Japan kulipa $536 Million kwa makampuni yake 56 yahame kutoka China, yarudi nyumbani au nchi nyingine za Asia

Kuna nchi Kama Vietnam ndo ambayo ni kimbilio, walienda china kwa sababu Kuna cheap labour na hakuna sheria madhubuti za kuwalinda wafanyakazi, kitu ambacho capitalist wanakitaka za kazi tofauti na developed countries
 
Jifunze ku-type kwa usahihi kwanza. Huwa sibishani na mtu ambaye kuandika tu hawezi wakati mimi nilijua nikiwa chekechea. Au unataka kusema ni typing errors?
 
Teh teh hapo upo kwa Mtogole
 
Marekani nae sio mkandamizaji?? Huyo ndo mnafiki mkubwa.........wote hapo hovyo hakuna wa maana sema tu mmoja anaona anazidiwa ndo anahangaika kujitetea ila hakuna msafi hapo kati ya Mmarekani na Mchina
Jini likujualo halikuli likakumaliza
 
Kuna nchi Kama Vietnam ndo ambayo ni kimbilio, walienda china kwa sababu Kuna cheap labour na hakuna sheria madhubuti za kuwalinda wafanyakazi, kitu ambacho capitalist wanakitaka za kazi tofauti na developed countries
Vietnam haina miundombinu kama China, haina umeme wa uhakika. Haina system sahihi kama railways. Haina population ya kureplace soko la China.

Uchumi wa Vietnam kwa mwaka jana ulikuwa unazidiwa na jimbo moja la China ambalo ni la 12 kwa utajiri. Yani China kuna majimbo 12 ni matajiri kuliko Vietnam.
 
Philippines anaepush ni dutete, ambaye akiondoka akija rais mwingine atawarudia marekani, wa-philipines wengi hawasupport hiyo move kwa sababu diaspora wengi wapo marekani

Marekani hawez ondoka kienyeji enyeji sababu aliingia mikataba
hayo ni matumainio yako; lakini ukweli kwa sasa hivi ndivyo ulivyo. Hujajua nani atakayekuja madarakani tena; usiongelee mambo ya kufikirika. Akija mwingine akabadili mwelekeo tutaliongea lakini hali ya sasa ni hiyo.
 
IRAQ imekua hv unavyoiona kwasababu yahao wasiopenda uonevu


UCHINA muache akaepale maana ndio panamstahili

Kama munaumia umieni tuu maana hakuna namna sasa...
Hata Korea Kusini, Singapore, Taiwan mlisema hivi hivi
 
Unachezea sharubu za Marekani wewe
 
Ile ni process ambayo inaweza chukua hata miaka kumi sio kitu kinachofanyika abruptly na sio Vietnam Kuna india
 
Ile ni process ambayo inaweza chukua hata miaka kumi sio kitu kinachofanyika abruptly na sio Vietnam Kuna india
 
Nimeshangaa hawa wadau wana praise mchina, Mzungu ni mpigaji ila ni mtu mwenye chembe za Huruma na Dunia ni salama kwa vile iko chini ya wazungu US sasa siku superpower akiwa mchina au Mrusi tutegemee dunia kutokuwa salama tena mana hao jamaa wao ni kujali mambo yao tu
 
hayo ni matumainio yako; lakini ukweli kwa sasa hivi ndivyo ulivyo. Hujajua nani atakayekuja madarakani tena; usingelee mambo ya kufikirika. Akija mwingine akabadili mweleko tutaliongea lakini hali ya sasa ni hiyo.
Wale ni wazungu sio waafrika mkuu mambo anayofanya Trump hata Republican hawakubalian nae
 
In 10 yrs to come china itakua nje ya 10ten mtaniambia...amuulize Mrusi atamwahadithia sawa sawa

Sio kweli.. Africa, America ya kusini, sehemu kubwa ya bara Arab inategema China kwa cheap product.. wewe vitu vyote unavyotumia 80% vinatoka China wafanyabiashara wote wa Africa wanaenda China include hayo mabara nilotaja... hao America wenyewe wamaviwanda China kwa ajili ya cheap labor ... haya lini. Urusi dunia iliitegemea? Kwa biashara
 

Huyo mzungu ana ubora gani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]?! Bora huyo mchina maisha yamekua rahisi mpaka bibi yako huko kijijini anavaa nguo if not for China Africa biashara mngefanyia wp mngezitoa wp?! .... huyo America demokrasia inakuja kwa nchi asizozitaka... nchi anazozipenda hata wakandamizwe Vipi hatii mdomo.. bora mchina kuliko huyo muanzisha vurugu duniani kwa maslai yake
 
Kwenye hiyo taarifa hujaelewa nini? Maana ya serikali kutenga hizo pesa ni kwa ajili ya kucover hayo uliyoandika hayawezekani.

Ingekuwa ni kujihamisha wenyewe hiyo ingekuwa ngumu.
Kwahiyo serikali itawaletea wateja? , na viwanda sio vya serikali, ni investor, na investors wanataka profit with cheap production cost
Alafu tumia akili japan ni watu mil 126,wakati china 1b. Na ndio maana serikali imesema kwa watakao kubali sio executive order
Tumieni akili sio ushabiki
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…