antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Kwa hii migao ya hivi ni awamu ya 6 tuHivi Zanzibar ni awamu hii tu au na awamu zilizopita!!?
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hii migao ya hivi ni awamu ya 6 tuHivi Zanzibar ni awamu hii tu au na awamu zilizopita!!?
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Tunataka kujua kwenye kurejesha Huo mkopo,Zanzibar anachangiaje?Huo sio mgawo kwa Zanzibar ni fedha zinzazoenda kutekeleza mradi ndani ya Zanzibar na huu si wa kwanza. Hata mradi wa Airport ya Zanzibar ulitekelezwa kwa style hii.
Duh!...basi kero za muungano huenda zisiwepo tena kwa hali hii.Masuala ya maji Zanzibar si ya muungano! kuna SMZ na idara husika
Zanzibar iliruhusiwa kukopa yenyewe nje ya muungano
Kwanini Zbar inakopa kupitia JMT? Hili deni Zanzibar wanalilipa vipi?
Huu ni ujanja wa kukopa na kumtwisha Mtanganyika mzigo
Lakini pia angalia mgao wa mkopo ulivyo. Zanzibar ina watu 1.2 . Dsm ina watu milioni 6 !!
Katiba na Tanganyika ni muhimu kuliko uvyama. Hili deni unalipia ukiwa CUF,ACT, Chadema, CCM ilimradi tu wewe ni Mtanganyika! tafakari na ujiulize
Pascal Mayalla JokaKuu
Kwakweli watupe nchi yetuHuu Muungano ni wa kinyonyaji kwa Tanganyika,..we need our country back
Zilitatuliwa Kwa miezi michache tokea Hangaya aapishwe!Ikumbukwe hizo kero zilishindikana kutatuliwa Toka enzi za Nyerere,ila Hangaya akazitatue Kwa miezi tu!Duh!...basi kero za muungano huenda zisiwepo tena kwa hali hii.
Mkuu inamaana ACT Wazalendo sio chama cha upinzani tena?Mama anaupiga mwingi. Mpaka miaka minne iishe, Zanzibar itakuwa mbali sana kimaendeleo na madeni tutaachiwa kulipa Wadanganyika. Ndiyo maana ACT Zanzibar wametulia. Mdanganyika amka!
Wazanzibar wanachekelea lakini saa 100 anaiuza Zanzibar kwa watanganyika..Serikali ya Japan imeipatia Tanzania mkopo wa shillingi billion 761.8 kwaajili ya utekelezaji wa miradi mbali mbali ya maendeleo nchini!
Katika mkopo huo kisiwa cha Zanziba kimepewa mgao wa Tsh billion 218+
Kazi iendelee....View attachment 2107913
View attachment 2107914
Mkuu inamaana ACT Wazalendo sio chama cha upinzani tena?Mama anaupiga mwingi. Mpaka miaka minne iishe, Zanzibar itakuwa mbali sana kimaendeleo na madeni tutaachiwa kulipa Wadanganyika. Ndiyo maana ACT Zanzibar wametulia. Mdanganyika amka!
Nasikia zilikua zinatumika huku tu mara karibu zoteHivi Zanzibar ni awamu hii tu au na awamu zilizopita!!?
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
bakizeni machogo yenu hukohuko bara, mna vichwa kama Thierry Henry nchi nzima, nyie watu gani?
Pengine wajapan ndio wameamua kujenga mradi wa maji zenj,,, ni kama tu UN walivyoamua kutengeza barabara za shy town singida, baada ya kuona miundombinu hiyo ilikuwa ya hovyo hovyoZanzibar ifikapo mwaka 2030 kwa migao hii , itakuwa sawa na Brunei
Pia ule mradi wa maji victoria kuleta shy tabora dodoma,Sisi Watanganyika Elimu zetu hazijatusaidia kabisa. Tunapenda kupotosha mambo for unnecessary. Kuna tofauti Kati ya mgawo fedha kwa Zanzibar na utekelezaji wa mradi wa Serikali ya Muungano ndani ya Zanzibar. Pesa zimeombwa kea specific projects na moja Kati ya projects hizo ni hiyo ya maji Zanzibar. Kuna shida gani kwa serikali ya Muungano kutekeleza mradi wa maji Zanzibar? Mbona kule Arusha umetekelezwa mradi wa Bilioni 500+? Mbona JPM alitekeleza mradi wa shule za kisasa kila Wilaya Zanzibar na Pemba?
Maji?Alafu bil 220 kwa ajili ya maji, aiseee
Naungana na wewe.Huyu mama apumzishwe tu.