Japan yaipatia Tanzania mkopo wa Shilingi bilioni 761.8. Zanzibar yapata mgao wa Tsh bilioni 218

Mbona mgao unaoenda Zanzibar ni kubwa sana ukilinganisha na Tanzania Bara. Ukubwa wa Zanzibar ni kama Mkoa wa Lindi lakini mgawo waliopewa ni 218 billioni kati ya zaidi ya billioni 700. Hapana mgawo huo ni mkubwa sana.
 
Duh!...basi kero za muungano huenda zisiwepo tena kwa hali hii.
 
Duh!...basi kero za muungano huenda zisiwepo tena kwa hali hii.
Zilitatuliwa Kwa miezi michache tokea Hangaya aapishwe!Ikumbukwe hizo kero zilishindikana kutatuliwa Toka enzi za Nyerere,ila Hangaya akazitatue Kwa miezi tu!
Nadhani Umeelewa!
 
Mama anaupiga mwingi. Mpaka miaka minne iishe, Zanzibar itakuwa mbali sana kimaendeleo na madeni tutaachiwa kulipa Wadanganyika. Ndiyo maana ACT Zanzibar wametulia. Mdanganyika amka!
Mkuu inamaana ACT Wazalendo sio chama cha upinzani tena?
 
Mkoa mmoja unachukua zaidi ya robo
 
Mama anaupiga mwingi. Mpaka miaka minne iishe, Zanzibar itakuwa mbali sana kimaendeleo na madeni tutaachiwa kulipa Wadanganyika. Ndiyo maana ACT Zanzibar wametulia. Mdanganyika amka!
Mkuu inamaana ACT Wazalendo sio chama cha upinzani tena?
 
bakizeni machogo yenu hukohuko bara, mna vichwa kama Thierry Henry nchi nzima, nyie watu gani?

Na Nyie wenye Vichogo kama mmepigwa pasi hamjioni mpo rafu hata hamjijali kwa usafi
 
Pia ule mradi wa maji victoria kuleta shy tabora dodoma,
Shida watu wa bara tuna roho za kwanini sana,,, [emoji23][emoji23] yaani hatuna ustaarabu kabisa wala hikima, tumekaa kaa kama watindiga fulani,,,
Wakati tunavuta maji toka lake victoria , wazanzibar hawakulalamika,,, wao pia wanalipa kodi, [emoji851][emoji851]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…