Japan yaandaa mizinga 1,000 ya masafa marefu, yakaa mkao wa kuikabili China

Utawauwa akina Putin wa Kivule mkuu
 
Aisee ni kweli USA ni baba la dunia tutake tusitake.
 
unasema inatuhusu nini? Subiri Mama Tozo na mvaa scarf ya bendera kesho waje na kusema Petrol liter 10,000 na unga kila 5000 sababu China na Japana wanataka kupigana.
Inatuhusu kwa kila namna maana tumezungukwa na watawala ambao wamekaa kimaslahi zaidi. Sasa hivi chochote kinachojiri ulimwenguni athari tunaipata sisi sababu ya walafi kutumia kila nafasi waliyonayo.
 
Hakuna kitu kama hicho, hizo ni ndoto tu za kwenye vijiwe vya kahawa au kule masjid.
 
Kwamba na sisi tuanze kunoa visu vyetu tupigane wenyewe kwa wenyewe bila sababu za msingi,Unajitia aibu aisee
 
Wanikumbusha kisa cha Goliath hizi mbwembwe kwa Waumini Mungu ni sufi
 
Huyo fala huwa haendi kupigana bila colabo
 
Nitajie huo mwaka ambao Japan peke yake alipigana direct war na hayo mataifa makubwa uliyo yataja ?
Kwenye world war 2. Kulikuwa na side 2. Side ya kwanza ndo ilikikuwa us,uk,russia,france na china na ndo washindi wa ile vita ndo maana wana kura za veto pale UN na side ya pili ni Germany, japan, na italy. Ambao walishindwa vita.
 
Marekani anawadanganya kabla hawajaipiga china korea atakiwa keshawabomoa zamani sana , yaaninwasije kujidanganya wanaingilia msiba usio wahusu kabisa bora waendelee tu kuunda magari
 
Huyu Japan amekuja kuwa fala baada ya kupigwa na USA ila alikuwa ndo mbabe apo Pacific
Kipigo cha man to man marekani hamuwezi mjapani, ile kumpiga ni sababu alitumia shortcut ya Nuclear bomb. Mjapan alikuwa anamsumbua sana USA
 
Kipigo cha man to man marekani hamuwezi mjapani, ile kumpiga ni sababu alitumia shortcut ya Nuclear bomb. Mjapan alikuwa anamsumbua sana USA
Ndio uko sahihi mkuu kuna watu hawajui historia wanawaona Japan Kama laini laini hawajui balaa lake Japan kwa sasa n Kama yuko dormacy yan amesizi lakin bado ana uhai na nguvu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…