Serikali ya Japan imeipatia Tanzania mkopo wa shillingi billion 761.8 kwaajili ya utekelezaji wa miradi mbali mbali ya maendeleo nchini!
Katika mkopo huo kisiwa cha Zanziba kimepewa mgao wa Tsh billion 218+
Kazi iendelee....View attachment 2107913
View attachment 2107914
Ni wale wale waliokuwa wanachekelea miradi ya kijinga Chato leo wanajifanya wamechukia mlifikiria nini wakati mna shangilia na kutetea wakati ule!. Mlishangilia maviwanja ya ndege yasiyo na sababu.... miradi mingi isiyo ya msingi kulingana na idadi ya watu. Zanzibar kama pesa inaenda kwenye maji ni tatizo gani? si Watanzania wenzetu? Kuna tofauti gani na Chato?. Lakini tunajua fika Raisi Mwinyi anasimamia pesa vizuri kuliko hata hawa wakurugenzi wetu wa ulaji