STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,586
Mkuu ww uko serious ? Hakuna mtu anehitaji bidhaa za Uchina wakati Europe ni rafiki wa kwanza wa kibiashara wa China na ikifuatiwa na Marekani ukitoa Asia na Africa,kwa hio mkuu unataka kusema ulaya inayofanya biashara na China ni maskini? Vp marekani nayo ni maskini kutokana na ulivyoongea apo juu
The European Union and China are two of the biggest traders in the world. China is now the EU's second-biggest trading partner behind the United States and the EU is China's biggest
[https://ec]hamna mtu anahitaji bidhaa za mchina bana,ni umasikini wenu tu.
china anauza bidhaa zinazompa faida marekani kuliko anazouza nchi nyingine zozote ukijumlisha.unadhani huko anapeleka utopolo kama anaoleta huku africa???
usione marekani anachukua maamuzi haya ukadhani ni taahira,anajua kucheza vyema na hisia za mpenzi wake.cha msingi sisi dunia ya 3 huku tuweke akiba ya maneno tusiwe wasemaji kupita kiasi.
The European Union and China are two of the biggest traders in the world. China is now the EU's second-biggest trading partner behind the United States and the EU is China's biggest