Japan yaandaa mizinga 1,000 ya masafa marefu, yakaa mkao wa kuikabili China

Japan yaandaa mizinga 1,000 ya masafa marefu, yakaa mkao wa kuikabili China

China ilikuwa ni koloni la Japan hivyo wakae wakijua hilo kwamba historia inaweza ikajirudia.
Unajua historia ya China kama haijaitwa China au umekula kandee na japana hakuitawala China yote
 
Na hajawahi kumwaga damu ktk ardhi yake na hakuna hilo taraja. He is bright.
Colabo inaanza kuwekwa maadui vikwazo kuwalegeza,Iraq,Iran..ili wasihenge misuli ya kumtandika kwake,Ila nyakati zimebadilika
 
Tena bora huyo Taiwan, India na Mjapan wanaweza kuiangusha serikali ya China completely, India ana nuclear pia.
Na wachina wanalijua ilo, Ndio maana Xi-Jiping anakuwa mpole sana. Akifikiria majirani zake anaamua kukausha na machuma machuma yake. Anakuwa mpole maana majirani zake wana machuma machuma pia kama yeye

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Mjapan yupo vizuri, anaweza kabisa akamtandika China, tena akipewa Nuclear ndo kabisaaa.
 
Huku Taiwan huku Mjapan, India baba lao naye amekaa pembeni anasoma mchezo tu. Kwa combination hii Mchina hawezi ingia vitani.

Ni mwanaume mmoja tu anayeweza akawa anapambana mpaka sehemu 5 kwa wakati mmoja na hatetereki kijeshi wala kiuchumi, na si mwingine ila ni USA.

Hata kama hatumpendi ila huyu mwamba tumpe heshima yake.
Wengine wanazidi 30
 
Back
Top Bottom