hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
Haha haha hadi house girl wao anamiliki smartphone kwasababu ya mchinaHuyo mzungu ana ubora gani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]?! Bora huyo mchina maisha yamekua rahisi mpaka bibi yako huko kijijini anavaa nguo if not for China Africa biashara mngefanyia wp mngezitoa wp?! .... huyo America demokrasia inakuja kwa nchi asizozitaka... nchi anazozipenda hata wakandamizwe Vipi hatii mdomo.. bora mchina kuliko huyo muanzisha vurugu duniani kwa maslai yake
Waweza kukuta yupo hapa jf anawaponda wachina huku kapanda boda boda inamrudisha nyumbani au inampeleka kazini au kapanda youtong anatoka dar anakwenda mbeya ..but stil anamponda mchina
Aisee Africa tuna roho za kichawi sana