towns with local governments) or mountainous regions in Tokyo and its neighboring areas.

However, to receive the government’s offer of 1 million yen per child, recipients will be required to live in their relocated area for a minimum of five years while employed. Those who fail to adhere to these requirements will be asked to return the money.

In adherence to the government’s goals, ap-proximately 1,300 municipalities took part in the relocation program in 2022. However, only 2,381 recipients have participated in relocation efforts since 2019.

In addition to the relocation program, the Japa-nese government also presented a stalled proposal to develop Osaka as a second capital in 2011. In 2019, the government also relocated the Consumer Affairs Agency to the island of Shikoku.

However, despite overpopulation concerns in Japan’s major cities, the country faces a rapidly declining birth rate. The birth count for 2022 is ex-pected to fall below the previous year’s record low of 811,000 births in what Chief Cabinet Secretary Hirokazu Matsuno described as a “critical situation.”

Although the government has attempted to en-courage its younger population to reproduce through payments of subsidies, many have pointed to high living costs, corporate culture, difficult economic conditions, lack of inclusivity and individual freedom as reasons against marriage and childbirth.—Agencies

Source: Pakobserver
 
Tokyo

images (39).jpeg
 
Tokyo kila mahali kuna nyomi kama uko Times Square...
... mmoja aliwahi kuwashauri watanzania; fyatueni tu nchi hii ni tajiri sana! Katika SADC, Tanzania ni ya 3 kwa population (61 m) baada ya DRC (92m) na Afrika Kusini (69m).

Kuzaliana bila utaratibu ni hatari sana; Japan na utajiri wao wote overpopulation inawatesa sembuse sisi makapuku!
 
South Africa hawajafika milioni 69, na nahisi kama vile population ya TZ ni kubwa kuliko wao.
Kama nitakuwa muongo jaribu kuchungulia katika linki hii [emoji116][emoji116]

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Kupunguza watu ni kuondoa baadhi ya vitu ambavyo ni chocheo la watu kutafuta mkate.

Leo kwao kesho kwetu.mfano DAR tusipo izibiti mapema mwisho wa siku mkoa wa pwani utapotea,mikoa mingine itakosa maendeleo,mapato mengi ya nchi yatasaidia dar kuliko chengine.

USA wameweza ili kwenye majimbo yao.
mfano viwanda,biashara,starehe na n.k
 
... mmoja aliwahi kuwashauri watanzania; fyatueni tu nchi hii ni tajiri sana! Katika SADC, Tanzania ni ya 3 kwa population (61 m) baada ya DRC (92m) na Afrika Kusini (69m).

Kuzaliana bila utaratibu ni hatari sana; Japan na utajiri wao wote overpopulation inawatesa sembuse sisi makapuku!

Tutakuwa wa 5 au 6, kuna Nigeria na Egypt wapo wengi zaidi yetu...

Ambapo bado sio nzuri ukilinganisha na kasi ya maendeleo yetu
 
Kupunguza watu ni kuondoa baadhi ya vitu ambavyo ni chocheo la watu kutafuta mkate.

Leo kwao kesho kwetu.mfano DAR tusipo izibiti mapema mwisho wa siku mkoa wa pwani utapotea,mikoa mingine itakosa maendeleo,mapato mengi ya nchi yatasaidia dar kuliko chengine.

USA wameweza ili kwenye majimbo yao.
mfano viwanda,biashara,starehe na n.k
Words
 
... mmoja aliwahi kuwashauri watanzania; fyatueni tu nchi hii ni tajiri sana! Katika SADC, Tanzania ni ya 3 kwa population (61 m) baada ya DRC (92m) na Afrika Kusini (69m).

Kuzaliana bila utaratibu ni hatari sana; Japan na utajiri wao wote overpopulation inawatesa sembuse sisi makapuku!
Japan haina tatizo la overpopulation Bali wanakumbana na tatizo ageing population na inakadiriwa idadi ya watu kupungua mbeleni na serikali ya Japan pia inahamasisha watu kuzaliana, tatizo hili pia China imeanza kutana nao na ndio sababu ya kuondoa Sera ya kuzaa mtoto mmoja na sasa China inaruhusu kuwa na watoto mpaka watatu.

Shida ya overpopulation Japan IPO kwenye miji mikubwa miji ya Tokyo na Osaka ndio ina watu wengi Sana. Na hata hiyo Tokyo yenyewe haiwezi ikasemwa kuwa ni overpopulated
 
... mmoja aliwahi kuwashauri watanzania; fyatueni tu nchi hii ni tajiri sana! Katika SADC, Tanzania ni ya 3 kwa population (61 m) baada ya DRC (92m) na Afrika Kusini (69m).

Kuzaliana bila utaratibu ni hatari sana; Japan na utajiri wao wote overpopulation inawatesa sembuse sisi makapuku!
Jamaa yule elimu yake ilikuwa ya mchongo. Trust me. Na wala sizungumzii uwezo wake wa kiingereza bali jinsi alivyokuwa na vision ndogo kwenye mambo ya kisomi. Kwangu mimi elimu yake ilikuwa ni form four na si zaidi. Au form six ya kufeli. Kuanzia digrii ya kwanza alikuwa anafoji.
 
Back
Top Bottom