Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Kuna nchi Kama Vietnam ndo ambayo ni kimbilio, walienda china kwa sababu Kuna cheap labour na hakuna sheria madhubuti za kuwalinda wafanyakazi, kitu ambacho capitalist wanakitaka za kazi tofauti na developed countriesAngeshindwa kwa kukosa hela ya kutosheleza kuwekeza na kuendeshea biashara. Yani 1B inayowekeza China inakuwa ni zaidi ya hapo ikiwekeza Japan. Pia running costs zingekuwa kubwa nchini Japan.
Kama wangeweza kwa nini walienda China, kuna factors ambazo ziliwaweka uko.