Japan yaipatia Tanzania mkopo wa Shilingi bilioni 761.8. Zanzibar yapata mgao wa Tsh bilioni 218

Japan yaipatia Tanzania mkopo wa Shilingi bilioni 761.8. Zanzibar yapata mgao wa Tsh bilioni 218

Serikali ya Japan imeipatia Tanzania mkopo wa shillingi billion 761.8 kwaajili ya utekelezaji wa miradi mbali mbali ya maendeleo nchini!

Katika mkopo huo kisiwa cha Zanziba kimepewa mgao wa Tsh billion 218+


Kazi iendelee....View attachment 2107913
View attachment 2107914


Ni wale wale waliokuwa wanachekelea miradi ya kijinga Chato leo wanajifanya wamechukia mlifikiria nini wakati mna shangilia na kutetea wakati ule!. Mlishangilia maviwanja ya ndege yasiyo na sababu.... miradi mingi isiyo ya msingi kulingana na idadi ya watu. Zanzibar kama pesa inaenda kwenye maji ni tatizo gani? si Watanzania wenzetu? Kuna tofauti gani na Chato?. Lakini tunajua fika Raisi Mwinyi anasimamia pesa vizuri kuliko hata hawa wakurugenzi wetu wa ulaji
 
2030 lazima muone skyscrapers hata ukisimama Dar unaiona Unguja ile

Wasipotajirika muhula huu basi watakufa masikini mpaka vitukuu vyao
CCM OYEEE [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni wale wale waliokuwa wanachekelea miradi ya kijinga Chato leo wanajifanya wamechukia mlifikiria nini wakati mna shangilia na kutetea wakati ule!
Wewe mangi unafurahia mgao mkubwa hivyo, tena kwa suala lisilo la muungano kumegewa huko?!
 
Haiwezekan wapewe kiasi chote hicho, watu wenyewe wavivu kupindukia
 
Huu utaratibu wa raisi kuhusu ''kwetu kwanza''ni kirusi kilichoanza kupandwa miaka ya karibuni kisiasa ni hatari kwa taifa na mchakato wa upatikaji wa mgombea hasa kwenye chama tawala utakuwa mgumu, let us wait and see!
 
Ningekufunza jambo lakini kwa kauli hii ya "kisiwa cha Zanzibar " basi nimeamua kukuacha na malalamiko yako.

Wengi wenu mnalalama ovyo tu humu, endeleeni kulalama.

Viva Mama Samia Suluhu Hassan. Jambo la mama ni jambo letu

#nyukiwamama
Kwa akili ya mtaani tu unahisi Ccm Zanzibar ina nguvu kuliko Ccm Tanganyika?

Hizi ni chambichambi ila Bara inanufaika 100 times na hicho kisiwa chenu
 
Hivi kwa nini mnafeli sana mitihani? Tokea nazaliwa hadi Leo zenj shule zenu ndio huwa zonaburuza Mkia
Kwa sababu hatuna akili
Ushafurahi?
Ukipenda namba jifunze na hisabu
 
Serikali ya Japan imeipatia Tanzania mkopo wa shillingi billion 761.8 kwaajili ya utekelezaji wa miradi mbali mbali ya maendeleo nchini!

Katika mkopo huo kisiwa cha Zanziba kimepewa mgao wa Tsh billion 218+


Kazi iendelee....View attachment 2107913
View attachment 2107914
Sasa ulitaka znz wapate ngapi, embu kuwa realistic and objective usilete mafeelings!!!!¡??????? Kwani ww kwenu kwenye urith wa babu yako ww ulipata urith sawa na baba yako kama ulikuta babu???
 
Back
Top Bottom