Japan kulipa $536 Million kwa makampuni yake 56 yahame kutoka China, yarudi nyumbani au nchi nyingine za Asia

Mkuu ww uko serious ? Hakuna mtu anehitaji bidhaa za Uchina wakati Europe ni rafiki wa kwanza wa kibiashara wa China na ikifuatiwa na Marekani ukitoa Asia na Africa,kwa hio mkuu unataka kusema ulaya inayofanya biashara na China ni maskini? Vp marekani nayo ni maskini kutokana na ulivyoongea apo juu
hamna mtu anahitaji bidhaa za mchina bana,ni umasikini wenu tu.

china anauza bidhaa zinazompa faida marekani kuliko anazouza nchi nyingine zozote ukijumlisha.unadhani huko anapeleka utopolo kama anaoleta huku africa???

usione marekani anachukua maamuzi haya ukadhani ni taahira,anajua kucheza vyema na hisia za mpenzi wake.cha msingi sisi dunia ya 3 huku tuweke akiba ya maneno tusiwe wasemaji kupita kiasi.
[https://ec]

The European Union and China are two of the biggest traders in the world. China is now the EU's second-biggest trading partner behind the United States and the EU is China's biggest
 
Hizo kampuni zipokee hela tu maana nchi yao ndo inapoteza .

Na wapo watakao endelea China kivingine, maana network ilishatengenezwa, na pia naimani wanawapa fursa wazawa walokuwa wanashindana na wageni nchini mwao
 
Mkuu ww uko siriaz? Hakuna mtu anehitaji bidhaa za Uchina wakati Europe ni rafiki wa kwanza wa kibiashara wa China na ikifuatiwa na Marekani ukitoa Asia na Africa,kwa hio mkuu unataka kusema ulaya inayofanya biashara na China ni maskini? Vp marekani nayo ni maskini kutokana na ulivyoongea apo juu
[https://ec]

The European Union and China are two of the biggest traders in the world. China is now the EU's second-biggest trading partner behind the United States and the EU is China's biggest
elewa jibu langu kwanza lilirenga nini.

umesema china anafanya biashara zaidi dhidi ya marekani sababu ana bidhaa za bei nafuu zaidi,nikakwambia hategemei bidhaa anazouza kwetu za bei rahisi ambazo zina faida kiduchu,tofauti na zile viwango anazouza US zenye faida mara dufu.ukumbuke pia hizo bei nafuu zinazosababishwa na cheap labour iliyoko china nazo hazina maisha,maana kama ambavyo taarifa zilizopo china imepevuka sasa,wafanyakazi nao wamepanda daraja wanataka mishahara ya maana,amabyo auto itasababisha bei kurudi kule kama marekani. nk.

ndio maana chapuo la china kuwekeza kiviwanda likawa ni africa,wrong stape anataka kunasa maeneo kupitia mikataba ya kihuni ya kupora mali kupitia mikopo aliyotenga ya $60bln za mpango wa china mpya mpaka 2035.

ndio sababu wengine hapa tunaona china bado ni mchanga kwenye hili game,maana ni kama hajui nini anafanya,ila kikubwa kama anabahatisha bahati.
 
hujanijibu swali langu MKUU ijapokua umetoa jibu kipi kimebadilika kwasasa kati ya vile ulovitaja ?!
Sawa sawa Mkuu.

Kwanza utambue kwamba, Hakuna Taifa linapiga hatua za kimaendeleo bila kutegemea Mataifa mengine, au bila kutegemea uwekezaji kutoka nje ya Taifa Hilo (Foreign Direct Investment - FDI). Kuanzia mwanzoni mwa miaka ya 1990 China imekuwa imekua nyuma ya USA pekee kwa kupata FDI kitu kilichochea ukuaji wa uchumi wake kwa kasi kubwa.

Katika kipindi hicho hicho, makampuni ya Kichina yakaanza kuwekeza nje ya China pia, mpaka kufikia kuingia kwenye list ya 10 bora za mataifa yanayoongoza kwa kuwekeza kwenye mataifa mengine.

Wakati haya yakitokea, China ilikuwa inakuwa pressed kufungua fursa za uwekezaji kwa kuruhusu mazingira ya ushindani kuwa fair kwa makampuni yanayowekeza nchini humo kama ambavyo makampuni ya kichina yanavyoruhusiwa kuoperate kwingine duniani bila kuwekewa vikwazo vya aina yoyote, Kwa upande wa Marekani, China imekuwa ikikubali na kuingia makubaliano ya kimaandishi na serikali za marais tofauti
tofauti kama Kina Bushi baba na mtoto, clintoni na Obama. Lakini haikuwahi kutekeleza makubaliano hayo kwa uhalisia hata mara moja.

Sasa Makampuni ya kichina kwa mfano, kwa mfano makampuni ya uzalishaji yenye viwanda ndani ya china yanaruhusiwa kujisajiri na kupata mitaji kutoka kwenye masoko ya fedha ya marekani, lakini hakuna mtu anaruhusiwa kufanya kitu cha namna hiyo China. na mafyongo mafyongo mengine mengi sana.

China imekuwa inatumia mwanya wa kuwa classified kama Taifa linaloendelea kwa vigezo vya IMF na World Bank,(sababu kumejaa masikini wengi sana, lakini serikali yao inasimamia na kuendesha moja ya uchumi mkubwa sana, labda hata ni uchumi mkubwa kuliko wowote duniani), kupewa favor kadhaa katika biashara za kimataifa na hasa kuruhusiwa uchumi wake uchangamane na uchumi wa Mataifa Makubwa kwa muda mrefu.

Kikubwa kilichobadirika, CHINA AMEANZA KUBEHAVE AS AN EQUAL TO USA NA WESTERN COUNTRIES.
1. Kwanza ameanza kufanya mambo ambayo hayakubaliki kwa hawa wazungu. mfano issue ya waislamu wa xi njiang.
2. Ameanza kujipanua kijeshi, mfano visiwa jirani na majirani wake anavyovichukua kwa nguvu na kutaka kujimilikisha njia kuu za usafiri majini.
3. xi jiping sasa ni rais wa kudumu wa china, makini china a dictatorship.
4. Na imeanza tayari kutumia maguvu yake kwa kuichukua hong kong kivungu tayari.

sasa ukiangalia haya, hauwezi kubali china akawa na access na taarifa zako za siri. Pili anastahili kuwa treated as an equal country, ndio maana
1. anawekewa vikwazo vya kitechnologia, na yeye agharamie kuinvent technologies (hapa USA ana muhandle china as Russia sasa sielewi watu wanalalamika nini)
2. Anany'angany'wa favor zote, mwaka jana USA imesitisha misaada yote kwa china, nadhani unajua covid-19 laboratory in wuhani was operating on American grants.

kwa kifupi.
 
elewa jibu langu kwanza lilirenga nini.

umesema china anafanya biashara zaidi dhidi ya marekani sababu ana bidhaa za bei nafuu zaidi,nikakwambia hategemei bidhaa anazouza kwetu za bei rahisi ambazo zina faida kiduchu,tofauti na zile viwango anazouza US zenye faida mara dufu.ukumbuke pia hizo bei nafuu zinazosababishwa na cheap labour iliyoko china nazo hazina maisha,maana kama ambavyo taarifa zilizopo china imepevuka sasa,wafanyakazi nao wamepanda daraja wanataka mishahara ya maana,amabyo auto itasababisha bei kurudi kule kama marekani. nk.

ndio maana chapuo la china kuwekeza kiviwanda likawa ni africa,wrong stape anataka kunasa maeneo kupitia mikataba ya kihuni ya kupora mali kupitia mikopo aliyotenga ya $60bln za mpango wa china mpya mpaka 2035.

ndio sababu wengine hapa tunaona china bado ni mchanga kwenye hili game,maana ni kama hajui nini anafanya,ila kikubwa kama anabahatisha bahati.
Mikataba yakihuni hua inakaaje MKUU ?!.
 
Sawa sawa Mkuu.

Kwanza utambue kwamba, Hakuna Taifa linapiga hatua za kimaendeleo bila kutegemea Mataifa mengine, au bila kutegemea uwekezaji kutoka nje ya Taifa Hilo (Foreign Direct Investment - FDI). Kuanzia mwanzoni mwa miaka ya 1990 China imekuwa imekua nyuma ya USA pekee kwa kupata FDI kitu kilichochea ukuaji wa uchumi wake kwa kasi kubwa.

Katika kipindi hicho hicho, makampuni ya Kichina yakaanza kuwekeza nje ya China pia, mpaka kufikia kuingia kwenye list ya 10 bora za mataifa yanayoongoza kwa kuwekeza kwenye mataifa mengine.

Wakati haya yakitokea, China ilikuwa inakuwa pressed kufungua fursa za uwekezaji kwa kuruhusu mazingira ya ushindani kuwa fair kwa makampuni yanayowekeza nchini humo kama ambavyo makampuni ya kichina yanavyoruhusiwa kuoperate kwingine duniani bila kuwekewa vikwazo vya aina yoyote, Kwa upande wa Marekani, China imekuwa ikikubali na kuingia makubaliano ya kimaandishi na serikali za marais tofauti
tofauti kama Kina Bushi baba na mtoto, clintoni na Obama. Lakini haikuwahi kutekeleza makubaliano hayo kwa uhalisia hata mara moja.

Sasa Makampuni ya kichina kwa mfano, kwa mfano makampuni ya uzalishaji yenye viwanda ndani ya china yanaruhusiwa kujisajiri na kupata mitaji kutoka kwenye masoko ya fedha ya marekani, lakini hakuna mtu anaruhusiwa kufanya kitu cha namna hiyo China. na mafyongo mafyongo mengine mengi sana.

China imekuwa inatumia mwanya wa kuwa classified kama Taifa linaloendelea kwa vigezo vya IMF na World Bank,(sababu kumejaa masikini wengi sana, lakini serikali yao inasimamia na kuendesha moja ya uchumi mkubwa sana, labda hata ni uchumi mkubwa kuliko wowote duniani), kupewa favor kadhaa katika biashara za kimataifa na hasa kuruhusiwa uchumi wake uchangamane na uchumi wa Mataifa Makubwa kwa muda mrefu.

Kikubwa kilichobadirika, CHINA AMEANZA KUBEHAVE AS AN EQUAL TO USA NA WESTERN COUNTRIES.
1. Kwanza ameanza kufanya mambo ambayo hayakubaliki kwa hawa wazungu. mfano issue ya waislamu wa xi njiang.
2. Ameanza kujipanua kijeshi, mfano visiwa jirani na majirani wake anavyovichukua kwa nguvu na kutaka kujimilikisha njia kuu za usafiri majini.
3. xi jiping sasa ni rais wa kudumu wa china, makini china a dictatorship.
4. Na imeanza tayari kutumia maguvu yake kwa kuichukua hong kong kivungu tayari.

sasa ukiangalia haya, hauwezi kubali china akawa na access na taarifa zako za siri. Pili anastahili kuwa treated as an equal country, ndio maana
1. anawekewa vikwazo vya kitechnologia, na yeye agharamie kuinvent technologies (hapa USA ana muhandle china as Russia sasa sielewi watu wanalalamika nini)
2. Anany'angany'wa favor zote, mwaka jana USA imesitisha misaada yote kwa china, nadhani unajua covid-19 laboratory in wuhani was operating on American grants.

kwa kifupi.
nauliza tu,kwa hiyo USA anapositisha biashara na makampunj ya china,yeye haathiriki wala makampuni yake,isipokuwa china tu anathirik.
 
Naam nimekuelewa ili uendelee lazma kua namaingiliano baina yajamii najamiii

1.kuhusiana na suala la uighur hili tulijadili ama tuliache?!
Sababu kama ukatili unafanywa mpaka palestine hujawahi kuwaona US wakiliongelea hili

2.kuhusiana na kukua kijeshi UCHINA sheria zakimataifa zinasemaje ?! Kwani kuna taifa ambalo kisheria zakimataifa linahaki yakujitanua kuzidi mengine ?! Katika uwanda wakijeshi ?!.

3.kumchukulua Xi kama nidikteita awe kweli ama sikweli kwan kuna ulazima wakila taifa kufuata mfumo wanaoutaka US ?! Ama mataifa kama SAUDIA yanayoendeshwa kidikteta mbna washirika wazuri wa US

4.Kuhusiana na UCHINA kusema wanapewa favour sijui unaangalia vigezo gani kwani hayo mashirika yanasemaje kuhusiana na masharti yao na je UCHINA kasimamia upande gani ana stahili ama hastahili ,!

5.Hong Kong kaichukua kaipeleka wapi ?! Kwan kabla ilikuepo wap ?!
 
Seriously yani kuna mtu mwenye sane kabisa anamtetea mchina?

Kumchekea China ni kuvuna mabua.

China awape Bioweapon ipi ili muamini kua China ni dangerous?

Subirini akiwa superpower aanze ku dump bioweapons nchini mwenu tuone kama kuna mtu atapinga.

Marekani ni democratic Republic anainterveve penye uonevu.

China ni communist!
Communist na ukandamizaji ni ndugu.
marekani ya kwake tu yamemshinda BLACK LIVE MATER
 
Naam nimekuelewa ili uendelee lazma kua namaingiliano baina yajamii najamiii

1.kuhusiana na suala la uighur hili tulijadili ama tuliache?!
Sababu kama ukatili unafanywa mpaka palestine hujawahi kuwaona US wakiliongelea hili

2.kuhusiana na kukua kijeshi UCHINA sheria zakimataifa zinasemaje ?! Kwani kuna taifa ambalo kisheria zakimataifa linahaki yakujitanua kuzidi mengine ?! Katika uwanda wakijeshi ?!.

3.kumchukulua Xi kama nidikteita awe kweli ama sikweli kwan kuna ulazima wakila taifa kufuata mfumo wanaoutaka US ?! Ama mataifa kama SAUDIA yanayoendeshwa kidikteta mbna washirika wazuri wa US

4.Kuhusiana na UCHINA kusema wanapewa favour sijui unaangalia vigezo gani kwani hayo mashirika yanasemaje kuhusiana na masharti yao na je UCHINA kasimamia upande gani ana stahili ama hastahili ,!

5.Hong Kong kaichukua kaipeleka wapi ?! Kwan kabla ilikuepo wap ?!
safi sana,unashindana kwa hoja,sio kelele na matusi kuongezea,ni nani amepewa mamlaka ya kuwatoa viongozi wa nchi nyingine madarakani,mfano libya,iraq,syria,afghanstan na kuua watu kisa wanakupinga,sadam husein,gadafi,osama binladen nk,mbona drc congo kuna vita usa hajaja,sieraleon hatukumuona,yemen hayupo..nk
 
@votality: njoo pitia nahapa asee profesawaaganojipya kaongezea vijinyama viwili vitatu kidogo vyakushiba shiba.....
 
Nilijua lazma uimbe tu taarab huna hoja yakuitetea point yako

Ila hongera ndio upeo wako ulipomalizia pengine
swali lolote unajibiwa kama ulivyouliza[emoji16][emoji16][emoji16].

kama ni jepesi utapewa jibu jepesi pia.pole lakini.
 
Mchina plan yake ni kuhamishia production yake Africa ......sasa hivi ameshakua na middle class wengi nchini kwake cheap labor haipo kivile focus yake kubwa ni Africa ......na anaenda kimyakimya kama alivyokuza uchumi wake watu wakija kushtuka ameshakamilisha mipango yake...........hapo kwa Africa isio na watu wake ni ngumu yeye anataka resources na cheap production tu watu hawamsumbui maana anajua anaweza kucheza na ngazi za juu
Fact.kabisa hii
 
Back
Top Bottom