sjosh4
JF-Expert Member
- Apr 10, 2020
- 888
- 941
Hebu kaangalie trade balance kati ya japan na china alafu na nchi nyingine then urudi tena usome comment yako,Hivi unafikiri hao wenzako wanazungumza maneno matupu ya kwenye ghahawa na kashata? Washafanya empirical analysis ndio waka come up na hiyo conclusion. Na kwa taarifa yako, hizo bidhaa soko lao sio China, wanauza world wide. Hata wakihamishia mwezini bidhaa zenye ubira hazikosi wanunuzi. China ilikuwa ni kama production centre. Hivyo potential customers bado watakuwepo globally. Take into account siku hizi biashara hufanyika ki digitally.
Na isitoshe washakubali kuhama, wewe unaumia wao kuhama? Au una hisa kwenye hizo kampuni zilizikubali kuhama. How how did you invested? Nakushauri angalia mambo globally na sio locally.
We nitajie bidhaa hata uliyonayo ambayo ni pure made in japan.
Alafu ukisoma huu uzi, utaona sio wa mwaka huu bali 2019,na kuna makampuni hayajakubali na serikali haijalazimisha.
Hebu google kwanin hizo kampuni hazitaki kuhama
Alafu unatakiwa ujue kuwa kampuni nyingine zinahama sababu zimekuwa no longer profitable kuproduce china