Japan kulipa $536 Million kwa makampuni yake 56 yahame kutoka China, yarudi nyumbani au nchi nyingine za Asia

Hivi unafikiri hao wenzako wanazungumza maneno matupu ya kwenye ghahawa na kashata? Washafanya empirical analysis ndio waka come up na hiyo conclusion. Na kwa taarifa yako, hizo bidhaa soko lao sio China, wanauza world wide. Hata wakihamishia mwezini bidhaa zenye ubira hazikosi wanunuzi. China ilikuwa ni kama production centre. Hivyo potential customers bado watakuwepo globally. Take into account siku hizi biashara hufanyika ki digitally.

Na isitoshe washakubali kuhama, wewe unaumia wao kuhama? Au una hisa kwenye hizo kampuni zilizikubali kuhama. How how did you invested? Nakushauri angalia mambo globally na sio locally.
Hebu kaangalie trade balance kati ya japan na china alafu na nchi nyingine then urudi tena usome comment yako,
We nitajie bidhaa hata uliyonayo ambayo ni pure made in japan.
Alafu ukisoma huu uzi, utaona sio wa mwaka huu bali 2019,na kuna makampuni hayajakubali na serikali haijalazimisha.
Hebu google kwanin hizo kampuni hazitaki kuhama
Alafu unatakiwa ujue kuwa kampuni nyingine zinahama sababu zimekuwa no longer profitable kuproduce china
 
Lakini, afadhali ya US, hao jamaa ni watu hatari sana. Ukatili huu wa haya makitu ya Corona, ujue ni jambo baya sana. Gonjwa lenyewe ukiambiwa ni natural la aina ya mafua, unaona kabisa ni jambo linalofikirisha sana. Kwa hili, mimi naona macho madogo analo la kuijibu dunia, hili dubwasha waliloleta ni nini hasa?!
So far watu 14+ million tayari wameshaambukizwa. Ni dubwasha ngumu sana kujilinda usilipate. Wachina wawe wakweli, hii kitu iliyokeaje hapo Wuhan, au kuna majaribio walifanya kwa maabara kwa bahati mbaya yakaja kwenye anga la kawaida? Hii inasambaa kwa haraka sana.
Kwani USA hana cha kujibu juhusu HIV AIDS NA EBOLA

mbona mnapenda kuleta double Standard za ajabu !!? Wao wachina sio wakwanza kufanya hivyo

Kama wana kesi ya kujibu basi USA nae anakesi ya kujibu katika Saga la HIV AIDS NA EBOLA .. Hayo magonjwa yote ni ya maabara
 
Hebu nipe tofauti ya corona na Spanish influenza pendemic ya 1918
Watu 500m or 1/3 ya population duniani walikuwa infected na vifo almost 50m
Hii aikuwa originated china,what if corona ni modernized part ya Spanish influenza!?
 
Kwani USA hana cha kujibu juhusu HIV AIDS NA EBOLA

mbona mnapenda kuleta double Standard za ajabu !!? Wao wachina sio wakwanza kufanya hivyo

Kama wana kesi ya kujibu basi USA nae anakesi ya kujibu katika Saga la HIV AIDS NA EBOLA .. Hayo magonjwa yote ni ya maabara
Bila kusahu zika mkuu.
Nilichogundua watu wana chuki ya kuambukizwa. Unachukia kitu au mtu kisa fulani anamchukia na kusema ni mmbaya, yeye ukumuuliza kwanini? sababu hana, anaishia kusema fulani kasema
 
Seriously yani kuna mtu mwenye sane kabisa anamtetea mchina?

Kumchekea China ni kuvuna mabua.

China awape Bioweapon ipi ili muamini kua China ni dangerous?

Subirini akiwa superpower aanze ku dump bioweapons nchini mwenu tuone kama kuna mtu atapinga.

Marekani ni democratic Republic anainterveve penye uonevu.

China ni communist!
Communist na ukandamizaji ni ndugu.
+1
Ujamaa inawezekana ikawa ni system mbovu kabisa , kutokea .
 
Marekani nae sio mkandamizaji?? Huyo ndo mnafiki mkubwa.........wote hapo hovyo hakuna wa maana sema tu mmoja anaona anazidiwa ndo anahangaika kujitetea ila hakuna msafi hapo kati ya Mmarekani na Mchina
huwezi kulinganisha system za America na china , Democracy ni kila kitu mzee.
 
Mchina plan yake ni kuhamishia production yake Africa ......sasa hivi ameshakua na middle class wengi nchini kwake cheap labor haipo kivile focus yake kubwa ni Africa ......na anaenda kimyakimya kama alivyokuza uchumi wake watu wakija kushtuka ameshakamilisha mipango yake...........hapo kwa Africa isio na watu wake ni ngumu yeye anataka resources na cheap production tu watu hawamsumbui maana anajua anaweza kucheza na ngazi za juu
mchina hana land huko kwao , na hafi populations growth wamedhibiti ili kuepuka msongamano
anaitaka Africa kama land na resources zake ,but anaitaka ikiwa haina watu wake , lengo ni kufanya productions kama unayosema na pia reproductions kwa sababu huku ardhi sio ishu
Alijaribu hii idea Australia kwa kununua lands na kuwekeza heavily, Aussies wako smart wakaanza kuwashtukia ,ndo naona wamehamishia nguvu bara letu la giza. zipo documentaries kadhaa zinaelezea uwekezaji huo wa mchina australia
 
Ila ndo imewafikisha hapo walipo na kuzipita baadhi ya nchi za ulaya zenye demokrasia
Haya we ujamaa wa china umekuathiri vipi labda. Tuanzie hapo
Ujamaa wa china haujaniathiri chochote , ujamaa wa hapa kwetu ndo umeniathiri, haya yanayotokea hapa kwetu kwa sasa ndo matunda halisi ya kukumbatia ujamaa,
kwenye ujamaa kuna kundi linanufaika kwa kutumia maelekezo tu na kundi kinakuwa watumwa kimya kimya

Ubepari ni mbaya kwa maneno ya kijamaa tu ila the system works na inazalisha hadi surplus , ndo sababu Arv na dawa za Tb zinatoka USA na sio China.
 
Ndio maana sijasema African wala Tz, bali Ulaya,
Kwahiyo ARV na TB ndo factor!? Aisee
Alafu ishu ni mnunuaji anataka kuagiza wapi, kwani umeambiwa wao hawatengenezi?
 
Lakini, afadhali ya US, hao jamaa ni watu hatari sana. Ukatili huu wa haya makitu ya Corona, ujue ni jambo baya sana. Gonjwa lenyewe ukiambiwa ni natural la aina ya mafua, unaona kabisa ni jambo linalofikirisha sana. Kwa hili, mimi naona macho madogo analo la kuijibu dunia, hili dubwasha waliloleta ni nini hasa?!
So far watu 14+ million tayari wameshaambukizwa. Ni dubwasha ngumu sana kujilinda usilipate. Wachina wawe wakweli, hii kitu iliyokeaje hapo Wuhan, au kuna majaribio walifanya kwa maabara kwa bahati mbaya yakaja kwenye anga la kawaida? Hii inasambaa kwa haraka sana.
Afadhali iko wapi ama ile iliopo IRAQ ama iliopo LIBYA ama Iliopo NAGASAKI na HIROSHIMA

Rais yeyote atakayekuwapo madarakani wakati utawala wa US utakapo poromoka anatakiwa anyongwe
 
Ujamaa wa china haujaniathiri chochote , ujamaa wa hapa kwetu ndo umeniathiri, haya yanayotokea hapa kwetu kwa sasa ndo matunda halisi ya kukumbatia ujamaa,
kwenye ujamaa kuna kundi linanufaika kwa kutumia maelekezo tu na kundi kinakuwa watumwa kimya kimya

Ubepari ni mbaya kwa maneno ya kijamaa tu ila the system works na inazalisha hadi surplus , ndo sababu Arv na dawa za Tb zinatoka USA na sio China.
Ujamaa wahapo nchini kwenu unawahusu nini WACHINA maana wao WACHINA ujamaa unaoukataa wewe wao umewasaidia ila hapo nchini kwako kwan bado kuna ujamaa ?!
 
Ndio uwafananishe wachina nahao unaowataka wewe MKUU pole sana...
Amini amini nakuambia imewezekana mwafrika kuwaongoza wazungu, siuoni mwanga wala njia ya kumfikisha mwafrika kwenye kiti alichokiasisi mao.
 
Hakuna sehem nimesema haiwezekaniki MKUU ila kila jambo nimikakati na michakato asee kama hmjachakata nahamjafanya mipango mtaendelea kusema inawezekana lakini sekunde dakika saa siku wiki mwezi miaka miongo karne na milenia inakimbia hamna jipya

Hao walokuepo hapo walipo wawe UCHINA US UK nawengineo hawakuwapo hapo walipo kwabahati mbaya

Kuna watu waliumia ama walijituma ndio maana kwasasa unayaona ama tunayaona haya ambayo yapo kwasasa kwahio ishu nikwamba tusitegemee miujiza wala bahati mbaya kuyafikia tunayoyataka ila lazima juhudi namengineyo mfano wahayo yafanyike(vifanyike) ili tufikie ama vitufikishe walipofika wenzetu.....
 
Rejea maandishi yangu.
Kijana kutoka "KOGELO" alituwakilisha vizuri uzunguni.
Tuonyeshe angalau mfano wa kina Colin Powell wawe jeshini uchinani!!

Wazungu wana utu japo kwa mbaali.
 
Wizi wa technology na pia kuficha ukweli kuhusu COVID19. Kama makampuni makubwa ya Nchi za magharibi yatafuata nyayo Japan kuyapa ruzuku makampuni hayo yaondoke China basi kutakuwa na ongezeko kubwa la wasio na ajira kule China.
Wizi wa Technology au kukua kwa Technology yao....?!!!!

Badili neno wizi....kisha weka neno kukua
 
Back
Top Bottom