Japan kulipa $536 Million kwa makampuni yake 56 yahame kutoka China, yarudi nyumbani au nchi nyingine za Asia

Haha haha hadi house girl wao anamiliki smartphone kwasababu ya mchina

Waweza kukuta yupo hapa jf anawaponda wachina huku kapanda boda boda inamrudisha nyumbani au inampeleka kazini au kapanda youtong anatoka dar anakwenda mbeya ..but stil anamponda mchina


Aisee Africa tuna roho za kichawi sana
 
Ha ha ha ha hahah
 
Hahaa hahaa hiyo itakuwa ni id nyingine ya Frank wanjiru
 
Hahaa
 
Mimi nashangaa sana kwenye hii mijadala ya Uchina na marekani na wa ulaya, kama wanaoponda mchina ni watoto wa miaka ya 2000 hivi nani hajui namna maisha yalivyokuwa magumu miaka ya 80 na 90 kwamba kumiliki tv tu ilikuwa anasa

Kiukweli mchina kuleta ili jambo la saizi yako kwamba unapata kutokana na mfuko wako wamesaidia sana kufanya maisha kuwa rahisi hao wamarekani mavitu yao bei sana na utility ni ile ile tu

Mchina adumu milele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ukisema wizi, hata mmarekabi ni mwizi, tech nyingi unayoona ni either German au Mwingereza, kuanzia chip making, semiconductor, military tech,
Mmarekani sio wa kwanza kwenye tech revolution wala industrial revolution
Hiyo ya kuwatesa waislamu, mbona Viongozi wa nchi za kiarabu walialikwa na wakaenda mpaka Uigher hawakuona, we ulionanea wapi?
Dah, mkuu umenisikitisha, yani hoja zako ni very light
 
Kwahiyo kwa akili yako, Corona imeletwa na Mchina!?
Hivi we unajua kwanini CDC US ilifunga military bio weapons research center kwa ku violet protocol, soon after that ndo ikaja corona saga
 
Hivi unafikiri hao wenzako wanazungumza maneno matupu ya kwenye ghahawa na kashata? Washafanya empirical analysis ndio waka come up na hiyo conclusion. Na kwa taarifa yako, hizo bidhaa soko lao sio China, wanauza world wide. Hata wakihamishia mwezini bidhaa zenye ubira hazikosi wanunuzi. China ilikuwa ni kama production centre. Hivyo potential customers bado watakuwepo globally. Take into account siku hizi biashara hufanyika ki digitally.

Na isitoshe washakubali kuhama, wewe unaumia wao kuhama? Au una hisa kwenye hizo kampuni zilizikubali kuhama. How how did you invested? Nakushauri angalia mambo globally na sio locally.
 
Wewe Jamaa ni utopolo kweli yaani dahh!!!
 
Niambie hio hela ndo italeta soko na kupunguza production cost!?
Alafu unatakiwa uelewa japan wana demographic issue, then manpower shortages
Wata import watu kutoka Afrika.
(imekaaje hiyo mazee)
 
Marekani nae sio mkandamizaji?? Huyo ndo mnafiki mkubwa.........wote hapo hovyo hakuna wa maana sema tu mmoja anaona anazidiwa ndo anahangaika kujitetea ila hakuna msafi hapo kati ya Mmarekani na Mchina
Lakini, afadhali ya US, hao jamaa ni watu hatari sana. Ukatili huu wa haya makitu ya Corona, ujue ni jambo baya sana. Gonjwa lenyewe ukiambiwa ni natural la aina ya mafua, unaona kabisa ni jambo linalofikirisha sana. Kwa hili, mimi naona macho madogo analo la kuijibu dunia, hili dubwasha waliloleta ni nini hasa?!
So far watu 14+ million tayari wameshaambukizwa. Ni dubwasha ngumu sana kujilinda usilipate. Wachina wawe wakweli, hii kitu iliyokeaje hapo Wuhan, au kuna majaribio walifanya kwa maabara kwa bahati mbaya yakaja kwenye anga la kawaida? Hii inasambaa kwa haraka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…