Japan yaandaa mizinga 1,000 ya masafa marefu, yakaa mkao wa kuikabili China

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Duniani mataifa makubwa yameanza kunoa visu na makucha, yanajiweka mkao wa mapambano makali, hivi Waswahili tuko vipi, au tupo tupo tu siku ziende.

Tokyo, Japan is considering the deployment of 1,000 long-range cruise missiles to boost its counterattack capability against China, the Yomiuri newspaper reported on Sunday.

The missiles would be existing arms modified to extend their range from 100 kilometers (62 miles) to 1,000 kilometers, the newspaper said, citing government sources.

The arms, launched by ships or aircraft, would be stationed mainly around the southern Nansei islands and capable of reaching the coastal areas of North Korea and China, the Yomiuri said.

220821220243-01-japan-new-missiles-exlarge-169.jpg

Sisi inatuhusu nini ?!, wao wanazo nguvu za kiuchumi, kisilaha na kiteknolojia isitoshe ni maadui wao kwa wao ambapo wakipigana watamalizana wao na kipindi hicho ndio itakuwa ni kipindi cha sisi kuamka kiuchumi na kiteknolojia kwani vita ikianza kwa mataifa hayo makubwa US, Russia, China, Koreas, NATO nk

dunia itayumba kisiasa na kiuchumi kwani hiyo itakuwa ni vita ya 3 ya dunia, sisi Waafrika tutaumia kwani tunawategemea pakubwa hao jamaa basi nadhani wakati huo ndio utakuwa muda wetu kujitambua na kuanza kujitegemea kukidhi mahitaji yetu bila wao.
 
Huku Taiwan huku Mjapan, India baba lao naye amekaa pembeni anasoma mchezo tu. Kwa combination hii Mchina hawezi ingia vitani.

Ni mwanaume mmoja tu anayeweza akawa anapambana mpaka sehemu 5 kwa wakati mmoja na hatetereki kijeshi wala kiuchumi, na si mwingine ila ni USA.

Hata kama hatumpendi ila huyu mwamba tumpe heshima yake.
 
Huku Taiwan huku Mchina, India baba lao naye amekaa pembeni anasoma mchezo tu. Kwa combination hii Mchina hawezi ingia vitani.

Ni tajie taifa moja tu duniani lililo piga direct war na mataifa makubwa matano kwa wakati mmoja ?
 
Huku Taiwan huku Mchina, India baba lao naye amekaa pembeni anasoma mchezo tu. Kwa combination hii Mchina hawezi ingia vitani.

Ni mwanaume mmoja tu anayeweza akawa anapambana mpaka sehemu 5 kwa wakati mmoja na hatetereki kijeshi wala kiuchumi, na si mwingine ila ni USA.

Hata kama hatumpendi ila huyu mwamba tumpe heshima yake.
[emoji1258][emoji1258][emoji1258][emoji123][emoji123][emoji123]
 
Huku Taiwan huku Mchina, India baba lao naye amekaa pembeni anasoma mchezo tu. Kwa combination hii Mchina hawezi ingia vitani.

Ni mwanaume mmoja tu anayeweza akawa anapambana mpaka sehemu 5 kwa wakati mmoja na hatetereki kijeshi wala kiuchumi, na si mwingine ila ni USA.

Hata kama hatumpendi ila huyu mwamba tumpe heshima yake.
Hebu Tuambie hizo vita 5 alizopambana Kwa wakati mmoja!
 
Huku Taiwan huku Mjapan, India baba lao naye amekaa pembeni anasoma mchezo tu. Kwa combination hii Mchina hawezi ingia vitani.

Ni mwanaume mmoja tu anayeweza akawa anapambana mpaka sehemu 5 kwa wakati mmoja na hatetereki kijeshi wala kiuchumi, na si mwingine ila ni USA.

Hata kama hatumpendi ila huyu mwamba tumpe heshima yake.
Kutopendwa kwake Ndiko kunapelekea marekani kuzidi kuumiza kichwa usiku na mchana na kufanya Mambo ambayo nchi nyingine hatuwezi sikuzote ukiwa na maadui wengi unaishi Kwa kutumia Akili ya ziada pia ni rahisi Sana kufanikiwa hata kwenye maisha yetu ya kawaida huwa inakuwa hivyo
 
Hatari! Sasa itakuwaje wakati Us ana base yake hapo hapo?
Hiyo ndiyo itakuwa target ya kwanza atakapo ungana na maadui. Japan na Germany hawa sio marafiki wa kweli wa U.S.A ni marafiki wa kinafiki ikitokea Vita kuu ya tatu ya dunia hapo ndipo unafiki wao utakapo onekana yale mabomu ya Hiroshima na Nagasaki lazima yalipiwe kisasi na Japan.
 
Back
Top Bottom